Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Yani binafsi baada ya kuona mzee baba kazabwa kibao cha masikio na mtoto wa kike mwenye roho ya upole na asiye na tabia ya ukatili, niliona kabisa hiki ndo kinachoenda kuchukua nafasi, kinachoenda kutokea ni comeback ya kuliwa Iryn kwasababu akilini kwake asingeweza kuwa sawa kwa kumzaba kibao mzee baba, angehitaji namna ya kumpooza Insider ambayo bila shaka hakukuwa na namna nyengine yoyote ile zaidi ya kumpa papuchi kijana.
 

Kumtafuta ni jambo Moja, kufikia hatua ya kupeana raha ni jambo lingine tofauti kabisa
 
Kwa hii Episode nimedinda hapa hatari, tunaomba kwa niaba ya Wanaume wa JF ufunge PM yako, dada zetu watasumbua huko DM.

Kuna aliyetegemea hii Episode Iryn angeliwa??
 
B
Babu na wewe unasomaga huku
 
CHAI YAAN KUNA MAFALA WANAAMINI YAN YAN CHAI YA MCHANA MCHANA HII
 
Nawew alishawah kukuchezea nin akamwaga mapema?
 
Okey ngoja nikae Pembeni maana umri haunipi ushirikiano.
 
Hiv kuna watu kabsa wako serious wanamlilia jamaa pm wakiamini kuna kazi, we'll be there msije kulia apa,watu mnaendeshwa na emotions before hamjashirikisha milango yenu ya fahamu, personally I second those fellas wanaosema hii story ni ya uongo,shida wale great thinkers wa JF hawapo tena atleast ingekua rahisi kujua hii story sio ya kweli

Fid Q aliwahi kuimba " ukiacha hisia zikuendeshe utaishia kufeli" ,kuweni makini km umeamua kupata burudani humu ni vyema ila sio kutumia hisia kuamini hii sanaa ya maandishi ya kutunga

Mwandishi amewahi sema hajulikani then anasema kuna watu humu wanamjua na wanasoma hii story, uyo Iryn mara aitwe Queen mara aitwe Genevieve ???!!! Mwandishi akakiri kujisahau kutumia jina la Genevieve kimakosa kwakua ndo jina halisi la uyo anonymous Iryn then he kept on using Queen and Iryn interchangeably?!!

Izo njaa zenu zitakuja kuwaponza hata km kwa sio kwa huyu jamaa ila hata uko outside,,How come unaenda kumlilia mtu anonymous fake name,fake ID akutafutie michongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…