Story kuwa chai kwa angalau 30% to 40% sio tatizo hasa kwa true story kwa kuwa lazima iwe scripted ili wahusika kwenye story wasiathiriwe ijapokuwa kuna tatizo
INSIDER MAN ungesiandika ningeona hii story ni chai 100%.
Ingawa hili tatizo ulilowahi kulisema unalo linaonekana limeisha na umelielezea kwa ufupi lakini bado kuna elimu inabidi uwasaidie watu liilishaje.
Nilishafuatilia thread zako moja ya tatizo lililokuwa linakusumbua ni kukojoa mapema mara nyingine hata kabla humjamgusa mwanamke. Na kwa Iryn naona ilitokea tena ukapiga bao la kwanza ndani ya sekunde baada ya kuchezea clits. Hapo nimeamini kuna ukweli wa story kwa zaidi ya 60% which is good kwa wasomaji wako. Na ndio maana kuna wakati nilikuwa naandika kuna angle ya story naisubiri usipoandika na mimi ntaona ni chai kama wengine ila nta enjoy kusoma story kama zingine.
Endelea na story mzee maana hapo kilichofuata ni watu kurejeshewa ajira au kupotezwa kabisa ili wasiingilie penzi. What I expected ni story kumfikia Iryn kuwa unashinda nyumbani kwa kina Sumaiya na niliandika hili because I know women tabia zao yamenikuta. Kifurushi cha wivu kimeongezwa mara dufu kwa michepuko kwa vyovyote hukubaki salama. Nakusubiri kwenye angle nyingine mzee ili niamini kuwa hii story kwa 80% ni ya kweli