We ndio kenge kwenye msafara wa mamba....iq yako Ni ndogo Sanaa.....dialogue zinawadanganya.. akili zenu za kufikiri Ni ndogo sanaaa.....Unampinga mtu amber hana time na wewe huoni kuwa wewe ndiyo jinga la mwisho kama unaona ni uongo kwanini uko kwenye nyuzi za wanaume wenzio embu jifunze kufuata mambo yako mtoto wa kiume wewe,
Kwani wewe mkuu unaathirika na nini story ikiwa fiction,mbona watu mnapenda shari bila sababu aisee?Niite franckkimm..... A.k.a the REDFROG.....tutampinga INSIDER MAN....mpaka akiri hii storiii Ni fictional TU!!!!!....pia atoe lile neno TRUE aweke FICTIONAL Hilo tuu!!!....pia mwambieni huyo ndugu yenu na moderators waache kufuta comments zangu kwenyee huu uziii....natoa maoni yangu binafsi why ufute comment Kama situmiii lugha ya matusiii????.....#JUSTICE.....
Mkuu.. kwa niaba ya °MAGWAYA° natoa siku tatu za maombolezo ya marehemu mbwa'Nina majonzi makubwa, mbwa wangu Doberman amekufa leo
Kati yangu mm na wewe mjinga au kenge ni nani, matusi ya nini hapa, hujatukanwa unatukana watu, umeona jinsi uwezo wako wakufikiri ulivyo mdogo? Acha ujinga bwana mdogo, jiheshimu uheshimiwe, na siyo kila mtu anafaa kutukanwa,We ndio kenge kwenye msafara wa mamba....iq yako Ni ndogo Sanaa.....dialogue zinawadanganya.. akili zenu za kufikiri Ni ndogo sanaaa.....
Chai ya leo itakuwa ya moto sana, muda ni uleule ndo niko jikoni hapa nawaandalia.
Na ww iq yako ndogo.....kwahiyo umeridhika na title ya story????....mfano angesema FICTIONAL Nani angempinga humu???....niambie Nani angesema story Ni chai????....inshu kuuu hiyo kusema true story tu anawapanga wengi....tofauti ya Mimi na ww Mimi nimegoma kuwa kilaza Kama WW Ni Hilo TU kakaKwani wewe mkuu unaathirika na nini story ikiwa fiction,mbona watu mnapenda shari bila sababu aisee?
Kwenye comment yako umeniita 'jinga la mwisho"..... anyways muda sio mrefu na ww utaanza ku scroll down Kama wenzio saivi wana admitKati yangu mm na wewe mjinga au kenge ni nani, matusi ya nini hapa, hujatukanwa unatukana watu, umeona jinsi uwezo wako wakufikiri ulivyo mdogo? Acha ujinga bwana mdogo, jiheshimu uheshimiwe, na siyo kila mtu anafaa kutukanwa,
21:08
Poa mkuu,ubarikiwe!Na ww iq yako ndogo.....kwahiyo umeridhika na title ya story????....mfano angesema FICTIONAL Nani angempinga humu???....niambie Nani angesema story Ni chai????....inshu kuuu hiyo kusema true story tu anawapanga wengi....tofauti ya Mimi na ww Mimi nimegoma kuwa kilaza Kama WW Ni Hilo TU kaka
HahahMaguire akipost episode mpya mnishtue mazee!
Ngoja nikasogeze muda kwenye nyuzi zenye vayolensi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Niite franckkimm..... A.k.a the REDFROG.....tutampinga INSIDER MAN....mpaka akiri hii storiii Ni fictional TU!!!!!....pia atoe lile neno TRUE aweke FICTIONAL Hilo tuu!!!....pia mwambieni huyo ndugu yenu na moderators waache kufuta comments zangu kwenyee huu uziii....natoa maoni yangu binafsi why ufute comment Kama situmiii lugha ya matusiii????.....#JUSTICE.....
Sasa kijana unapanick kwenye uzi wa mtu utafikili umelazimishwa kusoma ata nikiamua mm kufuta kitu kwenye post yangu huna haki ya kuongea kitu chochote ko bro kaa kimya au pita kushoto mi naamini una apps nyingi kwa sim yako, au pia jf ni kubwa sana so unaeza endelea na threads nyingine. Sio kukaa unaponda kila siku make mwisho wa siku mnaonekana kama hamna cha kufanya. We jitafakari umeanza lini kusoma na mpaka leo upo unafatilia ili uone kama amepost😂😂😂 Sema haters mnatia huruma kinyama😂😂Niite franckkimm..... A.k.a the REDFROG.....tutampinga INSIDER MAN....mpaka akiri hii storiii Ni fictional TU!!!!!....pia atoe lile neno TRUE aweke FICTIONAL Hilo tuu!!!....pia mwambieni huyo ndugu yenu na moderators waache kufuta comments zangu kwenyee huu uziii....natoa maoni yangu binafsi why ufute comment Kama situmiii lugha ya matusiii????.....#JUSTICE.....
Kaniudhi sanaWewe unaona kama alikaa sana ila ilikuwa ni chini ya dakika 3 tu, na sio alikuwa anaropoka alikuwa anaongea taratibu tu. Sema Iryn alikuwa makini maana baada ya kusikia shem…
Ninge muanzaDah kuna watu wangefanikiwa kumjua EVA Bhas nina hakika wangemla nyama mzima mzima[emoji28][emoji28]