Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kusema ukwel mim sio mpenz wa kureply story ila katika hii story mtu ninae mkubali kuliko wote ni prisca sasa kama kafariki ntahuzunika sana kwakweli
Yaani bro hujui ni jinsi gani ulivyoiokoa arosto yangu kwa ku quote hii stori maana nimeitafuta kila comment nikaikosa ndo nimeipata ulivyoquote
 
Ikiwezekana ampakie hadi mkongo.
Hpn Hili halikubaliki kumpakia mtoto wa watu mkongo Ni kosa kisheriaa na waweza kufungwa kifungo jela[emoji1787]

Hi sheria inayo kuja mwakani ili kulinda watot wa kike wasiumizwe vina vya uzazi
 
Back
Top Bottom