Huyo ni main character, mpaka hivi sasa anatafuta kulipia watoto bima. Usihofu mkuu
Hio ya kusubiria hizo episode 8 zizobaki tutulie jamaa yuko bize kujiandaa na kwenda kujiendeleza kimasomo! Tuwe wapole kwa muda!
Miss you mamaa la mamaa 😘😘!Me jobless ooh!! Hapa nasubiri mchuchu unipe mtaji wa vijora 😜
Ohooo nilisahauu uduguuuWewe udugu me apeche alolo 🤣🤣🤣
Usifanye chino ahairishe kunipa mtaji
Me too darling 😍😘💋Miss you mamaa la mamaa 😘😘!
Nakuona tyuu unavyonipeperushia tajiri 😂😂😂Ohooo nilisahauu uduguuu
Mdomo komaaa😷!
Huyo jamaa ashajiona keki sahv, anafanya makusudi. toka aseme episode zote zipo tayari ameshaweka episode 2, bado anajiadai yupo busy lakin anasoma kila comment...Hio ya kusubiria hizo episode 8 zizobaki tutulie jamaa yuko bize kujiandaa na kwenda kujiendeleza kimasomo! Tuwe wapole kwa muda!
😁😁😁😁😁!Nakuona tyuu unavyonipeperushia tajiri 😂😂😂
SawasawaHuyo ni main character, mpaka hivi sasa anatafuta kulipia watoto bima. Usihofu mkuu
😂😂😂😂😂Hajafa. Yupo nje ya inji.
😂😂Hapana sio mie kipenzi! Mundele Makusu Kaparo Nuhu39 Missy Gf Kigi Makasi mna hio taarifa hapo juu taarifa lakini??? 👆🤠!
Huyu tajiri wa MCHONGO 🤣🤣🤣😁😁😁😁😁!
Nimekoma kuropoka mimiii jamani hebu tajiriii akuje asee!
Khakhakhaaaaaaaa!Huyo jamaa ashajiona keki sahv, anafanya makusudi. toka aseme episode zote zipo tayari ameshaweka episode 2, bado anajiadai yupo busy lakin anasoma kila comment...
Watu wamemiminika inbox kwake ndo maana anaona avute vute muda ili asije akapoteza umaarufu [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chino Ako vizure uduguuu relaxxxx ule maishaaa!Huyu tajiri wa MCHONGO 🤣🤣🤣
Toka ameahidi kutupa kibunda zaidi ya miezi 3 imepita holaaaa!!!
Me simtaki kwa Kweli 🤣
Chino Ako vizure uduguuu relaxxxx ule maishaaa!
Cheka utanue mapafu uduguuu jf never boring![emoji1787][emoji1787][emoji1787] udugu kichwa kinaniuma naomba usinichekeshe puliiiizz
Cheka utanue mapafu uduguuu jf never boring!
Hebu Nikapumzishe fuvu langu mimii mrare unono wapendwaaa [emoji3577][emoji3577]!