Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu


Wakati niko UDSM nilikuwa na dem nimemtangulia mwaka yeye alikuwa UDBS huko, kula yake hajawai kula cafeteria yeye ni Mlimani city, usafiri wake ni Uber na alikuwa anakaa Mbezi Beach.

Nakumbuka iphone X yake ilianguka ikapasuka kioo, kesho yake akaja na nyingine na ile akanipa hapo mimi ndi choka mbaya sina maisha[emoji23][emoji23][emoji23]

Dem wa kishua balaa hajawai panda daladala yeye na uber tu, kula Mliman City. Ukiwa huna hela utaona haliwezekani ila ukiwa na hela utaona simple sana.

Kuna watu wanatumia hela huko batani sio poa mpaka unasema hivi Tanzania watu wana hela hivi?
 
Tulia, naweza anza hata kesho but nawajua wadau wa humu. Nikiwaambia once per week hawataelewa kabisa, wanaweza kunifuata arosto ikizidi.
Maana baadhi wananijua had napofanyia kazi.
Kesho unitag mzee tutakua sambamba kama chuma kitakua kikali
 
Mama yangu alinambia mwanangu sio kila aliefanikiwa katumia nguvu zake..... Akaniambia fanya kazi kwa bidii, iwe na imani, tafuta connection, watu wasikutegemee, tegemeanen km MUTUAL BENEFITS kwa wote...... Alinipa mifano mingi na ndo jamaa nae naona katoa the same story japo walkuwa sio madreva Uber but acha kabisaa maishani tuombe na tutoke kukutana na watu ni kutoka mzee wangu..... I like that
Kaka acha kabisaa Kuna watu vibunda sio shida zao...... Nilivokuwa chuo nilijiona ela sina kabisaa......

Nilikuwa naenda kuruka viwanja kwelii.... Sikuwa nategemea sana watu... Sijui kunywa au kula not....... Ila nilikuwa na madem watatu karibu mno walkuwa na ela ikitokea Assignment mm ndo nafanya [emoji16], sjui presentation wapo na Mimi nilikuwa napelekwa sehem ambazo sijawah fika.... Hotels hiz daslam, restaurant masaki uko na viwanja vya Bata nilifika kutokana na ile circle ya madem plus dogo Yule.....

Sehem chache alizotaja jamaa sijafka kwakwel......
 
Mimi story nzima nimeipenda, ila suala la kutoa tip ya 50k kwa mlinzi, nimejiona Mimi sina hela kabisa
Huyu katoa kwa mlinzi mmoja kuna mwamba mmoja ni mpambe tu wa boss wa hizi timu za k.koo aliwapa walinzi 3 50k kila mmoja wakati huohuo na staff wa bnk wakalamba 100k kila mmoja kuna raia kuacha maokoto kwao sio shda
 
Mjomba acha ubishi basi unafikiri roho yako ilivyojikunja ndio watu wote wako hivyo
 

Kubali huna hela
 

Mzee ulikuwa Kibopa nini[emoji23][emoji23][emoji23]

Chuo ukiwa Kibopa madem wa kishua utawala sana, hata assignment wanataka uwafanyie.

Nimewala sana madem wa Udbs maana Finance ilikuwa inawagonga sana[emoji23][emoji23][emoji23]

Hapa mjini ni Connection tu kama kwenye contact zako unakosa mtu hata wa kukusadia 500k ya haraka bhasi una mizigo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Akaunt sunajua ilvo ngumu
Zile financial reports, treasury mgt, corporate account, apo lzm wasome apeche alolo[emoji16][emoji1787]
Hamna chifu kawaid..... Tuu walikuw wananikubali ile tuu......
Ila kwa nje watu walidhan tuna mahusiano.... Ila ktk watatu alikuwa km Iryn wa insider by the way alinielewa na Mimi alinishika kweny tembea...... Dem alkuwa na cut walk matata na alkuwa na shepu flanii hips sio kubwa..... Bas ikatokea zima taa[emoji16]

Ila walkuwa vizuri financial ata saa hz nikimshutua I need 200k sio shida zake....
All in all aseeh kiongoziii wangu tujaribu kuwa na watu ambao ni mutual friend na sio wanatak uwasaidie tuu
 

Madem wa kishua raha sana hawasumbui kabisa as long as amekupenda,

Yule dem yuko Europe huko anakula maisha alinambia nikirudi Tz nitakucheki,
 
Madem wa kishua raha sana hawasumbui kabisa as long as amekupenda,

Yule dem yuko Europe huko anakula maisha alinambia nikirudi Tz nitakucheki,
Dem Kuna siku alikuwa na special anatak nimfundishe.... Nkamwambia tafuta location...... Saa ngp hatujaenda masaki uko fish monger.... Aani wenzie wnaenda chuo sisi tunaend uko restaurant nkasema achenii hizi elaa.... ziiwe ela
Tupambn wanetu wasije lia na kupost link za free gift maake ni KUBAYA[emoji1787]
Hawasumbui na Mimi stakiii madem wanaolia shida khee.......
Huez Amin Dem anasema ukianza tu CPA tuanze wotee make ntakuwa na mtu atakae nifanya nisome.......
 

Unavotoa zaidi ndivyo unapokea zaidi kuna muda baraka zetu zinafungwa kwasababu hatutoi sio tu sadaka hata kusaidia watu hatusaidii[emoji119][emoji119] Yani ntu anaona 200k ni hela ya kushindwa kumpa mtu yanu elfu kumi kumi 20[emoji23][emoji23]

Jifunze kutoa utaona hivyo ni vitu vya kawaida kuna watu wao kutumia 1M per day ni kitu ya kawaida[emoji23][emoji23]

Watu wanaoona haya mambo ni uongo wengi hamna kazi au mmetokea kwenye maisha ya kawaida yani unaona maisha ya mwenzio uongo kwasababu wewe huyaishi
 
Hawa vijana hawana familia mimi Junior bajeti yake ya mwezi ni balaa [emoji1544]
Hiyo nadhani kwa jinsi wewe ulivyotengeneza fomula hiyo kwe familia yako sisi wengine watoto wetu hawafungwi pampus ni mpaka wako safari kwa dharura,tunajua madhara ya hizo pampas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…