aise utatutag sasa maana hivyo ndio vitu vyetuKuna kigongo kipya kitaingizwa Jf kwa mara ya kwanza kabisa.
Wale wapenzi wa vitu vya kijasusi vilivyoshiba msikose hii kitu ..(MABADUNI WA SERIKALI).
Kigongo kina sura sita tu, na bado sura mbili kikamilike.
Ningepost lakini naijua arosto ya wadau humu wanaweza kukuombea dua mbaya hivyo naiheshimu sana hadhira.
Wakosoaji wasikose, narudia tena, wasikose. Maana wanaleta ukamilifu ambao nautaka...
SOON TO BE THERE.
Mkuu unmind ulaji wa mwanao na matumizi yake ya nguo? Kuna wengine wanakuza watoto bila hizo swagger za nyama na pampersI've got Two kids wanakula hela hatari kuna mda nikimwangalia mwanangu anavyofakamia nyama nawaza siku nikikosa hela ya nyama inakuwaje
Watoto ni gharama kweli kweli. Unamvalisha pampers anakunya hapohapo mda huo huo🤣
Mzee malizia story tufanye maisha mengine
Hii ni jamii forum kila mtu anahela! Mmasai anapewa 200,000/= kama ongera kwa kupata mtoto kwa urafiki tu wa kumtafutia mahali pa kupaki ist!😂😂😆😂Mkuu wewe unaona 50k ni hela kubwa sana? Hio nikienda samaki samaki napata heineken 7 pesa imeisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1544][emoji1544]
Hii ni jamii forum kila mtu anahela! Mmasai anapewa 200,000/= kama ongera kwa kupata mtoto kwa urafiki tu wa kumtafutia mahali pa kupaki ist![emoji23][emoji23][emoji38][emoji23]
Hizi ni story za vijana wa vijiweni kujidanganya kupata maisha mazuri wakati hadi wanazeeka hawana wanachomiliki zaidi kuninginiza "prostate dick" kwenye pantUmesahau alimpa Masai wa wavuvi laki 2 mammae kwa maisha gani
Uenda anabiashara nyingine sambamba na biashara ya kusugua migongo ya wanaume anayoifanya iryn! Eti nikaomba mkopo mil.10 chap chap napewa kwenyebahasha, ndani ya mwaka nikamaliza; nikaomba nikapewa 20mil. nyingine bila collateral! Weeewe! Hakuna maisha ya namna hiyo hata ulayaKila siku yeye ni mtu wa kupewa Mara million Mara nikapewa million 5 sijui na nani .
Hapo hapo yeye ni mtu wa kutoa muda wote.
Wakati huo Hana shughuli ya kueleweka
Hata bar za uswahili kuna managerNilichogudua ni kwamba husomi story yote ukaelewa,unasoma tuu sehemu ya maokoto that means huna hela ukiskia million unapatwa na kichaa,kwahy umeshindwa ata kukumbuka episode ya mwisho hapa irny anamtambulisha insider kama manager wake,kwahy kuwa manager hiyo siyo shughuli yakueleweka?
Kila simulizi ninayosoma Jf lazima nakuta ushaipitia/coment sijui kama kuna ambayo hujaisoma hii ya INSIDER nimeona kimya kimezidi kumbe unapita kimya kimya.Nipo Nuhu nimekuwa msomaji wa kimyakimya tupo wote toka mwanzo kabisa
Nipo Nuhu nasoma kimya kimya usijali tupo pamoja na sisi tunaosubiri ryn aliwe tupo wengi kila siku akitaka kuliwa mkeka unachanikaKila simulizi ninayosoma Jf lazima nakuta ushaipitia/coment sijui kama kuna ambayo hujaisoma hii ya INSIDER nimeona kimya kimezidi kumbe unapita kimya kimya.
Hahaha had nimetabasamu aiseHii ni jamii forum kila mtu anahela! Mmasai anapewa 200,000/= kama ongera kwa kupata mtoto kwa urafiki tu wa kumtafutia mahali pa kupaki ist!😂😂😆😂
Haina mbayaaise utatutag sasa maana hivyo ndio vitu vyetu
Mzee utanifanya niandae hela ya korosho kilo moja na karanga za kukaangwa za kutosha...ni kutafuna tu na kusoma simuliziHaina mbaya
Kuna vitu tunaviweka sawa ili ikishuka hii kitu tusepe na dunia ya Jamii forum.
Insider alisema huyu masai ni mtu ambaye ni potential sana kwake, maana amekuwa akimuunganisha na pisi za uhakika pale ambapo anakuwa na wageni na wanataka malaya, hivyo masai amekuwa ni chanzo cha insider kutengeneza hela kutoka kwa wageni kwa muunganisha na malaya, sasa hapo kuna ubaya gani akimpa hela, maana kupitia yeye anatengeneza zaidi ya alichotoa, jaribuni kusoma na kuelewa,Hii ni jamii forum kila mtu anahela! Mmasai anapewa 200,000/= kama ongera kwa kupata mtoto kwa urafiki tu wa kumtafutia mahali pa kupaki ist![emoji23][emoji23][emoji38][emoji23]
Zimebaki episode chache simulizi iishe mkeka lazima utiki soon boss lady analiwaNipo Nuhu nasoma kimya kimya usijali tupo pamoja na sisi tunaosubiri ryn aliwe tupo wengi kila siku akitaka kuliwa mkeka unachanika
Watu mko na makasiriko sana, ugumu wa maisha ulio nao wewe siyo kila mtu anaupitia kumbuka kuna watu wako na bahati zao na wamejaliwa kukutana na watu sahihi kwenye mihangaiko yao ya kila siku, kikubwa ni nidhamu na uaminifu kwenye haya maisha na kuweka tamaa mbali kama unataka kufanikiwaUenda anabiashara nyingine sambamba na biashara ya kusugua migongo ya wanaume anayoifanya iryn! Eti nikaomba mkopo mil.10 chap chap napewa kwenyebahasha, ndani ya mwaka nikamaliza; nikaomba nikapewa 20mil. nyingine bila collateral! Weeewe! Hakuna maisha ya namna hiyo hata ulaya
Watu mko na makasiriko sana, ugumu wa maisha ulio nao wewe siyo kila mtu anaupitia kumbuka kuna watu wako na bahati zao na wamejaliwa kukutana na watu sahihi kwenye mihangaiko yao ya kila siku, kikubwa ni nidhamu na uaminifu kwenye haya maisha na kuweka tamaa mbali kama unataka kufanikiwa
Haha sijamind umenielewa vibayaMkuu unmind ulaji wa mwanao na matumizi yake ya nguo? Kuna wengine wanakuza watoto bila hizo swagger za nyama na pampers
Ms majicho upoMimi naomba sate sauzand sijasema nachafua hali ya hewa[emoji1787]. Nakutumia namba hapa[emoji4]
Hakuna mtu Ana stress mnachoshidwa kuelewa ni kwamba .