Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nashukuru tu nilikutana na mwanamke muelewa wangekua ni hawa wa fursa sijui hali ingekuaje. Kupitia hayo maumivu nilio yapitia ndio maana namuonya sana insider asije akafanya hicho kitu kuna watu wanaroho mbaya mnoo roho za kuharibu
Kabisa mkuu. Hii dunia hivi unavyoiona kwa nje hawa watu unacheka nao,sivyo kabisa walivyo mioyoni.
 
Kuna kigongo kipya kitaingizwa Jf kwa mara ya kwanza kabisa.
Wale wapenzi wa vitu vya kijasusi vilivyoshiba msikose hii kitu ..(MABADUNI WA SERIKALI).
Kigongo kina sura sita tu, na bado sura mbili kikamilike.

Ningepost lakini naijua arosto ya wadau humu wanaweza kukuombea dua mbaya hivyo naiheshimu sana hadhira.
Wakosoaji wasikose, narudia tena, wasikose. Maana wanaleta ukamilifu ambao nautaka...
SOON TO BE THERE.
Leta letaa mkuu isiwe chai tu
 
Yeah na Iryn anamkubali sana Lucy afanye manuva kuwapatanisha ili nae mambo yake yanyooke!
Kwa ilipofikia Lucy ndio master mind kwa wote naamini boss lady ataomba ushauri kwa Lucy nahiyo inaweza kuwa chance kwa INSIDER kurekebisha makosa
 
Hatimaye nimesoma episode zote 62 hadi sasa.

Wakati mwingine ni vyema kumpa mtu credits zake akiwa hai, tusisubiri afe kama ilivyokuwa kwa leadermoe

Huyu mwamba amejua kupangilia visa vyake kwenye hadithi hii, hata kama itakuwa ni ya kutunga lakini amejua kuiteka hadhira yake.
Pongezi sana Mkuu INSIDER MAN 👏👏👏

Nilichojifunza hakuna kukata tamaa kwenye utafutaji, haijalishi unapitia mangapi.

Kuna baadhi ya watu wanasema hawawezi kujenga kisa wao ni bodaboda, wanasahau mtoa mada ni dereva wa Uber/Bolts lakini ameweza kujenga huko Dodoma na ameweza kufungua biashara zake binafsi.

Tuleni Bata kama anavyosimulia mtoa mada lakini tusiache kuwekeza kwaajili ya Uzee wetu.

Wanasema Fainali Uzeeni
 
Kwa ilipofikia Lucy ndio master mind kwa wote naamini boss lady ataomba ushauri kwa Lucy nahiyo inaweza kuwa chance kwa INSIDER kurekebisha makosa
Sure japo naona jamaa anaenda kusoma so sijui Iryn itakuaje kwani akimaliza tayari ana donge nene la kazi kwa mzee Juma!! Let's wait tuone zimebaki episode chache sana!
 
Hatimaye nimesoma episode zote 62 hadi sasa.

Wakati mwingine ni vyema kumpa mtu credits zake akiwa hai, tusisubiri afe kama ilivyokuwa kwa leadermoe

Huyu mwamba amejua kupangilia visa vyake kwenye hadithi hii, hata kama itakuwa ni ya kutunga lakini amejua kuiteka hadhira yake.
Pongezi sana Mkuu INSIDER MAN 👏👏👏

Nilichojifunza hakuna kukata tamaa kwenye utafutaji, haijalishi unapitia mangapi.

Kuna baadhi ya watu wanasema hawawezi kujenga kisa wao ni bodaboda, wanasahau mtoa mada ni dereva wa Uber/Bolts lakini ameweza kujenga huko Dodoma na ameweza kufunga biashara zake binafsi.

Tuleni Bata kama anavyosimulia mtoa mada lakini tusiache kuwekeza kwaajili ya Uzee wetu.

Wanasema Fainali Uzeeni
Asantreeeeeeeeeeh! Binafsi cha kwanza nilichoikubali hii story ni motivational story! Inahamasisha sana kupambana bila kuchoka!
 
Sure japo naona jamaa anaenda kusoma so sijui Iryn itakuaje kwani akimaliza tayari ana donge nene la kazi kwa mzee Juma!! Let's wait tuone zimebaki episode chache sana!
INSIDER kazungukwa na fursa ashindwe yeye tu Mama 2, Mzee Juma Boss lady Manuel.
 
Asantreeeeeeeeeeh! Binafsi cha kwanza nilichoikubali hii story ni motivational story! Inahamasisha sana kupambana bila kuchoka!
Kwa kweli Mjukuu

Ni funzo kwenu Vijana, sisi Wazee umri umeshatutupa mkono 🤪

Tumebaki kama Mzee Pama 😁
 
Kwa kweli Mjukuu

Ni funzo kwenu Vijana, sisi Wazee umri umeshatutupa mkono 🤪

Tumebaki kama Mzee Pama 😁
Kabisa granpah story inafunza sana sema nimebarikiwa zaidi na funzo la kupambana tu sio la kuzichakaza mbusuu hata kama nyingine zinajilengesha 😂😂!!

Weeee hapana babuuu uishi maisha marefu sanaaaa IJN !

Amen!
 
Kabisa granpah story inafunza sana sema nimebarikiwa na funzo la kupambana tu sio la kuzichakaza mbusuu hata kama nyingine zinajilengesha 😂😂!!

Weeee hapana babuuu uishi maisha marefu sanaaaa IJN !

Amen!
Kuchakata mbususu ni kwa Vijana, sisi Wazee Umri hauruhusu maana unaweza kukutana na binti anakupa kila saa kama Prisca wa INSIDER MAN alafu ukakata moto 🤪

Thanks for the wishes and blessings, huenda nikaishi miaka mingi kama ya Mfalme Daud
 
Kabisa granpah story inafunza sana sema nimebarikiwa zaidi na funzo la kupambana tu sio la kuzichakaza mbusuu hata kama nyingine zinajilengesha [emoji23][emoji23]!!

Weeee hapana babuuu uishi maisha marefu sanaaaa IJN !

Amen!
Boss Antonnia nipo tayari kukutumikia kwa uaminifu zaidi ya INSIDER
 
Kuchakata mbususu ni kwa Vijana, sisi Wazee Umri hauruhusu maana unaweza kukutana na binti anakupa kila saa kama Prisca wa INSIDER MAN alafu ukakata moto 🤪

Thanks for the wishes and blessings, huenda nikaishi miaka mingi kama ya Mfalme Daud
Mabinti wa hivo ndio wazuri babuu wanakufanya uishi maisha marefu kwa kukufurahishaaa na kuchangamsha mapigo yako ya moyo na nafsi wewe hata husumbuki wao ndio wanacontrol mchezo mzimaaa hadi ukiwa kazini kila saa unatamani ukutane nae!

Amen Amen granpa ishi sana!
 
Amen Mjukuu 🙏🙏

Ila Nguvu zenyewe natoa wapi babu yako, maana jogoo mwenyewe anawika kwa mwaka mara 3 kama Jogoo wa Petro wakati anamkana Kristo 😁
 
Mweh mie kapuku hohehahe tu mkuu sina mbele wala nyuma!
[emoji38][emoji38] Boss lady nipo tayari kufanya kazi kwa uaminifu najua wewe ni boss hapo mjini nile mema ya nchi nisha choka kuwa sindikiza wakina INSIDER
 
Back
Top Bottom