Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Wewe unatumia Tsh ngapiEither kuna watu wanastress and they don't want to believe what they hear or see. Kula brunch Serena , Rotana au Hyatt unajua ni kiasi gani? Kuna watu wana reservation ya mwaka (kila jumapili) na bill siyo chini ya 500,000. Tafuteni hela na wacha kulalamika na kusema hii ni Chai
Gharama ila mnazaa na Malaya wanawafanya vitenga uchumi tuna watoto na tunalea.Haha sijamind umenielewa vibaya
Nimesema kweli watoto ni gharama.
True [emoji106]
Whatever ndo umpe laki 2 yeye mwenyewe maisha anaungaInsider alisema huyu masai ni mtu ambaye ni potential sana kwake, maana amekuwa akimuunganisha na pisi za uhakika pale ambapo anakuwa na wageni na wanataka malaya, hivyo masai amekuwa ni chanzo cha insider kutengeneza hela kutoka kwa wageni kwa muunganisha na malaya, sasa hapo kuna ubaya gani akimpa hela, maana kupitia yeye anatengeneza zaidi ya alichotoa, jaribuni kusoma na kuelewa,
Yaani kuna jamaa Yuko tiktoker anaitwa Godove wanaendana nae maana yeye mambo yake ni kama haya haya.Uenda anabiashara nyingine sambamba na biashara ya kusugua migongo ya wanaume anayoifanya iryn! Eti nikaomba mkopo mil.10 chap chap napewa kwenyebahasha, ndani ya mwaka nikamaliza; nikaomba nikapewa 20mil. nyingine bila collateral! Weeewe! Hakuna maisha ya namna hiyo hata ulaya
Nipo za kwako?Ms majicho upo
Chelewa chelewa utakuta mwana si wako alitaka kukurusha roho nawe umeitikia kama mawazo yakeMoyo wangu ulipiga paaah!, Moyo uliniuma sana, niliumia sana jamani. Hakuna siku ambayo niliumia kwenye maisha yangu kama hii na nilipatwa na hasira sana.
Muda huu mawazo yangu kichwani yalikuwa yananiambia Iryn alikuwa analiwa haiwezekani aniweke zaidi ya nusu saa. Ahh k*m*nina niliishia kutukana tu muda ule
Sawa bossGharama ila mnazaa na Malaya wanawafanya vitenga uchumi tuna watoto na tunalea.
Tunachoangalia na kuzingatia ni mahitaji ya lazima mfano maziwa lactogen,nguo,unga wa uji kama ameanza kula pampas .
Sasa mnavyotuambia wanamaliza hela hela gani mnaongea nyie.
Acheni Hizo au mnadhani ndo nyie mnaolea peke yenu
Muandishi anakuaminisha maisha marahisi sana sasa jichanganye 😂Hahaha had nimetabasamu aise
huwajui insider fans wewe, tulia uoneCHAI IMEKOLEA NAZIIII 😂😂😂
Mtori unamaji mengi hauna nyama chini 😂😂😂😂
Chai
Chai
Chai
Mpaka ufute neno true story! Vijana wanahisi maisha marahis hvyo
Acha ujinga hujalazimishwa kusomaCHAI IMEKOLEA NAZIIII [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtori unamaji mengi hauna nyama chini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chai
Chai
Chai
Mpaka ufute neno true story! Vijana wanahisi maisha marahis hvyo
Mimi sina hela ila nimeamini. Mzee watu wanahela sijui unanielewa ungebahatika hata kusoma na watoto wa kishua ungejua haya yalio andikwa ni kweli. Mtoto wa kishua kukupa simu kali zaidi ya simu ya baba yako na kesho ukamuona na nyingine ni kitu cha kawaida sana.Hakuna mtu Ana stress mnachoshidwa kuelewa ni kwamba .
Mambo anayoongea jamaa hayaendani na uhalisia wa hali halisi ya maisha hata kama unalipwa million 5.
From no where haiwezekani umpe.mtu laki 2 bila mpangilio hapa umetupiga.
Flow yako ya kutoa hela na kupokea imeonekana ni nyepesi.
Jamaa ni chief Godlove aliyechangamka
Sasa insider mtoto wa kishua kwani si amekueleza alikotokeaMimi sina hela ila nimeamini. Mzee watu wanahela sijui unanielewa ungebahatika hata kusoma na watoto wa kishua ungejua haya yalio andikwa ni kweli. Mtoto wa kishua kukupa simu kali zaidi ya simu ya baba yako na kesho ukamuona na nyingine ni kitu cha kawaida sana.
Halafu hata huyo godlove pamoja na kumsema hana hela ila bado hela anayo ukitaka kujua hilo igiza na wewe una miliki benzi na ranji alafu unatokea kwenye mjengo mkali
Poleni sanaWanangu wa Arsenal tuko pamoja, ushindi lazima leo,View attachment 2771036
Tukikusanya waendesha uber wote tanzania. Ni huyu tu aliyewahi toa 200k kwa mlinzi wa sehemu ya sitarehe. Nadhani umenielewa. Wanalinganisha kazi ya mhusika, kipato mara anazotoaMimi sina hela ila nimeamini. Mzee watu wanahela sijui unanielewa ungebahatika hata kusoma na watoto wa kishua ungejua haya yalio andikwa ni kweli. Mtoto wa kishua kukupa simu kali zaidi ya simu ya baba yako na kesho ukamuona na nyingine ni kitu cha kawaida sana.
Halafu hata huyo godlove pamoja na kumsema hana hela ila bado hela anayo ukitaka kujua hilo igiza na wewe una miliki benzi na ranji alafu unatokea kwenye mjengo mkali
By the way...... Kuna watu Wana hela sio mchezo kipind nipo IFM om ni sinza tuu apo Ila Kuna dogo alikuwa usafiri wake BOLT...... hajawah panda dala dala na alkuwa anaish sinza A hii iliopo opposite na MLIMAN CITY..... sku moja nkamshawish tupande mwendkas anisndkze UBUNGO maji pale...... Anatka kulia kulivobanana kweny gari[emoji16][emoji16]Mimi sina hela ila nimeamini. Mzee watu wanahela sijui unanielewa ungebahatika hata kusoma na watoto wa kishua ungejua haya yalio andikwa ni kweli. Mtoto wa kishua kukupa simu kali zaidi ya simu ya baba yako na kesho ukamuona na nyingine ni kitu cha kawaida sana.
Halafu hata huyo godlove pamoja na kumsema hana hela ila bado hela anayo ukitaka kujua hilo igiza na wewe una miliki benzi na ranji alafu unatokea kwenye mjengo mkali
Seems you are economists by nature(joke) [emoji16][emoji16] wakati najiandaa kwenda LIQUID apo uhasbu ku-popu Kuna mtu aningia Hyatt regency kununua the same bia Ila price tofaut uku bucket 15k...... Hyatt bia 6k moja mRa tano bucket hw much[emoji16]Hakuna mtu Ana stress mnachoshidwa kuelewa ni kwamba .
Mambo anayoongea jamaa hayaendani na uhalisia wa hali halisi ya maisha hata kama unalipwa million 5.
From no where haiwezekani umpe.mtu laki 2 bila mpangilio hapa umetupiga.
Flow yako ya kutoa hela na kupokea imeonekana ni nyepesi.
Jamaa ni chief Godlove aliyechangamka
Tukikusanya waendesha uber wote tanzania. Ni huyu tu aliyewahi toa 200k kwa mlinzi wa sehemu ya sitarehe. Nadhani umenielewa. Wanalinganisha kazi ya mhusika, kipato mara anazotoa
Tulia, naweza anza hata kesho but nawajua wadau wa humu. Nikiwaambia once per week hawataelewa kabisa, wanaweza kunifuata arosto ikizidi.Mzee utanifanya niandae hela ya korosho kilo moja na karanga za kukaangwa za kutosha...ni kutafuna tu na kusoma simulizi
Kama vp anza next week kaka shusha vyuma taratbu