mmash
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 832
- 1,241
Sasa mkuu hapo kwenye kubahatika kuja kwako ndo kipengeleTulitumia kama masaa 4 home na wakati wa kuondoka tulipiga picha ya pamoja na familia yangu na nikamrudisha Ramada akapumzke, maana alisema toka arudi na dada hakupata muda wa kulala.(Siku ukibahatika kuja kwangu hii picha iko seblen).