Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Eva inabidi ajifunze kubalance shobo imagine ungekuwa na mama j,salamu tu ingetosha maswala ya mimba angemuuliza besty yake[emoji2955][emoji2955]kanibore
 
Stori ilianza ikiwa ya ukweli lakini baada ya kupata umaarufu basi jamaa kaamua kuiweka iwe na vitu vingi vya kutunga.

Leo ndio mara ya kwanza naweka komenti na ndio mara ya tatu ninaisoma juujuu na kuruka vitu vingi visivyo na muelekeo.

Ikishafikia hatua kama hiyo huwa naachana na muandishi.

Kila la kheri mnapoendelea.
Chai ya mdalasini na kashata huwa tamu sana acha tule story
 
Sema kuna watu hii stori waliisanukiaga mapema sana kwamba mwamba kuna namna anatupanga ili kufanya stori iwe ndefu kiuhalisia story hii ni episode thelathini tu na hizo nyingine ni chumvi mixer kamba style za kunogesha genge.
Ila mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Jamaa anajua kusimulia katika mtiririko unaoeleweka.
Nilikuwaga na ma alosto na hii stori ila baada ya leo atoe asitoe alosto imekata.
Chai ina viungo vingi sana kwa sasa acha tule na kashata
 
Sema kuna watu hii stori waliisanukiaga mapema sana kwamba mwamba kuna namna anatupanga ili kufanya stori iwe ndefu kiuhalisia story hii ni episode thelathini tu na hizo nyingine ni chumvi mixer kamba style za kunogesha genge.
Ila mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Jamaa anajua kusimulia katika mtiririko unaoeleweka.
Nilikuwaga na ma alosto na hii stori ila baada ya leo atoe asitoe alosto imekata.
SASA KAMA ANAKUOANGA MBONA UMEKAZA MAKALIO KUISOMA MUDA WOTE SI UNGEISHIA EPISODE YA 30 UKAAMSHA. KUTWA KUCHWA UMEKAZA MAKALIO KUIFUATILIA. KAMA CHAI UKIIONA IKAUSHIE USIIFUNGUE SIO HADI UCOMMENT HAPA UMELAZIMISHWA? PUMBAVU KABISA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Insider unapenda hela ila unapenda mihela vidogo. Hauna long run plan ...plan zako zote ni upate hela kesho upite hivi.

Ninge kua mimi ndio wewe ningefanya mipango ya kumbinafsisha irene by any means. Yaani ningecheza karata zote kuhakikisha irene ni wangu na ananitegemea mimi kikila kitu yaani hakuna kitu atafikiri afanye bila kunishirikisha na kwa moto ambao ninge mnogesha nao angejikuta tu ni mjamzito na hatuna jinsi zaidi ya kuendelea kuwa pamoja na kuniheshimu ka mme wake.

Sasa wewe ulikua radhi kumuuza kwa muajemi ili akupe hela za supu ambazo sio constant yaani anakupa leo milioni tana halafu hujui nyingine atakupa lini na anaishia kukuahidi tu kuwa mtafanya biashara [emoji16][emoji16][emoji16]

Wakati huo irene amesha kupa mkataba wa uhakika wa kila mwezi kuvuta milioni 2 Haha ishia hapo tu bado unanafasi ya kumiliki yeye na miradi yake na Mali zake. Wewe unataka uendelee kuwala kimasihala wakina prisca.....bro chance yako ya kuingia kwenye umilionea ukiwa kijana ilikua ni kujimilikisha irene no matter mama junior atafanya nini maana huyo mama j mwenyewe bado humjui vizuri siku akianza kuvuta mpunga wake wake wa uhakika atakuaje.

Yaani ile siku ana financial freedom ndio utajua hujui ...

Na irene angekuambia anakupenda angekua anakupenda ile ukweli kabisa. Ika mama j inaweza ikiwa ni vile hajui atafanyaje cos bado hajagusa hela za uhakika.
Na angefanya hivyo tu hata lyrn mwenyewe angechomoa betri...uaminifu ni kitu kizuri kuliko tamaa.... Watu wa kaliba yako nyinyi ndio wauaji,madhulumati na wasaliti wakubwa pesa utazikwa nazo?
 
Eva alikuwa sahihi maana hata mimi nikimwona dem wa mshikaji wangu lazima nimsalimie.

Kumsalimia sio mbaya ila aina ya mazungumzo ndio Cha kuzingatia. Eva kaleta balaa kwenye bustani Yako Mkuu.

Hapa Kuna SoMo kubwa sana. Ukimkuta mtu mnaefahamiana nae yupo na mtu mwingine, jitahidi kutokuleta story zaidi ya Salam vinginevyo huyo jamaa aanzishe mwenyewe.

Imagine inapigwa na kitu kizito ambacho hata mimba yenyewe ilishatoka. Nani atakuelewa hata ukujieleza? Sema Iryn sio mswahili hii habari ingeweza kumfikia Mama J. Kwa upande mwingine Iryn alikupenda sana na alikua na wivu juu Yako. Hii siku alitaka avunje ukimya Bahati sijui mbaya au nzuri Eva kavuruga upepo.

Watu8 njoo tufanya kikao Cha dharura hapa na kapten
 
Insider unapenda hela ila unapenda mihela vidogo. Hauna long run plan ...plan zako zote ni upate hela kesho upite hivi.

Ninge kua mimi ndio wewe ningefanya mipango ya kumbinafsisha irene by any means. Yaani ningecheza karata zote kuhakikisha irene ni wangu na ananitegemea mimi kikila kitu yaani hakuna kitu atafikiri afanye bila kunishirikisha na kwa moto ambao ninge mnogesha nao angejikuta tu ni mjamzito na hatuna jinsi zaidi ya kuendelea kuwa pamoja na kuniheshimu ka mme wake.

Sasa wewe ulikua radhi kumuuza kwa muajemi ili akupe hela za supu ambazo sio constant yaani anakupa leo milioni tana halafu hujui nyingine atakupa lini na anaishia kukuahidi tu kuwa mtafanya biashara [emoji16][emoji16][emoji16]

Wakati huo irene amesha kupa mkataba wa uhakika wa kila mwezi kuvuta milioni 2 Haha ishia hapo tu bado unanafasi ya kumiliki yeye na miradi yake na Mali zake. Wewe unataka uendelee kuwala kimasihala wakina prisca.....bro chance yako ya kuingia kwenye umilionea ukiwa kijana ilikua ni kujimilikisha irene no matter mama junior atafanya nini maana huyo mama j mwenyewe bado humjui vizuri siku akianza kuvuta mpunga wake wake wa uhakika atakuaje.

Yaani ile siku ana financial freedom ndio utajua hujui ...

Na irene angekuambia anakupenda angekua anakupenda ile ukweli kabisa. Ika mama j inaweza ikiwa ni vile hajui atafanyaje cos bado hajagusa hela za uhakika.

Na ndio maana wewe sio INSIDER MAN
 
Wewe unaona kama alikaa sana ila ilikuwa ni chini ya dakika 3 tu, na sio alikuwa anaropoka alikuwa anaongea taratibu tu. Sema Iryn alikuwa makini maana baada ya kusikia shem…

Naomba tumalizie hii story boss maana dah inapoelekea inakera sasa honestly wote humu tunataka kujua kuhusu iryn kama ulishaiandika hadi mwisho ipitie pitie tumalizane nayo tujue ulimla iryn au la maisha yaendelee
Kwa mara ya kwanza nimetamani niingie kwenye simu nikufate huko huko nikukoe makwenzi[emoji35]
 
Kuna chimbo lipo hapa Salasala linaitwa Poripoa ni hatari, kama unakwenda mwisho wa lami. Pametulia sana [emoji1544]
Toka awali nilikuambia wewe ni muongo na hii chai umetunga..asa members wameanza kuona uhalisia wako..

Madereva teksi nawajua vizur mnapenda sifa za kijinga na waongo sana nyie...wewe ni dereva taksi na mtungaji mzuri wa story..Kwan ukisema story ya kutunga unapungukiwa nini Hadi ukaze shingo hapa kudanganywa watu..poor you
 
INSIDER MAN upo vizuri mno ila jaribu kutokurudia rudia maneno 'kwa upande wake/wangu. Limekuwa so monotonous kwenye uandishi wako.
 
Back
Top Bottom