Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hahaaaaa
 
Umenena vyema
 
Hao wanaishi kwa siku buku,,,achana nao Mwana@INSIDER MAN
 
Nimecheka hatari. Pole mkuu usujichukulie Sheria mkononi
 
Daaah hatimaye ryn kaliwa ila tabu tunapata sisi wengine insider we ni nyokoooo
 
Kumla Iryne ,,,,umenikosha kinoma INSIDER MAN
 
Tunataka kujua mipango ya Lucy kwa iryn ilitimia? Maana anatakiwa apewe feedback......na alikwambia umzalishe...mama j na mwafrika mwenzetu ataelewa tu mbele ya safari
 
G ebu niache kwanza bora hata nisingesoma unaijua nyimbo ya harmonize amelowa ndio yaliyonikuta
shuu i miss you.....hakika jana nikapata tabu mno sana nimesoma niko kwa bajaji....na nimevaa pensi mbona nilipitiliza kituo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…