Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Insider alioshewa mfedha fedha utotoni anabahati ya kupewa hela tu hamuwezi kuelewa wengine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani kaka ana nyota ya kupewa hela hadi nikisoma story najiona kama nina gundu vile maana hakuna hata anayenipa buku hata kuuliza maisha yanaendeleaje....mwenye connection ya kupata mfedha fedha tukaogee jamani
 
Yaani kaka ana nyota ya kupewa hela hadi nikisoma story najiona kama nina gundu vile maana hakuna hata anayenipa buku hata kuuliza maisha yanaendeleaje....mwenye connection ya kupata mfedha fedha tukaogee jamani
Connection zake na pia yupo kwenye system mkuu....system yaani kiongozi wa chama na serikali kama chifu godluv
 
Jamaa kupiga tu 10m kwa kupewa tu kawaida
Anaishi kama yupo peponi ingawa nyuma alikuwa wa kawaida toka akae kwa uncle mpaka kuuza mabegi, mpaka kupata kazi, na mpaka kufungua workshop yake gerezani, mpaka kununua ist, na mpaka kukutana na iryn na mzee pama hapo ndio nyota ikang'ara bila kumsahau muhajemi.

Nimejifunza kwenye thread kama wewe ni maskin mpaka ukutane na watu fulani ndio ushikwe mkono, ila hivi hivi ni ngozi kutoboa.
 
Connection zake na pia yupo kwenye system mkuu....system yaani kiongozi wa chama na serikali kama chifu godluv
Ila ni kweli kabisa, katika maisha connection na circle yako ( watu wanaokuzunguka) ndio itadetermine maisha yako. Sasa kama circle yako wote apeche alolo maisha kama ya Insider tutayasikia bombani.
Maana sometimes unaweza kuwa mtoaji sana ila usiwe na circle yenye moyo wa kukupa.
 
Insider Man japo wanasema ni chai hebu shusha uzi wa suprize uone wazee wa chai kama hawatakunywa!

Japo mzee kuna baadhi ya matukio kwa mwanaume Rijali huchomoki wewe umechomoka,ndo maana watu wanashindwa kuamini!!
 

Nyieee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Dah we si mtu mzuri[emoji3][emoji3]
 
We nawe nakuongeza kwa wenye iq ndogo.....faken kabisa!!!! jamii forums Ni jukwaa la mtu kutoa mawazo yake binafsi....Sisi tukisema hii Ni CHAI Ni CHAi kweli na fact tunatoa.......Toa na ww za kwako uache mihemko kenge ww
CHAI INAKUUNGUZA MAKALIO ACHANA NAYO ITAPENYA KWENYE TUNDU HILOO, SASAA KWANINI UNAENDELEA KUFUNUA BIRIKA ILHALI UNAJUA ITAKUUNGUZA KWENYE TUNDU? NA IQ KUBWA YAKO ILA HUTUMII AKILI KUJIOKOA MAPEMA ILI CHAI ISIPENYE HAPO UTATOAJE UCHAFU WAKO SASAA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huu uzi ungekuwa katika maudhui ya kuteseka hakuna mtu angesema chai,people are jealous because of somebody's good life.Sadism is real to some people here!

Mafukara wana hasira na maisha anayosimulia msimuliaji. Wanaona kama vile anawakejeli kwa maisha magumu wanayoyapitia na kuishia kuita chai.
Tulikubaliana tangu awali kuwapuuza na kutocomment kwenye utumbo wanaouandika.
 
Professor Lumumba alisema "
No matter how good you are, if you stay for too long you will spoil it. A good dancer should know when to leave the stage "

Kupitia story yako tumejifunza mengi sana , hatakama ni chai au sio chai hilo unajua wewe, ila umetuongeza kitu kwenye maisha yetu . Asante sana !!

Story haikutakiwa kufika huku ingeishia Episode ya 40 or 30 huko naamini ungekuwa shujaa mbele za watu wengi na moja kati ya waandishi bora kabisa hapa Jf. Tofauti na sasa umekuja kuonekana mtu wa muongo na muhuni..

Mwisho, Ndugu INSIDER MAN bado tunatamani kujua mwendelezo , usikate tamaa ukaishia njiani malizia story.....




Web results​

https://steemit.com/life/@christianosei/a-good-dancer-must-know-when-to-leave-the-stage
 
Mafukara wana hasira na maisha anayosimulia msimuliaji. Wanaona kama vile anawakejeli kwa maisha magumu wanayoyapitia na kuishia kuita chai.
Tulikubaliana tangu awali kuwapuuza na kutocomment kwenye utumbo wanaouandika.
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…