Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Vigongo vya moto, wakuu tafuteni pesa....juzi kuna kitoto cha kike yaani kimekuwa nakiona eti katikati ya stori zetu tumeet kinaniambia tafuta pesa......😅 yaani hivi kinajua hatuzitafuti au kinachukulia maisha rahisi rahisi......

Mpaka insider kazi ya uber ushaona ya kizushi aseeee pesa zina levels/madaraja.

Kazi ya iryn itafika mahali utaona ya kifala ukila mchongo wa kulipwa mil.30 kwa mwezi bado bonas plus full accomodations out of salary na NGO's X kwa mzee Juma baada ya kufanya masters ya investment....
 
"Na Iryn alianza kuondoka na mimi nilimshika mkono nikamvuta kwangu nikamkumbatia, na palepale alinivuta tukaanza kunyonyana mate, ni gari iliyotuharibia pozi muda huu maana ilitumulika na ilikuwa ikija usawa wetu.

Hapo naona shetani alikuwa anakupa dolee mwanangu Insider men, lakini hafla katokea malaika na tochi lake🤣🤣. Au nasema uogo
cc kaka yake shetani
 

Uko sahihi mkuu kwa sasa jamaa afanye amalize tu story… anaweza ku cut it short akateambia tu mwisho ilikuaje basi… Mfano niligraduate masters… nna kazi kampuni x… Prisca tuliachana… Irene yuko masomoni… Nawaza tu lakini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu hubadilika bhna ,insider Ni mtu poa sana
Nimeuliza nyie mnafahamiana vizuri. Labda ni ksbb mimi hakuna niliewahi kukutana nae face to face humu JF. Umesema watu wanabadirika,ni mtu poa,Kwamba kuna kipindi hakuwa hivyo? Alikuwa machachali au alikuweje mkuu?.
 
Uko sahihi mkuu kwa sasa jamaa afanye amalize tu story… anaweza ku cut it short akateambia tu mwisho ilikuaje basi… Mfano niligraduate masters… nna kazi kampuni x… Prisca tuliachana… Irene yuko masomoni… Nawaza tu lakini
Shukrani mkuu..... pia uko sahihi hiii Ni JF Kila mtu ana uhuru wa kuwasilisha mawazo,mitazamo na maono yake.......MFANO Kuna I'd hapa jf inatambulika Kama BMX 6 ana story inaitwa 'hatima ya maisha yangu ipo kwa kijana wa buguruni'... something like that Kama sijakosea

Hivi mkuu ulishawahi kuipitia???.....vipi uandishi??? Mbona Kama ni same person......Acha niishie hapa
 
Woyoooooooo
 
Prisca anajisahau kwamba yeye ni masuria [emoji57]
Hili la Prisca michepuko wengi wanafanya. Ni wakali balaa na ndoa huwa haibaki salama vinginevyo mapemaaaa uachane naye kwa kutumia umafia.
 
Unamchekea sana Prisca, nadhani fuata maelekezo ya mama yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…