255Clatus Chama
Member
- Sep 20, 2023
- 56
- 72
Sema Mary naye anajishobokesha sana kwa shemeji ake
nakwambiajee, hatoboi! Mary is strategic and she is so calm, she knows ile mark ameweka moyoni kwa InsiderSema Mary naye anajishobokesha sana kwa shemeji ake
Yaani bro hujui ni jinsi gani ulivyoiokoa arosto yangu kwa ku quote hii stori maana nimeitafuta kila comment nikaikosa ndo nimeipata ulivyoquoteKusema ukwel mim sio mpenz wa kureply story ila katika hii story mtu ninae mkubali kuliko wote ni prisca sasa kama kafariki ntahuzunika sana kwakweli
Aisee mkuu samahani nilitoka kidg Niko arusha mkuuDr niko Dodoma upo available?
Awapi ushaambiwa kudate na watu wa karibu wanaoambiana siri ni bomu lakujitakia........Mary since day 1 anamkubali insider (Uaminifu alomtengezea ,kumjali n.k) ni ngumu kutokea unayoyafikiriNa ndo mwanzo wa Mary kuanza kulimiliki rungu la mdogo wake RASMI
Sent using Jamii Forums mobile app
Hpn Hili halikubaliki kumpakia mtoto wa watu mkongo Ni kosa kisheriaa na waweza kufungwa kifungo jela[emoji1787]Ikiwezekana ampakie hadi mkongo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtoto wa kiume una wivuHuyu ndio mnafahamiana kabisa nini?. Mara nyingi nimeona una....!!
Mwache ale mema ya nchiAtaniudhi sana akila mtu na mdogo wake
Sawa 😍😍😍Thanx maaa...jana nililala sijui aliendelea? Nile kwanza ndo nisome
Mama J kamkaba koo baada ya kugundua janja yake na priska mpaka sasa Yuko uvunguni Hana mawasiliano wala nini mpaka mama J amsamehe ndo tutaendeleaMkuu INSIDER MAN kama umekumbwa na changamoto yoyote Mungu akufanyie wepesi
Haka ka sentensi kamenichekesha sana. Kwa hiyo mkuu wewe ukageuka kuwa Civil fasta sana🤣🤣🤣Muda huu ilibidi tutengeneze njia ya kupita mtoto na ilichukua kama lisaa hivi kukamilika.