Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Maana kila nikitaka kuingia roho inasita ila naona uzi upo juu mawinguni😁
Uzi noumaaa nanusuuuu huu unahamasisha sana kupambana na matukio ya kuchikuchi nehiiii excuse me kama yotreee😁😁😁😂!
Kijana kazungukwa na fursaaaa sijui ni koneksheni tuseme miambiliiii kidogoo....fursa si za pesa si za vinemmbe nyieee🙌🙌🙌!!
 
Saw

Hahaha sawa mwalimu mzinifu 😂😂
 
Uzi noumaaa nanusuuuu huu unahamasisha sana kupambana na matukio ya kuchikuchi nehiiii kama yotreee!
Kijana kazungukwa na fursaaaa sijui ni koneksheni tuseme miambiliiii kidogoo....fursa si za pesa si za vinemmbe nyieee🙌🙌🙌!!
Jamanii una nishawishi niusome na uvivu wangu moja mpaka 455🙆🏾‍♀️😁😁
 
Jamanii una nishawishi niusome na uvivu wangu moja mpaka 455🙆🏾‍♀️😁😁
Ukipata muda komaa uupitie kipenzi ni mzuri sio kidogo!!
Huoni hapo Grahams babu na uzee wake wote kakomaa hadi kamaliza pages zote na kaukubali sana!

Serious Hutajutia kuusoma!
 
UONGO UONGO MWINGINE.

Yule Masai wa wavuvi camp alimpa laki 2 na iryn akaongeza laki 3 jumla laki 5.

Hata uwe Tajiri na exposure kibao hela hazitolewi ovyo kiasi hicho
Utajua hujui ishu ni kwamba haun maokoto pesa hauna kaka😂😂😂😂
 
Kila siku yeye ni mtu wa kupewa Mara million Mara nikapewa million 5 sijui na nani .

Hapo hapo yeye ni mtu wa kutoa muda wote.

Wakati huo Hana shughuli ya kuelnil

Kila siku yeye ni mtu wa kupewa Mara million Mara nikapewa million 5 sijui na nani .

Hapo hapo yeye ni mtu wa kutoa muda wote.

Wakati huo Hana shughuli ya kueleweka
Nilichogudua ni kwamba husomi story yote ukaelewa,unasoma tuu sehemu ya maokoto that means huna hela ukiskia million unapatwa na kichaa,kwahy umeshindwa ata kukumbuka episode ya mwisho hapa irny anamtambulisha insider kama manager wake,kwahy kuwa manager hiyo siyo shughuli yakueleweka?
 
Ukipata muda komaa uupitie kipenzi ni mzuri sio kidogo!!
Huoni hapo Grahams babu na uzee wake wote kakomaa hadi kamaliza pages zote na kaukubali sana!

Serious Hutajutia kuusoma!
Kwa kweli Mjukuu, nimetumia muda mrefu kuisoma na miwani yangu ya macho 🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…