Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Thanks broda. Usisahau kuna mchele 10kg kutoka kwa mdau.

Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
 
Umeshauri vizuri sana. Mie nina local dogs watano ila mwizi haingii kwangu. Nina mifugo ndio maana nina mbwa wengi kulinda
 
Balaa sana unajua zike mbegu zinaoza ndani mule zinazalisha bacteria sasa mtu anawashwa balaa ukimkuna inakuwa ahueni ila hya mambo ni mabaya sana msifanye wandugu watu wanajuta hawasemi tu
Ushauri nasaha, mapenzi ni hisia so hisia zao ni kufanya hivyo hakuna cha kuoza mbeguu, kila kitu ni hisiaa, hiyo research sijui umeifanyaje ukajua zikimwagika zikioza zinawashaaa
 
Uko vizuri. Umekuja moto kila comments lazima uipitie na kuijibu. Utawapata tu. Haikosi wameanza kutiririka huko
Nipo tangu 2012, so unaweza kuona kama nimekuja moto au la, najaribu tuu kuondoa stress kujibu comment yako
 
MKUU INSIDER MAN nina zawadi yako ya mchele kg 10 tu nikoboe nikutumie kwenye bas linaitwa luis au porty boy toka malinyi morogoro ukiridhia niambie
@INSIDER MAN respond kwa huyu ana mzigo wako, ameguswa na fundisho kupitia story ya maisha yako japo kwa ufupi, so anataka akupe japo shukrani yake. Binafsi nimependa sanaaa sio mijitu inakuja kuomba hela sijui picha ya Iryn
 
Mm mfuga mbwa. Hizo breed zina wivu. Yaani akiona attention imehama ana anza kua mental. So anachoona kina muharibia anakiharibu. Ndo pale unakuta kala mtoto.
 
kuna mambo yananichanganya hapa, siku ile iryn alikuwa analiwa mate gari ikamulika akaondoka, hapa tena makubaliano jamaa alale kwa iryn, tena wapo na moet kwa kochi na migusano imeanza, mara simu ya mama 2 kuwa mtoto kalazwa jamaa anaondoka, hv ni mm peke yangu nachanganywa hapa au kuna wengine?
 
Wanafuga pia ila kwa tahadhari sana asee zitafute tu taarifa hata google kuwahusu hao mbwa utawafahamu vyema
Hamna jinsi unawewa mneutralize, yaani awe tu boya fulani, mpolee asiye na madhara, tekinolojia imekuwa siku hz, yaani awe tu kama pambo, mm napendaga tu lile domo lake.
 
Huyu jamaa anajua namna ya kuhadithia na kuteka fahamu za watu, he is one of the most talented person ana kitu kikubwa sana.
 
Tunasogezwa tu hapa tuzidi kukaa mpk mwakani 😄😄😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…