Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Japkas umesoma hii comment nilikwambia KWA masters yangu ya Cuba na Vietnam ndoa iliendelea
 
Hakusoma tu alama za nyakati ......ila kikawaida naona hakuwa na kosa kabisa
Hivi haijaendelea??? Leo Ndio natia maguu saii!!
Dogo hana kosa ye anajiongelea zake welfare ya ndugu yake hataki juaaaa hahahaaa!
 
Daaaaa sa itakuwaje
 
UONGO UONGO MWINGINE.


Yule Masai wa wavuvi camp alimpa laki 2 na iryn akaongeza laki 3 jumla laki 5.

Hata uwe Tajiri na exposure kibao hela hazitolewi ovyo kiasi hicho.
Hiyo ni kwa standard yako lakini. Sio lazima wote waifwate standard ya kumaskini hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…