Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Wengi wenu humu mnaosema ni chai mnasumbuliwa na NYEGE na WIVU na si kingine ,mmefocus kwnye Iryn kupigwa miti na sio life lessons … Insider achana nao bullshit them..
 
Kama wapo shuleni kwa sasa wanaandikisha kupitia shule zao wanaposoma kwa gharama zile zile but kama hawapo shuleni na ni yatima hiyo ni changamoto kubwa system imeamua kuwatenga pia
So sad🥲
System imewatema wale ambao hawako shule zilizosajiliwa na ambao umri wa kwenda shule bado....sad
 


Tatizo Sasa hii ni simulizi mambo yalishatokea, acha tusubirie kuona upepo uliendaje.

Hata hivyo vijana wameokota desa hapa watahifadhi hizi notes zako for future use.

Eva kararua moyo wa Iryn vipande vipande, ni kama nyoka aliyemwagiwa mafuta ya taa.
 


Hao hata sio wakuzingatia sana. Kwanza ilitakiwa hata wasijibiwe Kwa chochote.
 
Bdo ndo tunasubr next episode..... Alimdrop kwake kila mtu akashika njia.... Ko tunasubr km atamwambia mama J ama la......
 
watafute stratergies
 
mkuu na wewe unaamini haya maigizo.
 
***** Eva
 
Eva kaharibu show
 
Ilitakiwa umtoe Eva pemben chap before it's late 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…