Chakula Kibaya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 793
- 1,740
Arosto
Aisee upo sahihi sana[emoji1][emoji1][emoji1]Kama unasoma hii story na shida zako za maisha sijui huna ajira nashauri bora tu uache mana utapata presha zote na vidonda vya tumbo juu[emoji23] utaona kama wewe umekuja kusindikiza watu duniani afu utaishia kumlaumu MUNGU uchume na dhambi buree ila kama unasoma for fun utaenjoy mnoo yani[emoji119][emoji119]
we soma tu kama story za kina singano vile afu pita hivii kwenye maisha kila mtu na njia zake za mafanikio usitake kujifananisha na mtu utaumia sanaa
Kuna watu inabidi tuhustle sana kupata pesa ila kuna watu njia zao sio ngumu wakigusa tu kitu kinatiki ko we mshukuru MUNGU afu songa mbele[emoji4]
Punguza wivu mwanaume haolewi yeye ndiye anaoa hivyo anaweza kwenda popote kutoa upwiruSijasema mbele ya mama J..namaanisha kuna uwepo wa mama J sio lazima awe mbele yako...mfano hapo mlipokua sijui site...si ulisogea pembeni ukaongea nae na I love u juu?.. any way tuendelee..
Unakunywa Soda gan mkuu ?Punguza wivu mwanaume haolewi yeye ndiye anaoa hivyo anaweza kwenda popote kutoa upwiru
Watu wengi wana stress na hate sana, if something didnt happen or cant happen to them, they claim it not to be true...Dont hate be inspired...watu wengi wana mioyo ya chuki
Mi sio mzee mie mwanadadaNothing Serious here, just Entertainment and some lessons to learn .
Unakaza mishipa ya Shingo hivyo ya nn mzee?
Jamani mwanadada wa watu unamwita Mzee? Pole sana dada! Ebu njoo inbox nitakutumia na yakutolea!Mi sio mzee mie mwanadada
EtiJamani mwanadada wa watu unamwita Mzee? Pole sana dada! Ebu njoo inbox nitakutumia na yakutolea!
Yeah! Njooo!
HayaYeah! Njooo!
samahan dada hv hii story INSIDER kaishia ya ngapi?Mi sio mzee mie mwanadada
Mie sijui na wala siifuatiliisamahan dada hv hii story INSIDER kaishia ya ngapi?
ok you may go out... Unaitwa hapo nje then ukimaliza karibu uje usome utajifunza dear friend...Mie sijui na wala siifuatilii
ukipata nikumbuke ata buku tu inanitoshaHaya
Wivu kwa nani sasa?Punguza wivu mwanaume haolewi yeye ndiye anaoa hivyo anaweza kwenda popote kutoa upwiru
Kwamba na ww umeona nina wivu?Unakunywa Soda gan mkuu ?
Thanx maaa...jana nililala sijui aliendelea? Nile kwanza ndo nisome
Punguza wivu mwanaume haolewi yeye ndiye anaoa hivyo anaweza kwenda popote kutoa upwiru