Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Wewe unatumia Tsh ngapiEither kuna watu wanastress and they don't want to believe what they hear or see. Kula brunch Serena , Rotana au Hyatt unajua ni kiasi gani? Kuna watu wana reservation ya mwaka (kila jumapili) na bill siyo chini ya 500,000. Tafuteni hela na wacha kulalamika na kusema hii ni Chai