Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hii ni kweli. Na tunawakimbia maana huwezi mfungulia zip kila mwanamke maisha yanaweza kuwa mafupi na huenda familia ikatelekezwa.
Waume wa za watu wanajua kunogesha, na wanajua kujali sanaaa, anakuja kupata faraja na kujituliza mbaya zaidi ukimpa vitu adimu ndio utaona anavyomwaga hela, asikuambie mtu siku hizi hakuna mwanamke anaetaka stress tunaangalia fursaa kwa kweli
 
Na mm nitakuja kwako plz
 
Wanaijulia wapi JF? Hawana hata huo muda
 
Waume wa za watu wanajua kunogesha, na wanajua kujali sanaaa, anakuja kupata faraja na kujituliza mbaya zaidi ukimpa vitu adimu ndio utaona anavyomwaga hela, asikuambie mtu siku hizi hakuna mwanamke anaetaka stress tunaangalia fursaa kwa kweli
Aiseeeee
 
Mbwa mzuri ni German shepherd kwa familia
 
Yaan wahindi hawanaga siri hata wachina jamani na huyo muajemi
 
Hata sikupenda kabisaa
 
Na wewe mwishoni umeharibu umesomea na literature ya kutunga inakuwaga hivyo?? Ili apate Nini kwani analipwa? This is true story
Nenda zako huko
True story ulikuwepo?
Nyie ndio mnaofungwaga kizembe
False ushahidi
Aka accomplice🙏
 
Hiii imeenda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…