[emoji3][emoji3][emoji3]Basi nkaenda kumuomba msamaha iryn,katika kumbembeza nkajikuta namla mate huku namΓ§hezea kiunoni.tukiwa tunaendelea iryn nkaona kalegea hajiwezi nkamnyanyua na kumpeleka kitandani,wote tukabaki kama tulivyozaliwa.ile naataka kuchomeka simu yangu ikaanza kuita kuangalia ni mzee mollel anapiga ikabidi nipokee,mzee anaomba pesa itumwe usiku huohuo ili kesho asubuhi na mapema kazi iendelee.nami sababu ni jambo la muhimu sikutaka kumuangusha mzee.nikavaa nguo na kumuaga iryn kisha nikaenda bank
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]hahaha nimecheka kisenge, Maguire ni mwendo wa maboko tu.
Inaendelea......
Nikaona iryn anaiunia vizuri kiuno na mimi bila hiyana nikamvua bikini yake, sikuamini nilichokiona mbele yangu iryn alikuwa kama alivyozaliwa bila kuchelewa nikampanua vizuri mapaja yake na kushika mashine yangu ili nianze kumpelekea moto gafla nikasikia mbwa wanalia sana nje nikavaa suruali yangu na kwenda kuangalia kuna shida gani, wakati narudi nikamkuta iryn ameshavaa nguo zake huku amefura kwa hasira, sikutaka kumuongelesha kwa kuhofia kumuuzi zaidi nikachukua funguo ya gari na kwenda kwangu kulala.
ITAENDELEA.
PriscaInsider shusha vitu
Umri wako tafadhaliMkuu INSIDER MAN kama itakupendeza weka shindano la kuotea mwisho wenu wewe na IRYN utaishiaje
atakayepatia mwisho wa story utamuonesha picha ya IRYN.
me kijana naelekea kwenye uzee.Umri wako tafadhali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nmecheka kwa nguvu sana, JF ni raha mno katika sehemu zinanipa furaha na kunitoa stress ni humu.Basi nkaenda kumuomba msamaha iryn,katika kumbembeza nkajikuta namla mate huku namΓ§hezea kiunoni.tukiwa tunaendelea iryn nkaona kalegea hajiwezi nkamnyanyua na kumpeleka kitandani,wote tukabaki kama tulivyozaliwa.ile naataka kuchomeka simu yangu ikaanza kuita kuangalia ni mzee mollel anapiga ikabidi nipokee,mzee anaomba pesa itumwe usiku huohuo ili kesho asubuhi na mapema kazi iendelee.nami sababu ni jambo la muhimu sikutaka kumuangusha mzee.nikavaa nguo na kumuaga iryn kisha nikaenda bank
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuhesabu hela na kukuta ni milioni 7 nikaishia kufurahi sana, nikawaza nusu nikalipe mkopo kwa mama wawili na nyingine nimtumie mzee Mollel kwenye ujenzi. Baada ya kupeleka hela ile kwa mama wawili akaishia kunisifia kwa uaminifu na akaniahidi siku nikihitaji mkopo mkubwa zaidi atanichukulia. Pia kwa upande wa mzee Mollel aliishia kunisifia kwamba nipo siriazi na ujenzi na utakamilika hivi karibuni.Inaendelea......
Simu yangu ilianza kuita, kucheki alikuwa camilla binti wa mzee juma.
"mambo insider vipi utakuwa na nafasi leo jioni tukapate dinner? Alafu kuna mzigo wako kutoka kwa dady"
Niliwaambia camilla anapenda sana kudeka na uzungu mwingi, ile sauti yake tu nikashindwa hata kumkatalia.....
Baada ya kumaliza dinner camilla alinikabidhi bahasha na kuniambia "huo mzigo wako insider, dady amesema utakusaidia na kukusogeza mpaka wiki ijayo atakaporudi......nilimrudisha camilla kwao na kabla sijaondoka nikafungua ile bahasha ya A4 ndani nikakuta burungutu la elfu kumi kumi zimefungwa kwa haraka haraka nikahesabu ni kama million saba hivi mzee juma alinipa ya matumizi, nikasema hii nitaanza kumlipa mama wa2 mkopo wake.....
Kaka tuoe wachagaKuna mtu humu ndani aliandika nilikuwa sina mipango ya maisha kama kufungua biashara nk, niseme sitaki kushare personal life yangu humu ndani ila nin miradi mingi ambayo nai run.
Kitu cha kwanza niliona kwanza ni busara wife akawa na miradi yake ili kupunguza dependecy kwangu, na hizi ni project ambazo tulizijadili na wife ilikua April, 2022.
View attachment 2768463
MCHANGANUO.
1. Biashara ya kwanza ilikuwa ni butchery ambapo wife angeuza Kuku, samaki, Mayai nknk, changamoto ilikuwa kuanza ni mahitaji mengi yangehitajika kuanzia frem, ukarabati, mashine nknk so cost zilikuwa kubwa sana, tukaipiga chini.
2. Biashara ya pili ilikuwa ni kuuza nguo za watoto na tulianza kufanya Research namna ya kupata suppliers wa mizigo nknk, mizigo ni China na Uturuki lakini kwa Uturuki kwa nguo za watoto wako vizuri. Ilibidi nimcheki jamaa yangu yuko Ulaya nilishandika baada ya kutoka kwenye ile taasisi yeye alikwenda Ulaya kusoma, sasa alikuwa ana connection za huko, niliomba anisaidie kufanya Research
View attachment 2768476
Changamoto ilikuwa ni mtaji wa kuagiza mzigo mkubwa, maana mzigo mdogo ungekata sana hata faida isingeonekana. Tukashauriana tuachane nayo tutadeal nayo baadae,
3. Biashara ya 3 ndo ambayo tunaifanya mpaka sasa na inafanya vizuri na ipo chini ya mchaga wangu mama J. Masuala ya fedha ofisi ipo Mbezi Beach pamoja na biashara ya Vinywaji ila zipo maeneo tofauti. Ukirefer post zangu za nyuma nilishawai kuja humu ndani kuomba connection za kreti na chupa za soda, ilikuwa kwaajili ya hii Biashara.
4. Biashara ya 4 na 2 Wife ana mpango wa kuja kuzifanya baadae akimaliza chuo.
Kuhusu mama J sina shida naye anafanya vizuri sana na ana akili ya biashara sana, anajitegemea kifedha ukiniuliza ni lini nimempa pesa za matumizi nimesahau. Matumizi ya home anatake care mwenyewe labda mimi niwe safari ndo nitakuja na Kuku, mafuta nknk ila pesa zitoagi.
Hata leo nikifa naamini Junior hata pata shida maana mama yake ni mchacharikaji atakuwa sehemu salama.
Mimi niliamua kuwekeza Dodoma ndo mpaka sasa na project zangu huku,
Mnaomdharau Mama J wangu kwenye hii story poleni sana, namuheshimu sana huyu mwanamke, anahudumia watoto church, anasoma bado anasimamia biashara na zinakwenda vizuri.
Leo hii baada ya kutoka church wife kanambia anataka December aaagize gari yake mwenyewe, nimefurahi sana baada ya kupata hizi taarifa.
Bossy lady Iryne View attachment 2768052
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]binadamu wabaya sana "" hasa wabongoo tushashindikanaa tabiaaNiliwaahidi ntawapostia leo jumapili saa 2200. Muda huo nikataka kupost mara simu ikaita. Lucy alikua anapiga anataka nimpeleke golden fork. Ikabidi niende kumfata kwao kimara. Tukiwa tunaenda golden fork mara muda huu simu ikaanza kuita kumbe ni jane anapiga.
Anasema mbwa wamekula pilipili pili. Ikabidi nmshushe lucy niende mbweni kwa jeni nkaone.
πππBado mnataka hii chai??[emoji23]
Inaendelea......
Simu yangu ilianza kuita, kucheki alikuwa camilla binti wa mzee juma.
"mambo insider vipi utakuwa na nafasi leo jioni tukapate dinner? Alafu kuna mzigo wako kutoka kwa dady"
Niliwaambia camilla anapenda sana kudeka na uzungu mwingi, ile sauti yake tu nikashindwa hata kumkatalia.....
Baada ya kumaliza dinner camilla alinikabidhi bahasha na kuniambia "huo mzigo wako insider, dady amesema utakusaidia na kukusogeza mpaka wiki ijayo atakaporudi......nilimrudisha camilla kwao na kabla sijaondoka nikafungua ile bahasha ya A4 ndani nikakuta burungutu la elfu kumi kumi zimefungwa kwa haraka haraka nikahesabu ni kama million saba hivi mzee juma alinipa ya matumizi, nikasema hii nitaanza kumlipa mama wa2 mkopo wake.....
Baada ya kuhesabu hela na kukuta ni milioni 7 nikaishia kufurahi sana, nikawaza nusu nikalipe mkopo kwa mama wawili na nyingine nimtumie mzee Mollel kwenye ujenzi. Baada ya kupeleka hela ile kwa mama wawili akaishia kunisifia kwa uaminifu na akaniahidi siku nikihitaji mkopo mkubwa zaidi atanichukulia. Pia kwa upande wa mzee Mollel aliishia kunisifia kwamba nipo siriazi na ujenzi na utakamilika hivi karibuni.
Kwani umelazimishwa?Hii story ni chai PURE
CHAI
CHAI
CHAI
utaki nenda kafie mbele na unaakili ndogo, wewe na ukoo wenu mzima
Chai wacha tuburudike tuh