Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Tuliendelea kunywa pale seblen na muda huu tulikuwa tumekaa coach moja na mimi nilikuwa nimepenyeza mkono wangu wa kushoto nachezea kiuno chake taratibu, kwa upande wake alionesha kufurahia zoezi hili na hakuwa na pingamizi.

Step nzuri hii...

Mdada lazima uanze naye mdogo mdogo kama hivyo ili umuachie room ya kuwa na shauku ya next step...ili utimie msemo wa mabazazi kwamba "kuku wa kwako, manati ya nini?"


Hapa ulizingua mzee na Iryn itakuwa alikumind, wewe sio daktari hata ukienda hospitali hakuna kitu utafanya kwa huyo Rachel...
 
Hahahaha nilikuwa na bahati mbaya sana na Iryn kwakweli unakuta hata ningebaki angekaza vilevile, iryn ni Unpredictable
Sasa saa nane unawasha simu ya nn na ww mbele ya mwanamke ambaye ni sensitive kama iryn?..... ambaye anageuka kila wakati....ungemlewesha ukamla asubuhi ukazingizia pombe
 
Hapa mwishoni nimejikuta nasonya mwenyewe, nilijua leo mchezo unaisha show show halafu yanakuja mambo meusi ya wagonjwa tena....mfyuuuuu
 
Hii isindigo imeanza kupungua taste sasa.yani jamaa aki sema tu kamla uyo dem tu story ina ishia apo ,kwaiyo inabidi avute vute mda hadi kwenye the end
yani kuna watu ni kama watoto yaani, wewe Siutulie mzeee , unataka ukifanya hvyo ili asimalizie au , Unatuzingua Kinoma
 
Hii story ni chai PURE


CHAI


CHAI



CHAI


utaki nenda kafie mbele na unaakili ndogo, wewe na ukoo wenu mzima



Chai wacha tuburudike tuh
Yani mnakuwa Kama watoto , embu tulieni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…