Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mkubwa The Monk shoka moja tu, mbuyu chini...

Kama nilivyoandika mwanzo kwamba lazima Iryn aliwe, naam lilikuwa ni suala la muda tu kwa bazazi mtiifu INSIDER MAN anayefuata vipengele vyote vya katiba ya chama chetu kumaliza hii shughuli...

Niseme ya kwamba INSIDER MAN kwa moyo mkunjufu mimi kama mwenyekiti wa chama sasa nakuruhusu uende ukasome masters na utafaulu kweli kweli 😊

Ingawaje kuna kaakili ka ubazazi kananiambia si ungezaa na Iryn...teh

Mpatie kwanza kadi ya uanachama tumsajili.
 
Story kuwa chai kwa angalau 30% to 40% sio tatizo hasa kwa true story kwa kuwa lazima iwe scripted ili wahusika kwenye story wasiathiriwe ijapokuwa kuna tatizo INSIDER MAN ungesiandika ningeona hii story ni chai 100%.

Ingawa hili tatizo ulilowahi kulisema unalo linaonekana limeisha na umelielezea kwa ufupi lakini bado kuna elimu inabidi uwasaidie watu liilishaje.

Nilishafuatilia thread zako moja ya tatizo lililokuwa linakusumbua ni kukojoa mapema mara nyingine hata kabla humjamgusa mwanamke. Na kwa Iryn naona ilitokea tena ukapiga bao la kwanza ndani ya sekunde baada ya kuchezea clits. Hapo nimeamini kuna ukweli wa story kwa zaidi ya 60% which is good kwa wasomaji wako. Na ndio maana kuna wakati nilikuwa naandika kuna angle ya story naisubiri usipoandika na mimi ntaona ni chai kama wengine ila nta enjoy kusoma story kama zingine.


Endelea na story mzee maana hapo kilichofuata ni watu kurejeshewa ajira au kupotezwa kabisa ili wasiingilie penzi. What I expected ni story kumfikia Iryn kuwa unashinda nyumbani kwa kina Sumaiya na niliandika hili because I know women tabia zao yamenikuta. Kifurushi cha wivu kimeongezwa mara dufu kwa michepuko kwa vyovyote hukubaki salama. Nakusubiri kwenye angle nyingine mzee ili niamini kuwa hii story kwa 80% ni ya kweli

Actually, nafurahi kutambua mimi niko real maana nilishawahi kuandika uzi wa kukojoa mapema na nilielezea tatizo ni nini, kwa faida ya wengine mimi sijawahi kuwa na tatizo la nguvu za kiume lakini yalikuwa mambo ya saikolojia na tatizo ni kuchelewa kuanza kujihusisha na mapenzi.

Baada ya kuendelea kujihusisha na mapenzi tatizo lilisha kabisa na sasa mimi ni moja ya best fuckers in this world. Kuna mambo mengi niliyafanya kama mazoezi, kujihusisha kimapenzi na wanawake tofauti, code zingine nitafungua mbeleni, nitaandika uzi kwaajili ya hili na wengine wapone.

Licha ya kuchelewa kuanza kula p*ssy lakini sikuwa napiga punyeto, kipindi chote.
 
Mkubwa The Monk shoka moja tu, mbuyu chini...

Kama nilivyoandika mwanzo kwamba lazima Iryn aliwe, naam lilikuwa ni suala la muda tu kwa bazazi mtiifu INSIDER MAN anayefuata vipengele vyote vya katiba ya chama chetu kumaliza hii shughuli...

Niseme ya kwamba INSIDER MAN kwa moyo mkunjufu mimi kama mwenyekiti wa chama sasa nakuruhusu uende ukasome masters na utafaulu kweli kweli [emoji4]

Ingawaje kuna kaakili ka ubazazi kananiambia si ungezaa na Iryn...teh

Hata thread ikiishia hapa si freshy?
 
Mkubwa The Monk shoka moja tu, mbuyu chini...

Kama nilivyoandika mwanzo kwamba lazima Iryn aliwe, naam lilikuwa ni suala la muda tu kwa bazazi mtiifu INSIDER MAN anayefuata vipengele vyote vya katiba ya chama chetu kumaliza hii shughuli...

Niseme ya kwamba INSIDER MAN kwa moyo mkunjufu mimi kama mwenyekiti wa chama sasa nakuruhusu uende ukasome masters na utafaulu kweli kweli [emoji4]

Ingawaje kuna kaakili ka ubazazi kananiambia si ungezaa na Iryn...teh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutoka kwa mwenyekiti kabisa
 
Uzi huu kuna uhalisia mkubwa sana. Niliamua kwenda kufanya utafiti wa maziko ya Mr. Parma Tabora. Wenyeji wanadai ni msiba huo ulikuwa na waombolezaji wengi sana na alizikwa kimila na kidini... Issue ya watoto wanadai wako wengi kwa mama tofauti. Alizikwa km 90 kutoka Tabora mjini. Kuhusu mkewe, mtoa uzi @insiderman ni mjanja hakutaka kumtaja sifa zake ila ni maarufu. Makazi ya Mr. Parma nimejiridhisha na picha ninazo. Hongera sana mtoa uzi...

Sent from my ARS-L22 using JamiiForums mobile app
Na ndo uandishi unavyotakiwa. Angeweka kila kitu kama kilivyo hii story isingefika hapa.

Mods wangeshaifunga au jamaa angeambulia matusi na makwazo sana kwa wanaofahamiana na wahusika.
 
Hata thread ikiishia hapa si freshy?
Kachukue kwanza kadi ya membership Kwa Watu8 atakupa mwongozo.

Nilikua nasoma hii story Sasa nimefika pale mnabadilishana mate, unaichezea chezea chuchu, Sasa kuna mtu hapa alikua anajiandaa aende mahali kilichoendelea....ndio nimemalizia hapa kusoma story bila wenge!

Story isiishie hapa Mkuu, watu wanajifunza mambo mengi sana hapa kupitia huu Uzi. Of course hili tukio ndio lilikua linabeba uzito sana lakini Kuna mambo mengi ya maisha watu watajifunzia nje ya mapenzi.
 
Bila Iryn kuliwa hii story isingekuwa imekamilika.

Ila Mkubwa INSIDER MAN hata kama hii ni hadithi, ndiyo ufike hadi ile stage ya "am Cumming..." ......."sijui nini nini harder ......."

Wengine tumevaa Suluali ya kitambaa na tupo kwenye Mwendokasi ya Mbezi - Kivukoni, yaani tunapata adhabu ya kutembea tumeingiza mikono mfukoni umbali wote huo 😅🤪

Episode 63 ni 🔥🔥🔥
 
Maadam "mrembo wa ajabu" kashaachia goli, mimi kama mwenyekiti naafiki, tuanue matanga tu ingawaje najua Iryn aliendelea kutafunwa tena na tena...

Ila kwa niaba ya wengine waliokuunga mkono tangu day 1 ya stori, unaweza ukawamalizia vipande vilivyobaki...

Iryn boli itakua inaendelea. Mie nimefurahi tu episode 63 namie imenishughulisha kikwelikweli bila mhusika kujua chanzo Cha mzuka wa ghafla...
 
Back
Top Bottom