Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
By the way...... Kuna watu Wana hela sio mchezo kipind nipo IFM om ni sinza tuu apo Ila Kuna dogo alikuwa usafiri wake BOLT...... hajawah panda dala dala na alkuwa anaish sinza A hii iliopo opposite na MLIMAN CITY..... sku moja nkamshawish tupande mwendkas anisndkze UBUNGO maji pale...... Anatka kulia kulivobanana kweny gari[emoji16][emoji16]
Sasa bhn Kuna siku tukiwa campus maeneo ya canteen pale..... Akashangaa mtu anakula ugali na dagaa wa mwanza like what is this? Like seriously!! Nkamwambia hapana kila mtu ana favorite food na maeneo tuliyotokea plus uchumi........
Wakati niko UDSM nilikuwa na dem nimemtangulia mwaka yeye alikuwa UDBS huko, kula yake hajawai kula cafeteria yeye ni Mlimani city, usafiri wake ni Uber na alikuwa anakaa Mbezi Beach.
Nakumbuka iphone X yake ilianguka ikapasuka kioo, kesho yake akaja na nyingine na ile akanipa hapo mimi ndi choka mbaya sina maisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Dem wa kishua balaa hajawai panda daladala yeye na uber tu, kula Mliman City. Ukiwa huna hela utaona haliwezekani ila ukiwa na hela utaona simple sana.
Kuna watu wanatumia hela huko batani sio poa mpaka unasema hivi Tanzania watu wana hela hivi?