Aisee huyu iryin sijui ni mkosi au bahati mbaya, mzuri lakini kila mara anakutana tu na waume za watu lini atakutana na wa kwake... mpaka namuonea huruma
Mimi naombeni mnitag Iryn akiliwa.
To be honest kwa jinsi unavyo describe how Iryn is na kila anaekutana nae anamsifia. Then mko wavuvi mnacheza zero distance full kunyegeshana then mnafika home alafu unapokea simu unasepa????????????????
Utakuwa mzito kidogo kichwanikuna mambo yananichanganya hapa, siku ile iryn alikuwa analiwa mate gari ikamulika akaondoka, hapa tena makubaliano jamaa alale kwa iryn, tena wapo na moet kwa kochi na migusano imeanza, mara simu ya mama 2 kuwa mtoto kalazwa jamaa anaondoka, hv ni mm peke yangu nachanganywa hapa au kuna wengine?
Wabheja sanaa mkuuu nimefikaa!🙇!
Weee staki mie! Nakomaa naharee yangu tyuuu....kwa sauti ya coca!Ishi vizuri na Watu
Huyu mwamba sehemu zingine chumvi inakuwa nyingi yaani kikifika Kipande Cha ryin kuliwa lazima zitokee simu usiku wa saa 5 unapigiwa simu wakati huo una familia yako insider asitufanyie hivyo [emoji1] tunataka ryin aliweNilijua tu Irene hawezi kuliwa Mama Jr angepiga simu JR kameza Jembe [emoji23]au Mary angepiga Prisca kanywa sumu [emoji23]
Sisi pia ni watuKwani wanaume za watu hawapaswi kula nyama safi?