Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Ni imani tu mkuu na hakuna kingineKwanini unasema hivyo mkuu[emoji23]?
Ni imani tu mkuu na hakuna kingineKwanini unasema hivyo mkuu[emoji23]?
Mkuu hii nikweli?? Source of information?Jamani wakuu tukaomboleze kule kwa BM 6X, kijana wa buguruni katutoka aise, msiba ni ibada!
HAMCHOKI KUTUTUKANA, KISA TU TUNAFIKIRIA TOFAUTI NA NYIENikiziona hizi I'd
Utajua ujui
akanyambasira
Mkushi w jani
MIRA01
No retreat no surrender
franckkimm
Huwa nacheka Sana
Baada ya kuhesabu hela na kukuta ni milioni 7 nikaishia kufurahi sana, nikawaza nusu nikalipe mkopo kwa mama wawili na nyingine nimtumie mzee Mollel kwenye ujenzi. Baada ya kupeleka hela ile kwa mama wawili akaishia kunisifia kwa uaminifu na akaniahidi siku nikihitaji mkopo mkubwa zaidi atanichukulia. Pia kwa upande wa mzee Mollel aliishia kunisifia kwamba nipo siriazi na ujenzi na utakamilika hivi karibuni.
Baada ya kuhesabu hela na kukuta ni milioni 7 nikaishia kufurahi sana, nikawaza nusu nikalipe mkopo kwa mama wawili na nyingine nimtumie mzee Mollel kwenye ujenzi. Baada ya kupeleka hela ile kwa mama wawili akaishia kunisifia kwa uaminifu na akaniahidi siku nikihitaji mkopo mkubwa zaidi atanichukulia. Pia kwa upande wa mzee Mollel aliishia kunisifia kwamba nipo siriazi na ujenzi na utakamilika hivi karibuni.
Kama nimekumiss hiviKupitia story hii nimeamini mimi ni mshamba lwa sababu sehemu zote za starehe ulizotaja sijawahi Ingia hata moja. Nadhani labda kutokana na kuwa situmii kilevi[emoji51]
Naishia kusoma mitandaoni mara kidimbwi
Umekunywa supu ya maweTunacheki Game ya Singida tukiendelea kurefresh....,
Uzuri nakunywa maziwa, kahawa, tangawizi na zote zinapita fresh bila tabuuu....,
Coz najua hata iwe true story, iwe chai, iwe Tangawizi, Iwe kahawa au true story hainiongezei chochote kwenye maisha wala kunipunguzia chochote zaidi narefresh mind kwa kusoma na kupata baadhi ya madini mdogomdogo tukisonga.
Mkuu INSIDER MAN uko njema Boss endelea kutupa kiburudisho hapa kila mtu atajua mwenyewe kama ni kuchuja au kupooza poa
Uko seriously?Jamani wakuu tukaomboleze kule kwa BM 6X, kijana wa buguruni katutoka aise, msiba ni ibada!
Nimesoma Afghanistan 😂Nilisoma ila sikuunganisha Dot,best ulisomea Quba nn?😂
Inywe chai kama tamu, hii stori kuandika si kazi rahisi na akiamua uzi ana udirect kwenda telegram unalipia link.Insider akamatwe afungwe jiwe kubwa shingoni akatupwe katikati ya bahari, haiwezekani akatupanga kiasi hiki *****, hii ni chai iliyochanganywa na mchaichai mamaee.
Yaani kaka ana nyota ya kupewa hela hadi nikisoma story najiona kama nina gundu vile maana hakuna hata anayenipa buku hata kuuliza maisha yanaendeleaje....mwenye connection ya kupata mfedha fedha tukaogee jamaniInsider alioshewa mfedha fedha utotoni anabahati ya kupewa hela tu hamuwezi kuelewa wengine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Connection zake na pia yupo kwenye system mkuu....system yaani kiongozi wa chama na serikali kama chifu godluvYaani kaka ana nyota ya kupewa hela hadi nikisoma story najiona kama nina gundu vile maana hakuna hata anayenipa buku hata kuuliza maisha yanaendeleaje....mwenye connection ya kupata mfedha fedha tukaogee jamani
Jamaa kupiga tu 10m kwa kupewa tu kawaidaConnection zake na pia yupo kwenye system mkuu....system yaani kiongozi wa chama na serikali kama chifu godluv
Katoa boko kama ka chief godlove na mambaoHehehe sema mwamba anastahili kombe lake kaenda mpaka episodes 50s' bila kustukiwa kama anatumia chumvi ya mawe. Episode iliyopita ndio imevunja kijiwe
Anaishi kama yupo peponi ingawa nyuma alikuwa wa kawaida toka akae kwa uncle mpaka kuuza mabegi, mpaka kupata kazi, na mpaka kufungua workshop yake gerezani, mpaka kununua ist, na mpaka kukutana na iryn na mzee pama hapo ndio nyota ikang'ara bila kumsahau muhajemi.Jamaa kupiga tu 10m kwa kupewa tu kawaida
Noma sana.Katoa boko kama ka chief godlove na mambao
Ila ni kweli kabisa, katika maisha connection na circle yako ( watu wanaokuzunguka) ndio itadetermine maisha yako. Sasa kama circle yako wote apeche alolo maisha kama ya Insider tutayasikia bombani.Connection zake na pia yupo kwenye system mkuu....system yaani kiongozi wa chama na serikali kama chifu godluv