Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kwayo kumbe INSIDER MAN ni shemeji yangu wa Kaayi kbs?..aka jamani INSIDER MAN Joole?
 
Ila mie ni Dada sio Kaka 😂hata wadada tunafatilia uzi huu🙏na tunataka Iryn aliwe 😂
Mmetisha sana wadada,piga makofi mawili tafadhali kwa wadada wote wanaotaka Irene apigwe katerero moja matata kbs na INSIDER MAN
 
UONGO UONGO MWINGINE.


Yule Masai wa wavuvi camp alimpa laki 2 na iryn akaongeza laki 3 jumla laki 5.

Hata uwe Tajiri na exposure kibao hela hazitolewi ovyo kiasi hicho.
Wakati INSIDER MAN amepata ajali, mlisema iryn angetoa hela bila kudai kwa aliyebabisha ajali sababu yeye ni tajiri. Sasa leo iryn katoa hela kwa masai, mnasema tena hatakiwi kutoa pesa hovyo.... Naona hamueleweki kabisa mnajikataa wenyewe
 
Eva alikuwa sahihi maana hata mimi nikimwona dem wa mshikaji wangu lazima nimsalimie.
Kumsalimia sawa. Sasa anajuaje mahusiano yako wewe na aliekukuta nae?. Kwa nini aenda mbali sana wakati amekukuta na mtu?. Kama ni kweli ana makosa makubwa ni mjinga. Mimi nikimkuta demu wa mshikaji na mtu mwingine siwezi kujifanya kuanza kuropoka meeengi mengineyo. Na yeye ilikuwa akupe hi tu atembee. Ksbb amekukuta na mtu
 
Wakati INSIDER MAN amepata ajali, mlisema iryn angetoa hela bila kudai kwa aliyebabisha ajali sababu yeye ni tajiri. Sasa leo iryn katoa hela kwa masai, mnasema tena hatakiwi kutoa pesa hovyo.... Naona hamueleweki kabisa mnajikataa wenyewe

Hawa ndo JF “CERTIFIED HATERS” bora umeona hili mkuu, [emoji23]
 
Hawa ndo JF “CERTIFIED HATERS” bora umeona hili mkuu, [emoji23]
Insider shusha episode tatu kwa hasira basi.. maana wazee wa 'chai na sisomi tena' ndio wale wale tangu episodes za 20+ ajabu hadi episode ya 61 wanajua kila kitu 🤣 🤣
 
Eva ni fala sana, alitokea wapi aisee? Kanikwaza mno.
 

Pamoja na mambo mazuri yoote, kamilisha jambo la ndoa Kwa Mama J, najua ni personal na huenda ulishaandika mahali sijasoma lakini fanyia kazi Hilo jambo.

Pia nikutakie Kila la kheri na Mungu aibariki mipango yako ikafanikiwe

Lile chimbo mwisho wa lami Sala Sala Wana vyakula Gani maarufu? Ni Rafiki Kwa weekend au fujo nyingi? Nataka nikasogeze jioni hapo kumalizia weekend.
 
Tunacheki Game ya Singida tukiendelea kurefresh....,

Uzuri nakunywa maziwa, kahawa, tangawizi na zote zinapita fresh bila tabuuu....,

Coz najua hata iwe true story, iwe chai, iwe Tangawizi, Iwe kahawa au true story hainiongezei chochote kwenye maisha wala kunipunguzia chochote zaidi narefresh mind kwa kusoma na kupata baadhi ya madini mdogomdogo tukisonga.

Mkuu INSIDER MAN uko njema Boss endelea kutupa kiburudisho hapa kila mtu atajua mwenyewe kama ni kuchuja au kupooza poa
 
CHAI CHAI MZEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…