Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,270
- 111,361
Aisee huyu iryin sijui ni mkosi au bahati mbaya, mzuri lakini kila mara anakutana tu na waume za watu lini atakutana na wa kwake... mpaka namuonea huruma
Kwani wanaume za watu hawapaswi kula nyama safi?