Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hii story ni chai PURE


CHAI


CHAI



CHAI


utaki nenda kafie mbele na unaakili ndogo, wewe na ukoo wenu mzima



Chai wacha tuburudike tuh
Wee endelea tu tunakuzoom tu hata Hii ID mpyah ukikaa vibaya unAkula tena ban..... Binadamu million hawalalamiki ww na chai zenu endeleeni
 
yani kuna watu ni kama watoto yaani, wewe Siutulie mzeee , unataka ukifanya hvyo ili asimalizie au , Unatuzingua Kinoma

Kwahiyo tutulie anavyotuandikia kwa herefi kubwa TRUE STORY [emoji23][emoji1373][emoji1373] aaaah weee embu tuache kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Hii ni chai full STOP


MENGINE tunajiburudisha tuh hapa


True story ya nyoko [emoji23][emoji1373]
 
Wee endelea tu tunakuzoom tu hata Hii ID mpyah ukikaa vibaya unAkula tena ban..... Binadamu million hawalalamiki ww na chai zenu endeleeni

Sawa muamdishiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373] wenzio hatuna tunachopoteza kuregister account ni bureeeeee

Natukija tunaandika tu….hii ni CHAIIIIIIIIIIIIIII TENA YA RANGI[emoji23][emoji23][emoji23] na hutufanyi kitu



Chaiiiiiii hakuna true story hapa [emoji23][emoji23] unazan maisha ni rahis hivyoo nyooooo embu toka hapa na meno yako yakuungua kama umelogwaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (in dotto magari voice)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kama una maisha magumu ni wewe na familia yako , watu wanahela mzee
 
INSIDERMAN a.k.a Harry Maguire!

Vyenga kibao mwisho wa siku unapaisha. Mbona goli liko wazi brother? kipa katoka maliza mechi hiyo!
katutiisha mara weka mbali na watoto, mara ooh linakufa jitu. ah nimechefukwa sana aisee angepima hata oil (ref: vehicle inspection)
 
Mkuu bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] Explicit ikwapi sasa kwenye hii Episode?[emoji23]
 
Mbona huondoi sauti kwenye simu ukiwa na watu muhimu?? Ona sasa
 
Naona suala la irene kkuttombwa limekua kama upatikanaji wa katiba mpya, kila siku visababu visivyo na maana..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee insider kuna watu anawakataa stimuu yan dah et katiba mpyaaa [emoji23][emoji23] tutasubiri adi x-mass…
 
Aisee huyu iryin sijui ni mkosi au bahati mbaya, mzuri lakini kila mara anakutana tu na waume za watu lini atakutana na wa kwake... mpaka namuonea huruma
 
Ms*ng*e fresh wewe.

Unazingua, ushajua story ina followers wengi unaanza kuweka unnecessary episodes (probably chai kama baadhi wanavyosema).

Hebu maliza story, mambo mengine yaendelee.

Wadau hii story ikiisha mtani-tag.
 
Ms*ng*e fresh wewe.

Unazingua, ushajua story ina followers wengi unaanza kuweka unnecessary episodes (probably chai kama baadhi wanavyosema).

Hebu maliza story, mambo mengine yaendelee.

Wadau hii story ikiisha mtani-tag.

Mimi naombeni mnitag Iryn akiliwa.

To be honest kwa jinsi unavyo describe how Iryn is na kila anaekutana nae anamsifia. Then mko wavuvi mnacheza zero distance full kunyegeshana then mnafika home alafu unapokea simu unasepa????????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…