Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ahaaa jamaniii
 
wenyewe sio wakali hawang'ati watu ovyo? Au anafaa hata kutembea nae any where kwenye masherehe, kwny gari n.k ?
 
Ha ha , Ni passion tu mkuu. Nawapenda sana hawa jamaa zetu.

Ninafuga pia Hao German shepherd na Golden retriever sio kibiashara, company tu mkuu.
samahan, naweza kuja kuwaona tu kama enjoyment kwangu?
 
Imekaha vzr Sana
 
Siwez kukaa na matakataka mimi.Yan unakaa na hatari yako mwenyewe.Kiumbe kisicho na akili ambacho mufa wowote kinaweza kukugeukia kikumalize .NEVER
kama wanaotengeneza nuclear bombs... Lakini mbwa ni kiumbe ambaye ni mlinzi katika familia ambayo haina mlinzi... Toka enzi na enzi
 
MKUU INSIDER MAN nina zawadi yako ya mchele kg 10 tu nikoboe nikutumie kwenye bas linaitwa luis au porty boy toka malinyi morogoro ukiridhia niambie najua wadau wataponda kizawadi gani hicho ila ndio uwezo wangu
Safi Sana. Hicho sio kidogo ni kikubwa sana mana tunaangaliaga dhamira👏👏
 
kama wanaotengeneza nuclear bombs... Lakini mbwa ni kiumbe ambaye ni mlinzi katika familia ambayo haina mlinzi... Toka enzi na enzi
Mbwa kama mbwa sina shida nao ila sio haya ma mbwa ambayo yanatokana na genetic engineering kutengeza hizo breed maabara
 
Dah kazi kweli kweli. Kwenye hii comment nilitegemea "me" tu ndio wa'like naona kuna "ke" pia zime'like zikisubiria kuona mwenzao akigaragazwa.
 
MKUU INSIDER MAN nina zawadi yako ya mchele kg 10 tu nikoboe nikutumie kwenye bas linaitwa luis au porty boy toka malinyi morogoro ukiridhia niambie najua wadau wataponda kizawadi gani hicho ila ndio uwezo wangu
Hii kwangu naiona ni kama sadaka pia. Aisee una moyo wa utoaji. Ubarikiwe mkuu
 
Sure bro mi hii story kuna vitu imenifunza na nimeanza kuvifanyia kazi naona changes kubwa…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…