Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hio ya kusubiria hizo episode 8 zizobaki tutulie jamaa yuko bize kujiandaa na kwenda kujiendeleza kimasomo! Tuwe wapole kwa muda!
Huyo jamaa ashajiona keki sahv, anafanya makusudi. toka aseme episode zote zipo tayari ameshaweka episode 2, bado anajiadai yupo busy lakin anasoma kila comment...

Watu wamemiminika inbox kwake ndo maana anaona avute vute muda ili asije akapoteza umaarufu [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁😁😁😁😁!
Nimekoma kuropoka mimiii jamani hebu tajiriii akuje asee!
Huyu tajiri wa MCHONGO 🤣🤣🤣
Toka ameahidi kutupa kibunda zaidi ya miezi 3 imepita holaaaa!!!
Me simtaki kwa Kweli 🤣
 
Huyo jamaa ashajiona keki sahv, anafanya makusudi. toka aseme episode zote zipo tayari ameshaweka episode 2, bado anajiadai yupo busy lakin anasoma kila comment...

Watu wamemiminika inbox kwake ndo maana anaona avute vute muda ili asije akapoteza umaarufu [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Khakhakhaaaaaaaa!
Tuwe wapole tu no way!

Sema Asitufanyie hivoo aseeee! Yasije tokea ya stivu alianza kutoa excuses kibao watu hatukujali chochote tukatia kapuni kwani ilikua too much😁!!
Hata kama aliamua kusimulia mwenyewe kwa bando lake na hatukumlipa chochote ila alivozingua🚮🚮🚮🚮🚮😏!!

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 This is jf bana!
 
Back
Top Bottom