Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Leo labda ndio anatimiza yale wengi wenu mnataka kuyajua au? Sio kwa ukimya huu.. Nimekuja nitafute ya kusoma nilale.. kapa kapa.. threads tangu mchana hazijaongezeka kwa ID yake
 
We nawe nakuongeza kwa wenye iq ndogo.....faken kabisa!!!! jamii forums Ni jukwaa la mtu kutoa mawazo yake binafsi....Sisi tukisema hii Ni CHAI Ni CHAi kweli na fact tunatoa.......Toa na ww za kwako uache mihemko kenge ww
 
Sio siri nimeinuka upya ni kama nilichoka kupambana nimenunka upya niliacha kazi kwa sababu za kifamilia..... baada ya muda nilianza kutafuta upya sipati ikabidi nijitose kwenye biashara ndogo ndogo kila siku nnavyokusoma napata mwanga mpya na kujifurahia, kweli nilikata tamaa sana asante kaka INSIDER MAN najiona kuinuka upyana kusimama tena na kuona kumbe yote yanawezekana asante tena kaka.
 
Mbona alieleza vizuri tu, wakati huo huyo prisca alikuwa anaenda kazini ambako alikuwa anafanyia field.
Na vipi kuhusu hali ya kuweweseka kwa Bwana Insider siku kadhaa baada ya kifo cha Mzee Pama[emoji16]....Usiku alikua anamuota sana na kuweweseka[emoji23]

Siku atatuambia "Ile nataka kumvua bra Iryn , ghafla nikasikia simu ikiita, kucheck alikua ni Mama J, nikakuta na ujumbe wapo Mloganzila Junior kameza kijiko" na utaamini[emoji16]
 
Mchaga hata akiwa na biashara ya genge lazima awazege gari/usafiri
 
Zidisha maombi na sadaka pia......amini utainuka tu by power by force
 
We nawe nakuongeza kwa wenye iq ndogo.....faken kabisa!!!! jamii forums Ni jukwaa la mtu kutoa mawazo yake binafsi....Sisi tukisema hii Ni CHAI Ni CHAi kweli na fact tunatoa.......Toa na ww za kwako uache mihemko kenge ww
Sasa ukishasema ni chai, alafu?
 
We nawe nakuongeza kwa wenye iq ndogo.....faken kabisa!!!! jamii forums Ni jukwaa la mtu kutoa mawazo yake binafsi....Sisi tukisema hii Ni CHAI Ni CHAi kweli na fact tunatoa.......Toa na ww za kwako uache mihemko kenge ww
Tumekusikia na tumeku ignore Mzee mwenye IQ kubwa .
Tukuombe tu utusimulie na wewe story tuone how bright your na IQ Yako kubwa
 
Basi nkaenda kumuomba msamaha iryn,katika kumbembeza nkajikuta namla mate huku namçhezea kiunoni.tukiwa tunaendelea iryn nkaona kalegea hajiwezi nkamnyanyua na kumpeleka kitandani,wote tukabaki kama tulivyozaliwa.ile naataka kuchomeka simu yangu ikaanza kuita kuangalia ni mzee mollel anapiga ikabidi nipokee,mzee anaomba pesa itumwe usiku huohuo ili kesho asubuhi na mapema kazi iendelee.nami sababu ni jambo la muhimu sikutaka kumuangusha mzee.nikavaa nguo na kumuaga iryn kisha nikaenda bank

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nayo imeenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…