Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kuna kigongo kipya kitaingizwa Jf kwa mara ya kwanza kabisa.
Wale wapenzi wa vitu vya kijasusi vilivyoshiba msikose hii kitu ..(MABADUNI WA SERIKALI).
Kigongo kina sura sita tu, na bado sura mbili kikamilike.

Ningepost lakini naijua arosto ya wadau humu wanaweza kukuombea dua mbaya hivyo naiheshimu sana hadhira.
Wakosoaji wasikose, narudia tena, wasikose. Maana wanaleta ukamilifu ambao nautaka...
SOON TO BE THERE.
aise utatutag sasa maana hivyo ndio vitu vyetu
 
I've got Two kids wanakula hela hatari kuna mda nikimwangalia mwanangu anavyofakamia nyama nawaza siku nikikosa hela ya nyama inakuwaje

Watoto ni gharama kweli kweli. Unamvalisha pampers anakunya hapohapo mda huo huo🤣

Mzee malizia story tufanye maisha mengine
Mkuu unmind ulaji wa mwanao na matumizi yake ya nguo? Kuna wengine wanakuza watoto bila hizo swagger za nyama na pampers
 
Kila siku yeye ni mtu wa kupewa Mara million Mara nikapewa million 5 sijui na nani .

Hapo hapo yeye ni mtu wa kutoa muda wote.

Wakati huo Hana shughuli ya kueleweka
Uenda anabiashara nyingine sambamba na biashara ya kusugua migongo ya wanaume anayoifanya iryn! Eti nikaomba mkopo mil.10 chap chap napewa kwenyebahasha, ndani ya mwaka nikamaliza; nikaomba nikapewa 20mil. nyingine bila collateral! Weeewe! Hakuna maisha ya namna hiyo hata ulaya
 
Nilichogudua ni kwamba husomi story yote ukaelewa,unasoma tuu sehemu ya maokoto that means huna hela ukiskia million unapatwa na kichaa,kwahy umeshindwa ata kukumbuka episode ya mwisho hapa irny anamtambulisha insider kama manager wake,kwahy kuwa manager hiyo siyo shughuli yakueleweka?
Hata bar za uswahili kuna manager
 
Nipo Nuhu nimekuwa msomaji wa kimyakimya tupo wote toka mwanzo kabisa
Kila simulizi ninayosoma Jf lazima nakuta ushaipitia/coment sijui kama kuna ambayo hujaisoma hii ya INSIDER nimeona kimya kimezidi kumbe unapita kimya kimya.
 
Kila simulizi ninayosoma Jf lazima nakuta ushaipitia/coment sijui kama kuna ambayo hujaisoma hii ya INSIDER nimeona kimya kimezidi kumbe unapita kimya kimya.
Nipo Nuhu nasoma kimya kimya usijali tupo pamoja na sisi tunaosubiri ryn aliwe tupo wengi kila siku akitaka kuliwa mkeka unachanika
 
Haina mbaya
Kuna vitu tunaviweka sawa ili ikishuka hii kitu tusepe na dunia ya Jamii forum.
Mzee utanifanya niandae hela ya korosho kilo moja na karanga za kukaangwa za kutosha...ni kutafuna tu na kusoma simulizi
Kama vp anza next week kaka shusha vyuma taratbu
 
Hii ni jamii forum kila mtu anahela! Mmasai anapewa 200,000/= kama ongera kwa kupata mtoto kwa urafiki tu wa kumtafutia mahali pa kupaki ist![emoji23][emoji23][emoji38][emoji23]
Insider alisema huyu masai ni mtu ambaye ni potential sana kwake, maana amekuwa akimuunganisha na pisi za uhakika pale ambapo anakuwa na wageni na wanataka malaya, hivyo masai amekuwa ni chanzo cha insider kutengeneza hela kutoka kwa wageni kwa muunganisha na malaya, sasa hapo kuna ubaya gani akimpa hela, maana kupitia yeye anatengeneza zaidi ya alichotoa, jaribuni kusoma na kuelewa,
 
Nipo Nuhu nasoma kimya kimya usijali tupo pamoja na sisi tunaosubiri ryn aliwe tupo wengi kila siku akitaka kuliwa mkeka unachanika
Zimebaki episode chache simulizi iishe mkeka lazima utiki soon boss lady analiwa
 
Uenda anabiashara nyingine sambamba na biashara ya kusugua migongo ya wanaume anayoifanya iryn! Eti nikaomba mkopo mil.10 chap chap napewa kwenyebahasha, ndani ya mwaka nikamaliza; nikaomba nikapewa 20mil. nyingine bila collateral! Weeewe! Hakuna maisha ya namna hiyo hata ulaya
Watu mko na makasiriko sana, ugumu wa maisha ulio nao wewe siyo kila mtu anaupitia kumbuka kuna watu wako na bahati zao na wamejaliwa kukutana na watu sahihi kwenye mihangaiko yao ya kila siku, kikubwa ni nidhamu na uaminifu kwenye haya maisha na kuweka tamaa mbali kama unataka kufanikiwa
 
IMG_3129.jpg
 
Either kuna watu wanastress and they don't want to believe what they hear or see. Kula brunch Serena , Rotana au Hyatt unajua ni kiasi gani? Kuna watu wana reservation ya mwaka (kila jumapili) na bill siyo chini ya 500,000. Tafuteni hela na wacha kulalamika na kusema hii ni Chai
 
Hakuna mtu Ana stress mnachoshidwa kuelewa ni kwamba .

Mambo anayoongea jamaa hayaendani na uhalisia wa hali halisi ya maisha hata kama unalipwa million 5.

From no where haiwezekani umpe.mtu laki 2 bila mpangilio hapa umetupiga.

Flow yako ya kutoa hela na kupokea imeonekana ni nyepesi.

Jamaa ni chief Godlove aliyechangamka
 
Back
Top Bottom