Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] Inaonekana prisca anaangalia sana movie kama sio wakorea basi wamarekani sasa zile drama zao anazileta kwenye real life[emoji1787][emoji119][emoji174]
 
Mr Nice guy, Prisca nadhani ilikua imebaki tu akutandike makofi kama Shilole na Uchebe. Eti sipendi kujibizana!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
huyu prisca namfananisha na mtoto flani wa kishua anaishi kimanga nilishamwambia maisha yake na yangu hayaendani me huwa sipendi watoto wakishua kuna mkasa nilipataga huko nyuma mzito mno.

sasa nilimuekea masharti kama haya ya prisca ya kuwa mchepuko, lakini akitaka jambo lake kama ruba ama kupe.

wik nzima hii kamenuna na mimi nimekalia buyu naona leo kamentafuta af sina habari.

vinakuwaga kama vishetani 🤣🤣🤣 pole sana mkuu INSIDER.
 
"Na Iryn alianza kuondoka na mimi nilimshika mkono nikamvuta kwangu nikamkumbatia, na palepale alinivuta tukaanza kunyonyana mate, ni gari iliyotuharibia pozi muda huu maana ilitumulika na ilikuwa ikija usawa wetu."

Dadeq kivumbi Leo Boss Iryn ni vile gari liliharibu pozi hasira zote zingeishia kwake 😂😂

Tunazidi kuenjoy na kuburudika
 
Kula chuma hicho
 
Aah Le professeur nabi unaupiga mwingi hadi huko morocco
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] Inaonekana prisca anaangalia sana movie kama sio wakorea basi wamarekani sasa zile drama zao anazileta kwenye real life[emoji1787][emoji119][emoji174]
Halafu anazileta kwenye nchi inayoendelea kama Tanzania!

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Hongera mkuu, pamoja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…