Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Maguire kachomesha mechi zaidi ya nne, leo kashinda mechi moja tu, mashabiki wote wa Man U wanataka apewe Balon d'Or!

Mimi bado nakudai bwana Maguire!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
WARNING, PARENTAL ADVISORY UNDER 18s EXPLICIT CONTENT.
(KAMA UMRI WAKO NI CHINI YA MIAKA 18, TAFADHALI USISOME.
🤣🤣🤣🤣🤣🖇️
 
Alikuwa amevaa pant ya kijeshi na nilifungua kifungo kwa haraka sana muda huu, kwa upande mwingine hata mimi nilikuwa niko sayari nyingine, Iryn naye alikuwa tayari kalaanika vya kutosha na baada ya kufungua pant yake alikuwa ananitazama kwa macho yaliyolegea sana,
 
EPISODE 63

PREVIOUS
Kile kibao kiliniingia sana maana alinipiga cha sikio hivyo nilikuwa nasikia “nziii nziii…..”., ukweli sikuamini kama Iryn angenipiga kibao cha nguvu kama kile. Kwa upande wangu sikutaka kuendelea kubaki maeneo haya maana ningeleta matatizo zaidi hivyo niliamua niondoke.

WARNING, PARENTAL ADVISORY UNDER 18s EXPLICIT CONTENT.
(KAMA UMRI WAKO NI CHINI YA MIAKA 18, TAFADHALI USISOME.



CONTINUE

Wakati nakaribia mlango wa seblen Iryn alikuwa anakuja kwa spidi kwangu huku akitoa sauti ya kuniita,

“Insider stop please, I am sorry, where are you going?…. I feel bad about what happened.” It wasn’t me. I am sorry, please don’t go.”

Muda huu hata mimi nilikuwa pia na hasira sana na ile nataka kufungua mlango wa seblen ili nitoke aliniwahi akanivuta afu akasimama mbele yangu, dizaini kama ananizuia nisitoke.

“I’m really sorry and I don’t know why I hate you”.

“Yaani umenipiga na kibao cha nguvu kama kile afu unataka kunambia ni bahati mbaya?, embu nipishe before sijakubadilikia hapa.”

“Insider unajua ni namna gani unaniumiza?, ndomana nakuchukia.”

Kwa upande mwingine machozi yalianza kumtoka taratibu na yakaanza kushuka mashavuni, kwa upande wangu ilibidi nimsogelee na nikamshika mashavu yake ya kulia na kushoto kwa mikono yangu na nikaanza kumfuta machozi kwa viganja vyangu.

“Iryn reason ya mimi kuja hapa nilitaka tukae chini tuongee lakini ulichofanya kwangu sio heshima hata kama una hasira, umenikosea sana.”

Muda huu tulikuwa tukiangaliana tu maana yeye alikuwa bado ameegemea mlango na mimi kwa upande wangu nilikuwa bado nimemshika mashavu, lakini nilikuwa bado namfuta machozi kwa vidole gumba vyangu.

Tuliendelea kuangaliana pale na hakuna aliyekuwa anamsemesha mwenzake na muda huu nilijikuta mapigo ya moyo yameanza kuongezeka taratibu. Kufumba na kufumbua nilijikuta lips zangu zikishambuliwa na zilikuwa zikitekenywa na ulimi wake na alizungusha mikono yake nyuma ya shingo yangu na akanivutia kwake. Lilikuwa ni shambulio la haraka sana na mimi nilimkamata barabara, na tuliendelea kuchapana makiss huku tuna badilishana mate. Zoezi liliendelea pale mlangoni kwa muda mrefu na niseme mate niliyokuwa nakunywa hapa ni matamu balaa na nilitamani niendelee kuyanywa maana mrembo ana kinywa kisafi afu kinanukia vizuri bado lips zake ni laini sana, nyie acha tu.

Zoezi likahamia kwenye coach na hapa sasa nikaanza kupenyeza mkono wangu kwenye boobs zake, kwanza alikuwa amevaa “sport braa” ile kuipandisha kwa juu nakutana na vifuu ya mviringo afu yamesimama wima. Kwanza nilikuwa siamini bado hivi ni mimi kweli?, nyie ilibidi niyatizame matiti yake vizuri na nilikuwa nashangaa jinsi yalivyo mazuri, kwa upande mwingine Iryn alikuwa akiniangalia tu kwa macho yaliyolegea sana ni kama alikuwa ananipa green light ya kuendelea na zoezi.

Kwanza nilisema sitakiwi kuwa na pupa maana nitaharibu hili zoezi, hivyo nilianza kwanza kupitisha mkono taratibu kwenye matiti yake. Niliendelea kuzifikicha chuchu zake taratibu kwa mikono yangu na kwa ustadi wa hali ya juu, nikaanza kuzungusha ulimi wangu taratibu kwenye maungio ya pembeni ya boobs zake na nilikuwa nazungusha kwenye boobs zote na kipindi nafanya haya, nilianza kuona mabadiliko yake kwa kasi na miguno ilianza kusikika kwa mbali. Zoezi liliendelea vizuri na muda huu nilianza kuziminya chuchu zake kwa vidole yaani taratibu na nikaanza kuzichezea chuchu na ulimi wangu na nilivyoanza kuzinyonya miguno ya utamu ilianza kuongezeka kwa kasi na alinishika kichwa akawa ana nikandamiza na hapa nikajua hii ni moja ya sehemu zinazo mpa muwashawasha.

Niliendelea kuzinyonya chuchu zake taratibu na kwa ufundi wa hali ya juu na nikaanza kupitisha ulimi kwenye masikio yake na nikashuka mpaka shingoni, yaani daah hapa nilikuwa nikiona mapigo yake ya moyo yanaongezeka spidi na miguno ya utamu ili endelea kutawala muda huu. Nilikuwa naaply mbinu za KITALIBAN na sikutaka kufanya makosa.

Wakati nataka kupenyeza mkono wangu kwenye pant yake alinizuia kwa kunishika mkono ni kama alikuwa ananiambia “Insider unawahi nini? Mimi ni wako tayari, you need to slow down”. Na muda huu nilimvua ile brah ili zoezi langu lisipate kikwazo, na upande wa juu alikuwa kama alivozaliwa, na nikaanza kupitisha ulimi wangu kwenye tumbo lake kitovuni taratibu, na nikaanza kushuka mpaka kiunoni na zoezi la kuchezea boobs lilikuwa linaendelea kwa mkono wangu wa kushoto. Maeneo ya kiunoni yalikuwa yakimpa muwashawasha sana na alikuwa akihangaika sana na hapa ndo niligundua weakness point yake ilipo, maana alikuwa anainua kiuno chake na dizaini kama alikuwa ana kizungusha kwa kupanda na kushuka na kelele zilianza kuongezeka, muda huu nilikuwa naitwa majina mengi sana (Baby, sweetheart, honey, Darling, Insider) yote yalikuwa yangu.

Alikuwa amevaa pant ya kijeshi na nilifungua kifungo kwa haraka sana muda huu, kwa upande mwingine hata mimi nilikuwa niko sayari nyingine, Iryn naye alikuwa tayari kalaanika vya kutosha na baada ya kufungua pant yake alikuwa ananitazama kwa macho yaliyolegea sana,

“Insider what do you want to do now, f**ck me?”

Na mimi nilimsogelea nikaanza kumnyonya tena mate na muda huu chemchem yake ya mdomoni ilikuwa imejaa maji ya kutosha. Kwa upande mwingine nilipitisha mkono wangu wa kulia na nilianza kutalii ikulu yake, kwanza ch*pi yake ilikuwa tayari chapachapa na baada ya kuanza kutalii kwa pembeni aliinuka,

“Baby, let's go in my bedroom.”

Na tuliongozana pale na yeye akiwa mbele na mimi nikiwa nyuma yake na alikuwa amenishika mkono. Baada ya kuingia chumbani nilikaa kitandani huku miguu yangu imegusa sakafu na nilianza kumvua pant yake taratibu na alikuwa kavaa bikini nyeupe. Damn!, nilijikuta nimeanza kupagawa kwa uzuri niliokuwa nau-ona kwa huyu mwanamke muda huu na ilibidi kwanza nianze kumtizama vizuri kuanzia chini mpaka juu. Palepale nilimvuta kwangu na nikaanza kuyachezea makalio yake na nilikuwa nayabinya binya. Nyie sio poa mtoto ana makalio malaini kama spochi yaani unayabinya huku unasikia raha, uvumilivu ulinishinda ilibidi nimgeuze ili niyatizame live, damn! nilianza kupagawa na nilikunja magoti nikaanza kuyalamba huku nayang’atang’ata na meno na nilimuwasha na kibao cha kimahaba “PAAH”.

Iryn aligeuka na mimi niliinuka nikakaa kitandani, na mimi niliendelea kuyachezea makalio yake huku nayaslap, kwa upande wake alianza kunivua T-shirt yangu na alianza kunichezea mabegani kama ananikanda-kanda na alinipush kitandani akakaa juu yangu na akaanza kuninyonya vichuchu vyangu taratibu na kwa madaha, aisee raha nilizokuwa nazisikia hapa hata ningetiwa risasi nisingesikia maumivu. Alianza kunichezea kifua kwa mikono yake laini afu ya moto na akahamia mgongoni kama ananifanyia massage nyie muda huu nilikuwa Sayari ya Pluto huko raha nilizokuwa napata hapa hata ningeambiwa nihonge nyumba ya Dodoma, ningehonga walahi.

Taratibu alianza kunivua surual yangu ya jeans na alivyomaliza alihamia kwenye boxer na kilichoendelea alianza kuifikicha mashine yangu na viganya vyake laini, na alianza kupitisha ulimi wake taratibu kwenye kichwa na baadae akaanza kuimeza mdomoni. Muda huu ilikuwa zamu yangu kuanza kutoa kelele za utamu, maanina hapa hata ningeambiwa tukana watu wote duniani ningewatukana. Alikuwa ana suck d*ck yangu kwa taratibu na ufundi wa hali ya juu na pale alipokuwa anahisi nataka kupizz alikuwa ananituliza then anaendelea na zoezi lake. Muda huu nilimvuta kwangu na nikamvua bikini yake, sikuwa na papara na nilianza kumchezea paja zake na miguu kwa kupitisha ulimi wangu nyuma ya maungio ya paja zake na nilianza kulamba vidole vyake huku naviweka mdomoni kwa upande wake alikuwa akisikia raha sana na alionekana kupagawa sana.

Niliendelea kumchezea mgongo gently kama namfanyia massage na niliendelea kumchezea ass yake kwa nyuma huku napitisha ulimi wangu kwa ustadi wa hali ya juu. Kwanza mwili wake ulikuwa unanukia vizuri sana, yaani unakupa mzuka wa kuendelea kufanya mashambulizi na nilikuwa napitisha ulimi Kwenye kwapa zake na zilikuwa zinanukia vizuri sana.

Nilimgeuza na nilimtanua miguu yake aisee! nilichokuwa nashuhudia muda huu niseme Mungu anajua kuumba na kuna watu amewapendelea. Kwanza p*ssy mpaka paja zake ni nyeupe hakuna ma-alama yoyote na coochie yake imetuna vizuri ina afya, nilihisi kupaniki sio kwa uzuri wa hii coochie, kwa upande wangu mnara ulikuwa unasoma 5G tayari muda sana.

Muda huu nilimtanua miguu na coochie ilionekana kuwa nyekundu kwa ndani tena safi na alikuwa kashave na the way ilivyotuna nilikuwa nahisi kuchanganyikiwa *****. Muda huu nilijikuta natamani kupiga deki maana coochie ilikuwa ikivutia sana na pia ilikuwa inasmell vizuri sana hata ile harufu/shombo ya coochie nilikuwa siisikii kabisa. Nilipiga deki taratibu pale na nilisogelea antena yake nikaanza kama napiga kigeregere na ndani ya muda mfupi antenna ilisimama wima na muda huu mikono yake ilionekana kukunja kunja mashuka kitandani, kiuno chake kilikuwa kinazunguka kwa mahaba na alianza kucheka muda huu, ilibidi nimtizame kwanini anacheka? Ooh shit! alikuwa kafumba macho anasikia raha na mimi niliendelea kupenyeza ulimi wangu kuingia ndani pangoni kwa ustadi, na muda huu kelele na miguno vilizidi kutawala chumbani.

“Baby please I’m cumming…oooh! ohhh, ash ashh ashhh…”

Na mimi niliendeleza maunyama yangu tena kwa spidi na nilishangaa kuona risasi imeruka usawa wa uso wangu na muda huu alikuwa nyapanyapa,

“Baby please f*ck me… put your d*ck inside..”

“Do you want this d*ck…?”

“Yes babe f**ck me please……”

Na mimi nilimuwekea mto chini na nikamkunja miguu yake na ile nataka kuingiza wazungu walishindwa kuvumilia na walitoka shwaah!. Ooh! shit niliwaza inamaana nataka kumaliza hii game mapema hivi? wakati ndo kwanzaa tuko half-time dakika ya 15 tu, nikasema hapana sitakiwi kupaniki this coochie is mine.

Ilibidi nimkunje vizuri na muda huu nilianza kuchapa antena yake na fimbo huku nasugua na mashine taratibu, ndani ya dakika mnara ulianza kusimama kwa kasi mpaka ukafika 10G na nilindelea kuichapa antena yake huku naingiza kichwa kama nachungulia ndani kuna nini tena natoka, ulikuwa ni mchezo wa muda mrefu mpaka akaanza kuhangaika tena na mimi niliendelea na hili zoezi kwa makini na ustadi wa hali ya juu, kwa upande wake kelele za utamu zilizidi na muda huu kiuno chake kilikuwa kinazunguka kama pia na haikuchukua round aka squirt viliruka vimaji na alikuwa akihema balaa.

Na muda huu niliiweka miguu yake mabegani tayari kwa kuanza mashambulizi ya KITALIBAN na nilisikia akitoa sauti ya taratibu,

“Babe slowly…. Gently…. Please!..”

Na mimi niliingiza taaratibu aisee joto nililokuwa nalisikia humu ndani lilikuwa linafanya mnara uendelee kukumata mawimbi vizuri na nikaanza kupump taratibu na kadri dakika zinavyo kwenda nilikuwa naongeza spidi. Ndani ya muda mfupi chumba kilibadilika maana kelele zilizokuwa zinasikika ni za mahaba na utamu, kwa upande wangu hata mimi nilikuwa natoa kelele sio kwa utamu wa ile coochie. Nilibadilisha style na nikamweka “The Flatiron style” ile analalia tumbo afu unambinua kalio na nilikuwa na hit from the back. Baada ya muda akaja akakaa juu yangu na alikuwa kanipa mgongo asee hapa alianza kuizungusha mashine na alikuwa anaifinyia kwa ndani, muda huu raha nilizokuwa nazipata hapa ni balaa.

Baada ya dakika kadhaa alinigeukia na mimi nikamshika kiuono na yeye aliendelea kufanya mambo yake, na alizidi kuongeza spidi na alinisogelea kunipa ishara niwe namnyonya boobs zake, na kadri nilivyokuwa namchezea na yeye alizidi kuongeza spidi na niliona akianza kutoa miguno tena. Kwa upande wangu na mimi nilianza kusikia wazungu wanagonga hodi na mimi nilianza kutoa sauti maana nilikuwa nasikia raha sana,

“Baby are you cummin…?”

“Yes baby drive it crazy and I want you to f*ck me like it's my last night in this world.”

“Baby I am cummin too…”

“Me too, do you want me to cumm inside?”

“Yes baby….cumm .”

Haikuchukua muda wazungu hao na nilikuwa hoi sana hata yeye kwa upande wake alifunga bao muda huu hivyo tulikuwa tunahema wote kwa pamoja. Kwa upande mwingine alionekana kuchoka sana na aliishia kunilalia kwa juu mpaka tukapitiwa na usingizi, maana ilikuwa ni game ndefu sana.

Iryn ni mwanamke mwenye hisia kali sana za mapenzi na ukimchezea vizuri anapiga bao nyingi na hachelewi kukojoa na tuliishia kulala pale huku tumekumbatiana.

Nilishtuka usiku lakini Iryn alikuwa bado kalala juu yangu ilikiwa ni giza hivyo nilisogeza mkono wangu nikawasha taa za bedsides na muda huu nilianza kumwona live akiwa kalala hoi kwenye kifua changu. Kwanza nilikuwa siamini kama ni kweli nimefanikiwa kumla maana nilikuwa naona kama ni ndoto, sikuwai kuwaza kama kuna siku Iryn atakuja kulala kwenye kifua changu tena akiwa uchi namna hii na mimi muda huu niliishia kumchezea nywele zake.

Kwa upande mwingine niliendelea kushangaa uzuri wake pale na yeye muda huu aliamka,

“Mummy umeamka pole.”

Kwa upande mwingine Iryn alianza kuwa na aibu kwangu na tulikwenda kuoga wote, muda huu tulikuwa tunanyeshewa na bomba la mvua na yeye alianza kuniogesha taratibu na baada ya kuanza kunishika mnara ulisimama tena. Na muda huu uvumilivu ulinishida nikamgeuza nikaingiza na nikaendelea kuhit from the back mpaka akanambia ni stop maana alisema anaumia pia kachoka.

Baada ya kutoka bafuni na kujiandaa nilikuta missed call za kutosha na saa ilikuwa inaonesha ni saa 4 usiku. Kulikuwa na missed call 2 za mama J, Lucy alikuwa kapiga mpaka kachoka, sumaiya naye alipiga, Asmah, Mary na Prisca pia walikuwa wamenicheki, na mimi niliamua kumpigia wife tu.

Baada ya kumpigia wife alikuwa anasema alikuwa ananipigia ili niongee na bibi yake alikuwa anataka kunisalimia hivyo muda umekwenda mpaka kesho, tuliongea masuala mengine ya kule na tukaagana. Nilitoka kwenda seblen na nilimkuta Iryn amelala kwenye coach na akasema yeye hajapika chochote na hawezi kupika kachoka hivyo tuliamua kwenda kula Tripple 7.

Nilirequest usafiri wa kutupeleka maeneo yale maana funguo ya gari ilikuwa na Mlinzi, na haikuchukua muda jamaa alikuja kutufuata. Kutoka kwa apartment mpaka Triple 7 hata sio mbali na baada ya kuwasili pale tuliagiza soup, kwa upande mwingine Iryn alikuwa kimya na alionekana kuwa na aibu sana, kwa upande wangu ilibidi nianze kumsifia pale,

“Mummy wewe ni mzuri sana kwakweli leo nimeenjoy, una coochie tamu sana, una umbo zuri kwakweli unavutia na hii siku itabaki kuwa historia kwenya maisha yangu.”

Kwa upande wake aliniangalia afu akatabasamu lakini hakusema kitu. Tulitumia kama nusu saa maeneo haya na kabla ya kuondoka tulinunua wine 2 na tukarudi home.

Baada ya kurudi home muda huu tulianza kunywa wine na tulikuwa tumekaa kibarazani upande wa nyuma wa seblen tukipulizwa na upepo mwanana wa Bahari ya hindi. Kama kawaida Iryn alikuwa anaona aibu sana hata nikimuangalia machoni alikuwa anapepesa macho.

“Mummy usiniambie leo umeanza kunionea aibu hata kuongea na mimi hutaki, mimi nitaondoka zangu.”

“Don’t go please..”

Iryn alibadilika na alikuwa mpole sana na muda huu aliniangalia na mimi nikamvuta kwangu tukaanza kuchezana ndimi zetu pale kwa dakika kadhaa na tukaendelea kunywa. Baadae kidogo alinambia anakwenda chumbani kulala na nitamkuta huko, na mimi niliendelea kukaa pale mpaka nikamaliza chupa yangu ndo nikaingia ndani.

Baada ya kuingia chumbani nilimkuta kalala na alikuwa kavaa night-dress ambayo ilikuwa ikimchora maungo yake vizuri sana. Baada ya kumwona kalala kizembe kitandani mnara ulianza kisoma frequency tena na ulisimama wima kwaajili ya mashambulizi. Muda huu nilivua nguo nikabaki na boxer nikapanda kitandani, uvumilivu ulinishinda nikaanza kumshika na kuchezea makalio yake na yeye alianza kunichezea mgongo na kifua changu.

Tulianza kubadilishana lita za maji pale kwa kasi sana na mimi muda huu nilianza kuzinyonya chuchu zake taratibu, kwa upande mwingine alikuwa kashalowa muda sana na mlango ulikuwa upo wazi tayari kwa kuanza mashambulizi ya KITALIBAN. Muda huu sikutaka kuwa na madoido sana bali nilitaka kuanza kazi maana AK-47 yangu ilikuwa imesimama barabara tayari kwa mashambulizi.

Nilimbetua nikamweka “Doggy style” na nikaanza mashambulizi ya nyuma na muda huu nilikuwa naenjoy sana kulishika kalio lake laini, baada ya muda kazaa akajiposition kwenda “Leap frog style” muda huu P*ssy was so tight na joto nililokuwa nafeel ni hatari.

Kwa upande wa Iryn yeye miguno na kelele za utamu zilikuwa nyingi sana na baadae alianza kulalamika kuwa amechoka na nina muumiza na alikuwa akihema kwelikweli. Kwa upande wangu nilikuwa nawasikilizia wazungu lakini walikuwa bado hawataki kutoka, hivyo niliendela kuongeza spidi maana nilikuwa nasikia raha sana.

“Baby I am tired you’re hurting me.”

“I’m cummin soon baby I can feel it.”

“Don’t take so long please…”

Haikuchukua muda mrefu na wazungu wakatoka shwaah!, match haikuwa ndefu sana lakini nilikuwa hoi sana na Iryn naye aliishia kulala huku amenikumbatia.

******
Asubuhi baada ya kuamka pale kitandani nilikuwa peke yangu, Iryn alikuwa kanitangulia kuamka, nilicheki muda na ilikuwa saa 3 asubuhi na kwa upande mwingine Mama mlinzi alikuwa kanipigia simu. Nilim-call back na kubwa alikuwa anataka kunikabidhi key ya gari, kwa upande wake hakuwa na maswali sana maana kama mtu mzima alikuwa kashaelewa kilichokuwa kinachoendelea. Nilimshukuru sana kwa kunipa ruhusa na nilimwambia tumeyajenga tayari na kwa upande wake alifurahi sana kuzisikia hizi taarifa. Huyu mama mlinzi ni tunapatana sana kwakweli hizi elfu 10, 20 nampaga sana ndomana hakusita kuniruhusu kuingia ndani.

Niliingia bafuni kuoga na baada ya kutoka nikasema nivae nguo kabisa lakini cha ajabu sikuziona nguo zangu na nilitafuta kote sikuziona. Nilitoka chumbani kwenda seblen na Iryn alikuwa jikoni anapika na baada ya kumuuliza nguo zangu akanambia amezifua,

“Mummy sasa naondokaje?”

“Utabidi usubiri zikauke sawa? Nisingeweza kukuruhusu utoke na nguo chafu pia nataka mchana twende wote ofisini.”

“Sasa mbona umesahau kufua boxer?”

“Ulikuwa umeivaa afu sikutaka kukuamsha maana kama kazi jana umeifanya, leo ndo nimejua kwanini mama J anakupenda sana.”

Kwa upande wangu sikuwa na cha kusema ilibidi niwe mpole tu na nilikaa seblen nimetulia na boxer yangu kama baba mwenye nyumba. Baada ya dakika fupi niliandaliwa soup dining na alikuwa katengeneza na chapati za maji, tukawa tunakula pale kwa leo hakuwa na aibu kabisa na tulikuwa tunaongea sana,

“Mummy wewe ni mtamu sana nimetembea na wanawake tofauti ila wewe ni kiboko hata hukinai.”

“Insider unajua umenichubua sana jana usiku, hata kukojoa tu nasikia maumivu.”

Ukweli hata mimi muda ule nilikuwa nasikilizia maumivu maana mashine yangu ilikuwa inauma balaa,

“Pole sana si unajua na ugwadu sana wife hayupo.”

“Na mdogo wake Mary mwenye mimba yako?”

“Prisca hana mimba yangu lakini ukweli alikuwa mchepuko wangu.”

“Insider nilikuwa nawasikia vizuri mnavyoongea hivi mama J akizipata hizi taarifa atajisikiaje?”

“Iryn ukweli yule demu hajui kinachoendelea kati yangu na Prisca, ni kwamba Prisca Mimba iliharibika toka kipindi kile niko Dodoma hata home nilikwenda sababu ya hili na ilibidi niongee na mama.”

Na muda huu nilijifanya kama nimeumizwa sana na lile tukio hivyo niliinuka nikaacha kula nikaenda kukaa kwenye coach, muda huu Iryn naye aliinuka akaja kwenye coach.

“Insider pole what happened?”

“Hata sijui mimi nilipigiwa simu na Mary na akanipa hizi taarifa ila mama yake anasema Prisca ana matatizo yake binafsi kwenye uzazi.”

“Mhh! haimake sense watakuwa wametoa. Na alikuwa anajua kuwa una mke?”

“Na ndo kitu cha kwanza kumwambia before hatujaamua kuwa kwenye mahusiano, na kusema wametoa mimba sidhani kama wamefanya hili maana imeharibika ina miezi 3. Hata hivyo ilitokea bahati mbaya kwanza najuta sana kuingia naye kwenye mahusiano na huyu mwanamke lakini haya yote alisababisha mama J, mpaka nikaanza kuchepuka. Tumeachana hata hivyo.”

“I don’t trust you, since nikutane naye pale Palm village I knew nyinyi ni wapenzi ila ulinikatalia, nimekuja kujua live lakini bado unanidanganya.”

“So you don’t trust me?”

Nilitoa simu yangu kumuonesha chats zake alizokuwa ametuma kuhusu kuniomba nisimwache na yuko tayari kufuata sheria zangu zote. Iryn baada ya kuziona zile texts za Prisca alianza kuhuzunika na alikuwa anatoa kejeli,

“So mmeachana jana?”

“Jana ndo ilikuwa officially ila nilimwacha toka sakata la mimba litokee sema sikutaka kumwambia direct kipindi kile maana ningeweza kumsababishia matatizo ya kiafya.”

“Okay but sidhani kama mtaachana maana anaonekana bado anakupenda na hataki kukupoteza, unajua baada ya kusex na wewe nimebaini kwanini hawa wanawake wanakupenda?. Kwa muda mrefu nilikuwa najiuliza sana haiwezekani akina Lucy, Sumaiya, Asmah na huu mchepuko wako wakung’ang’anie hivi, Insider You’re fuckin’ beast.”

“Kwahiyo unataka kusema nimetembea na rafiki yako Lucy? na Asmah bado unaamini?”

“Atleast can I trust Lucy but not for Asmah, najua mnakutana kwa siri hata kwenye apartment yake huwa unakwenda, hizi taarifa nazipata.”

“Sio kweli na huyo anayekwambia haya anakudanganya mummy, mimi na Asmah hatuna kitu chochote tunachofanya, kuwa makini sana yasijekuwa kama ya Muajemi.”

“Tuachane na haya, mama anasemaje kuhusu hili suala la huyu b*tch?”

“Mama alimind sana na alinisitiza sana tuachane before it’s too late.”

“Kwa upande wako ulikuwa tayari kuwa na mtoto wa nje? na vipi kama mama J angejua unafikiri ingekuwaje?”

“Ndio nilikuwa tayari maana mtoto ni baraka na kuhusu mama J ningekuja kumwambia hata badae huko nadhani angeelewa tu, maana yeye ndo aliyasababisha.”

“Insider kwa hili pole sana, nimekuonea huruma ina onekana lilikuumiza sana but kila kitu ni mipango ya Mungu huwezi jua pia alikuepusha na nini, twende tukale.”

“Na siku ile ulitaka kuongea nini?”

“Hata usithubutu kutaka kuniuliza kuhusu ile siku maana uliniumiza sana, na pia naomba kwa hiki tulichofanya ibaki kuwa siri yetu na hakitakuja kujirudia tena, ni accident hata sijui imekuaje tumesex.”

“Sawa haina shida mimi sijakuforce kunipa coochie ni wewe uliyenipa kwa ridhaa yako, nafurahi leo nimeweka historia ya kumla moja ya mwanamke mrembo hapa Duniani. Hii siku sitokuja kuisahau hapa Duniani mpaka nakufa, nashukuru sana kwa kunitunuku mummy, mimi naheshimu sana mawazo yako, najua unanipenda sana lakini una act like you don’t care.”

“Insider una vituko sana wewe.”

“Naona furaha yako imerudi maana jana umepiga bao nyingi sana.”

“Mimi naenda kulala mpaka naamka nguo zako zitakuwa zimekauka.”

Iryn alikwenda kulala na mimi nilikuwa nimekaa pale seblen na muda huu nilikuwa nawaza “ni nani ambaye anampa Iryn udaku?, Maana mimi na Asmah tunakutana kwa siri sana, hapana hili lazima nilifanyie kazi na nitaanza research.”

Kwa upande mwingine utamu wa Iryn ulinipagawisha na nilijikuta natamani kuendelea kuwa naye maana utamu nilioupata ni wa kipekee, hivyo niliona bora nimtongoze tu ifahamike moja maana hata yeye ananipenda maybe anasubiri mimi nimfungukie. Ukweli nilikuwa nimetembea na wanawake tofauti lakini sio sana maana mimi sio muhuni, lakini Iryn ana utofauti sana asee ni mlaini, ananyumbulika kitandani, anajua mapenzi afu coochie yake ni hot, Prisca alikuwa ananipagawisha lakini Iryn funga kazi. Naomba tuishie hapa, that night was crazy.

BETTER LATE THAN NEVER

[emoji444] Drake- Virginia Beach

ITAENDELEA
Vipi hili goli ulidhamiria kufunga au mpira umekugonga ukaingia nyavuni striker wetu mpaisha mipira [emoji16][emoji16][emoji16] vipi tukikuambia urudie tena
 
Na tuliongozana pale na yeye akiwa mbele na mimi nikiwa nyuma yake na alikuwa amenishika mkono. Baada ya kuingia chumbani nilikaa kitandani huku miguu yangu imegusa sakafu na nilianza kumvua pant yake taratibu na alikuwa kavaa bikini nyeupe
 
... Uncle Mabusu njo uone sherehe ya mafisi
Mafisi jaman na mabaharia nawapenda bureee mwenzenu amewawakilisha vyema alaf mchukue ufundi na mkaongeze na wakwenu, sex ni ubunifu jamani sio unafika mnaanza kushikana shikana tu bila sababu, msituangushe mnapokuwa faragha nitawapa hints kidogo mautundu jaman
 
Actually, nafurahi kutambua mimi niko real maana nilishawahi kuandika uzi wa kukojoa mapema na nilielezea tatizo ni nini, kwa faida ya wengine mimi sijawahi kuwa na tatizo la nguvu za kiume lakini yalikuwa mambo ya saikolojia na tatizo ni kuchelewa kuanza kujihusisha na mapenzi.

Baada ya kuendelea kujihusisha na mapenzi tatizo lilisha kabisa na sasa mimi ni moja ya best fuckers in this world. Kuna mambo mengi niliyafanya kama mazoezi, kujihusisha kimapenzi na wanawake tofauti, code zingine nitafungua mbeleni, nitaandika uzi kwaajili ya hili na wengine wapone.

Licha ya kuchelewa kuanza kula p*ssy lakini sikuwa napiga punyeto, kipindi chote.
Jaman wewe best funcker, ulivyo mla Iryn tu unaonekana ww ni hatari na utafanya PM ianze kujaa jaman, pole kwa kuchelewa kuanza kuwarusha wazungu shamban ila nahisi umechafua sana godoro na boxer usiku hahah #nimetania
 
EPISODE 62
“A TRUE STORY BY INSIDER MAN”

PREVIOUS
Baada ya kufika kwake alishuka kwa haraka sana na alikwenda ndani kwa upande wangu sikuwa na choice wala sikujua nifanye nini, maana hata mimi nilikuwa nimevurugwa hivyo niliamua kuondoka.

CONTINUE
Muda huu ilibidi niende tu kwa Manuel mapema maana nilimkaribisha home kwaajili ya dinna, lakini wakati niko njiani niliwaza kwa hili tukio la leo kuna uwezekano mkubwa sana wa Iryn kumwambia mama J na mambo yakaja kuwa mabaya zaidi. Kwa upande mwingine niliona haitakuwa na nguvu sana kama atasema sababu ya ushahidi, niliwaza pale lakini hili jambo si la kupuuza inabidi nichukue hatua mapema.

Baada ya kuwasili pale Ramada niliwasiliana na Manuel na alinambia niende room yake hakuna shida na nilimkuta anachezea laptop yake. Tulianza kupiga story pale na Manuel na kubwa aliuliza kama nina mahusiano na Iryn maana alisema kwa jinsi alivyomuona jana anaonekana kunipenda sana.

Nilimwambia Manuel ukweli kuwa hatuna mahusiano yoyote na nina muheshimu kama Bossy wangu, na yeye ndo ambaye aliniokoa kipindi biashara ya Uber imekuwa ngumu, Manuel aliishia kumsifia Iryn kuwa ni mwanamke mzuri.

Manuel alikwenda kujiandaa na tulikwenda home kwaajili ya kupata dinna ya pamoja, baada ya kuwasili nyumbani kama kawaida Junior alikuwa kwenye gari yake ambayo amenunuliwa na Iryn na Manuel akamyanyua.

Kwa upande mwingine wife alikuwa ameandaa dina nzuri sana pale mezani kwa haya masuala wife kwakweli hajawai niangusha maana jikoni yuko vizuri sana. Baada ya kupata dinna tuliendelea kupiga story pale seblen na muda huu wife alikuwa anapanga nguo zake kwaajili ya safari ya kwenda Moshi.

Wife alimuaga Manuel kuwa anaondoka kwenda Moshi kwaajili ya kutoa pole ya msiba na mimi nilimwambia kama atakuwa free tumpe kampani wife afu tukitoka Airport tutapititia Cocobeach tukatembee, Manuel hakuwa na shida na alifurahi sana.

Wakati tukiendelea na story pale simu yangu ilianza kuita na ile kucheki alikuwa ni Lucy ilibidi nitoke nje nikaipokee maana nilijua lazima kuna jambo anataka kunambia muda huu.

MIMI: “Hey Lucy mambo!”

LUCY: “Salama Insider, mshikaji wangu umezingua sana Bossy amenichana kila kitu, kumbe yule dada (Prisca) ana mimba yako?”

MIMI: “Lucy ni long story nafikiri tutaongea kesho rafiki yangu, siko sehemu salama.”

LUCY: “Insider just know that Iryn amesema hataki tena kuiona sura yako na kazi anakuachisha this time, nafikiri utabiri wangu unakwenda kutimia”

MIMI: “Daah mbona Iryn anataka kutumia hisia kuliko akili?”.

LUCY: “Insider umemuumiza sana Iryn hata kama hampo kwenye mahusiano kwa jinsi mnavyoishi akikuona na mwanamke mwingine anaumia isitoshe anakupenda ndo sisi wanawake tulivyo. Hata ningekuwa mimi ningeumia kwa haya mambo unayo fanya, una kumbuka sakata la Sumaiya? Asmah? na leo kajua umemjaza mtu mimba, atleast ungekuwa unafanya hata kwa siri. Insider una muumiza sana Iryn kumbuka ni yatima anahitaji ukaribu wako hata kama hamdate lakini kuwa makini, mambo yote uliyokuwa unafanya alikuwa anakusamehe. Unakumbuka wewe ulivyomuona na kaka yake ile siku ni kiasi gani uliumia? sasa yeye anaprove kabisa unafikiri nini?”Lucy aliongea kwa uchungu sana hata mimi nilianza kuona nina hatia,

Ipo hivi kuna matukio yalitokea ambayo sikutakaga andika ili kufanya mambo yasiwe mengi. Kuna kipindi Rebecca mfanyakazi wa kule Masaki alishaniotea nina mla mate Sumaiya, kwa upande wake aliumia sana hivyo alimwambia Iryn maana Rebeca na Sumaiya walikuwa hawapatani kabisa. Lile sakata Iryn alimind sana yakaisha, kuna sakata lingine kuna dada mfanyakazi anaitwa Asmah (Code) ana asili ya uchotara huyu ni kama receptionist, anapokeaga wageni, kupokea na kujibu simu za wateja nk. Huyu dada nilipitaga naye, sasa ilijulikanaga lakini haikuwa na ushahidi na Iryn baada ya kupata hizi taarifa alimind sana lakini yaliisha. Kwa upande wangu nilikuwa nazingua sana, Iryn alikuwa halali yake kunichukia hata hivyo alinivumilia sana. (Nilikuja kujua baadae Rebecca ndo alikuwa spy wa Iryn hata simu alipewa kwa masharti ya kumpa umbea Iryn, unaweza kurefer Episode No. 56 maongezi yetu kati ya mimi, Iryn & Lucy niliandika kwa code)

Turudi kwenye story sasa,

MIMI: “Lucy kweli nimezingua naona kwasasa siwezi toboa tena na wasiwasi anaweza kumwambia hata mama J.”

LUCY: “Rafiki yangu nimekutetea sana lakini this time Iryn amesema hawezi kuendelea kuwa karibu na mtu anayemuumiza hisia zake, maana anasema unashindwa kumuheshimu.”

MIMI: “Lucy unanishauri nini sasa rafiki yangu maana mwenyewe hapa hata sijui nafanyaje.”

LUCY: “Mpigie simu omba muongee labda atarudisha moyo kwako.”

MIMI: “Sawa rafiki yangu haina shida nashukuru kesho nitakutafuta ofisini.”

LUCY: “Na uje mapema tupange mipango kuna vitu nataka nikwambie face to face.”

Baada ya kumaliza maongezi na Lucy nilishusha pumzi nzito sana muda huu na niliwaza pale nimetoka kuchukua mkopo kwa Mama wa2 juzi tu nitaulipaje kama sina mchongo wa kueleweka?.

Na muda huu nilipata wazo nimpigie simu Iryn ili nijaribu kumuweka sawa kuhusu hili jambo na ikiwezekana tuonane. Lakini baada ya kupiga simu alikuwa kani block kote mpaka Whatsapp na aliblock namba zangu zote, na hapa nikasema leo nimeyanyaga na muda huu nilipata wazo la kwenda kuangalia simu ya wife kama Iryn alipiga maana nilikuwa na wasiwasi sana.

Baada ya kurudi ndani wife kama kawaida alikuwa anapiga story na Manuel na nilifanya kumuazima simu yake na akanipa. Nilicheki call history nikakuta hakuna shida nikaenda mpaka whatsapp nikakuta mara ya mwisho wamechati jumapili, hapa nikawa na amani.

Manuel aliaga muda huu na nikampeleka hotelini na wakati narudi nilipata wazo solution ya haya yote inabidi nifanye kila mbinu nimle Iryn na hapa ningekuwa nimemfunga kusema kwa mama J na hasira zake zingeisha.

********
Asubuhi niliamka mapema na kwa upande mwingine Prisca alinipigia simu hii asubuhi na kubwa alikuwa anataka tuonane kwaajili ya mazungumzo na mimi nilimwambia tutaonana Ijumaa.

Nilikwenda mchukua Manuel pale Ramada na tulirudi home kumpitia mama J ili tuanze safari ya kwenda JNIA na alikuwa anategemea kuondoka na ndege ya saa 7 mchana.

Baada ya kuwasili pale JNIA tuliambiwa muda wa kuondoka umehairishwa na umepelekwa mbele hivyo ndege inatarajia kuondoka saa 9 alasiri. Ilibidi tumsubiri pale huku tukiendelea kupiga story mbalimbali na muda ulivyotimia wakucheck-in Manuel aliota Pesa nyingi tu akampa wife na Junior.

Baada ya kuachana na wife tulikwenda Cocobeach kupoteza muda na baada ya kuwasili pale tulikwenda kukaa kwa siku zote na baada ya jamaa kutuona alikuja kutupokea. Tuliagiza vinywaji pale kwa upande wangu nili odda heineken na yeye ali odda Kilimanjaro beer.

Muda huu tulikuwa tunazungumza masuala ya maisha na pia nilimwambia sababu ya kuacha biashara ya Uber na jinsi mambo niliyopitia mpaka kifo cha Pama. Manuel kwa upande wake ananikubali sana na alisema baada ya miaka 10 anaamini nitakuwa millionaire mkubwa na kila siku huwa analisemaga hili.

Baada ya muda mfupi jamaa alileta vinywaji pale na alionekana kuna jambo anataka kuniambia,

“Brother afu kuna dada wa kiarabu kuna siku mlikaa wote hapa alisema anaitwa Sia, alikuwa anakusalimia.”

“Wow alikuja lini hapa?”

“Alikuja Jumapili, alisema kama hutojali unaweza kuniachia namba yako.”

“Haina shida navyoondoka nitakuachia mkuu.”

Sia kipindi kile tumekutana tuliongea mambo mengi sana hivyo sikuona tatizo kuacha namba yangu ya simu.

Tulikaa pale Cocobeach na Manuel mpaka saa 1 usiku ndo tukaondoka maeneo haya lakini nilisahau kuacha namba yangu ya simu kwa jamaa. Nilimpeleka Manuel pale Ramada Hotel na mimi niliamua kupitia Juliana kwenda kuendelea kunywa maana home hakukuwa na mtu hata dada nilimwambia aende ukweni mpaka mama J atakavyorudi.

Wakati naendelea kukimbiza chupa simu yangu ilianza kuita na ile kucheki alikuwa ni Sumaiya na mimi muda huu ilibidi nitoke niende parking kwenye gari ili nipokee simu yake tuongee. Kwa upande mwingine simu iliita mpaka ikakata hivyo baada ya kuingia ndani ya gari nikampigia simu na haikuchukua muda akapokea,

MIMI: “Hi mummy.”

SUMAIYA: “Insider nimesimamishwa kazi na Queen leo.”

MIMI: “Umesimamishwa? umefanya nini?”

SUMAIYA: “Hata sijui kwakweli maana Queen alikuja ofisini na mimi nilikuwa sijafika bado, ndo akaacha haya maagizo kwa Asmah.”

MIMI: “Aisee mimi sijui na hajanipa hizi habari, lakini subiri kukusimamisha sio kukuaachisha kazi atakuwa kachukia tu. Kama kukuachisha angekupa barua na huu ndo utaratibu na masuala ya HR yako chini ya Mama Janeth na sio kwake.”

SUMAIYA: “Insider jana demu wako kaja ofisini amenuna balaa kila mtu alikuwa anamwogopa sijui kakutana na mashine kubwa jana.”

MIMI: “Tutaonana kesho ili tuongee vizuri.”

SUMAIYA: “Insider sitakiwi kuonekana hapo ofisini au huelewi? Naomba uniombee msamaha kwa Queen maana sikuchelewa ofisini makusudi, nilienda kwa mama Banana, mwanangu anaumwa hata hapa bado nipo kwa mama, nilisahau kutoa taarifa mapema.”

MIMI: “Kumbe una mtoto na hujawai kuniambia hili.”

SUMAIYA: “Insider hujawai kuuliza maisha yangu sasa ulitaka niropoke na mtoto?”

MIMI: “Haina shida niachie hili nilifanyie kazi ila unaweza ongea na mama Janeth.”

SUMAIYA: “Iryn ndo top kwenye hii kampuni na amerithi nafasi ya mama yake, mama Janeth anaplay party yake tu.”

MIMI: “Incharge kapewa nani sasa?”

SUMAIYA: “Inamaana wewe hujui kinacho endelea? au unanichora tu hapa.”

MIMI: “Iryn hajanambia kabisa rafiki yangu ndomana unaona nashangaa hapa.”

SUMAIYA: “Asmah ameachiwa uongozi kwasasa na hizi ndo taarifa nilizopata.”

Nilijisikia vibaya sana muda huu na mimi nilijua Iryn kamuachisha kazi Sumaiya sababu yangu na sio kingine. Kwa upande wangu sikutaka kumwambia Sumaiya kama mimi na Iryn tumezinguana niliamua kunyamaza. Na mimi niliondoka palepale sikutaka kurudi kumalizia vinywaji vyangu.

Asubuhi ratiba zangu zilikuwa kama kawaida na mapema sana nilikuwa nimewasili pale Masaki na nilimkua Asmah pale ofisini amewasili tayari, kwa upande mwingine nilishangaa kuona ana andaa hesabu za mauzo. Ilibidi nimuulize kinachoendelea na alisema ameambiwa na Iryn aandae hesabu na aende bank kudeposit pesa.

ASMAH: “Insider, Bossy ndo katoa haya maagizo na mimi nimeogopa hata kumuuliza maana nafahamu hili ni jukumu lako, jana kamuachisha kazi Sumaiya najua una habari.”

MIMI: “Sumaiya alinipigia simu jana usiku hata mimi nimeshangaa maana ni ghafla sana.”

ASMAH: “Hapa kila mtu anaogopa sahivi, ni nini kinaendelea kati yenu? From nowhere haiwezekani anambie nitume ripoti za mauzo wakati ni kazi yako.”

MIMI: “Ni story ndefu kidogo lakini nakuona hata wewe hauko sawa kama una wasiwasi.”

ASMAH: “Insider mimi na wewe tunafanya ujinga lakini kwa hapa ofisini tuwe na mipaka mimi sitaki kuingia kwenye ugomvi na Bossy na nina muheshimu sana.”

MIMI: “Sawa lakini inaonekana Iryn kakuchimba sana mkwara, bye Asmah mimi naondoka kama kuna lolote utakuwa unanijulisha.”

ASMAH: “Poa Insider usijali weekend hii tuonane kama vipi.”

Kutokana na hili suala la ripoti za mauzo kuandaa Asmah lilinipa ukakasasi sana, nilitoka pale Masaki na nilichoma mafuta mpaka Mikocheni ili nikaonane na Lucy. Baada ya kuwasili pale Mikocheni niliingia ofisini moja kwa moja na nilimkuta Lucy anakunywa chai.

LUCY: “Insider bora nimekuona mshikaji wangu.”

MIMI: “Unashindwa kunambia kama sina kazi kwasasa seriously?”

LUCY: “Jana nilitegemea ungekuja lakini ukanambia unampeleka wife Airport, sasa Bossy jana alikuja akanambia niwe natuma ripoti za mauzo kwake.”

MIMI: “Na kuhusu mimi hajasema kitu?”

LUCY: “Nothing, kwanza niambie ni nini kilitokea huko? Maana Iryn anasema alisikia maongezi yenu yote na akajua yule Prisca ana mimba yako, ilikuwaje mpaka mnaongea haya mbele ya Bossy?”

MIMI: “Nilikutana na Best yake Prisca pale Capetown na yeye ndo aliyeniona na aliniita shem…, hapa Iryn ndo alishtuka na akaanza ku-monitor maongezi yetu, aliongea na mimi hata dakika 3 hazikufika akaondoka. Bossy wako alianza umbeya kufuatilia maongezi yasiyo muhusu, lakini dada alikuwa kalewa na haikuwa akili yake maana nilitumia mbinu zote kumtuliza lakini wapi.”

LUCY: “Insider unajua hapa duniani hakuna siri unakumbuka ulinikatalia hamna mahusiano?, na hiyo mimba vipi sasa?”

MIMI: “Mimba iliharibika rafiki yangu, nishauri kwa hili tunafanyaje?”

LUCY: “Pole sana rafiki yangu, ila haya yote umeyataka mwenyewe maana unapuuziaga mambo.”

MIMI: “Huu sio muda wa kuninanga bali nipe formula nachomokaje?, hata kwenye simu kaniblock kuonesha hataki tena kusikia sauti yangu.”

LUCY: “Jaribu kuongea naye kwa simu yangu afu tuone response yake.”

Nilimpigia simu Iryn kupitia simu ya Lucy na baada ya kupokea na kusikia sauti yangu alikata simu.

MIMI: “Lucy unaona I told you.”

LUCY: “Nenda kwake leo anaweza kuwa ametulia tofauti na jana. Insider kwasasa ndo muda muhafaka wa kuyamaliza haya mambo, usiendelee kupoteza muda maana hatujui balaa atakaloleta.”

MIMI: “Alete balaa gani wakati kamsimamisha Sumaiya kazi bila sababu ya msingi.”

Ilibidi nimsimulie Lucy mkanda mzima kuhusu sakata la Sumaiya mpaka anaachishwa kazi, kwa upande wake alionekana kuumia sana kwa haya maamuzi ya Iryn. Kwa upande wangu sikutaka kuendelea kupoteza muda hivyo nilimuaga na nilikwenda moja kwa moja mpaka kwa Iryn.

Baada ya kuwasili pale getini nilipiga honi lakini kwa upande mwingine nilimwona Mlinzi akija direct usawa wangu.

“Mzee shikamoo mbona hufungui gate?”

“Kaka tumepewa maagizo tusikuruhusu kuingia ndani, na sisi kama walinzi hatuwezi kukuruhusu kuingia maana tunaweza fukuzwa kazi.”

“Shit!, what the fvck?

Nilikaa pale getini kwa dakika 5 na nikaondoka kurudi home kupumzika. Wakati niko home kwa upande mwingine Prisca alinipigia simu na kubwa alikuwa anakumbushia appointment yetu maana nilimuahidi leo. Kwa upande wangu sikuwa hata na mood ya kuonana naye hivyo nikamwambia tutaonana kesho jumamosi.

Usiku nilikwenda Ramada kuonana na Manuel ili tutoke out lakini tulipitia kwanza pale Juliana kupata kitimoto. Baada ya kula tulindoka kwenda “25 Lounge” ya pale Makonde, kwa upande mwingine Manuel alikuwa ana miadi na ile pisi ya Kidimbwi hivyo walikubalina wakutane pale.

Baada ya kuwasili pale tuliendelea kunywa taratibu huku tunapiga story na kubwa alinisisitiza sana nisiachane na mama J maana ametokea kumkubali sana. Pia aliuliza maendeleo ya biashara zangu za Dodoma maana kipindi amekuja May nilimwambia na mpango wa kufungua biashara Dodoma na alinisaidia kiasi cha pesa. Sikutakaga kumwambia ukweli kuwa najenga Dodoma hata watu wangu wote wa karibu nilikuwa siwambii hili.

Baada ya lisaa yule dada aliwasili pale na alisema anakaa Sinza, tuliendelea kupiga story pale na dada alionekana kumuelewa sana Manuel. Midnight tuliamua kuondoka na Manuel alisema haina haja ya kuwapeleka hivyo wata-request usafiri wa kuwapeleka.

*******
Jumamosi Manuel alikuwa na safari ya kwenda Uswiss na alitarajia kuondoka saa 9 mchana na alitakiwa kucheck-in saa 7 mchana. Mapema sana nilikwenda kumchukua na nilimkuta yuko na pisi yake ya jana na tuliongozana wote tukaidrop ile pisi pale Mlimani city na wakaagana na Manuel.

Baada ya kuwasili Airport tuliendelea kupiga story pale mpaka muda wa kucheck-in ulivyofika tuliagana kwa kukumbatiana na akaondoka. Manuel alifurahi sana kuiona familia yangu na alichoniahidi ni kumpa Junior connection za masomo Uswiss hapo baadae, pia alisema itabidi na mimi niende Uswiss nikatembee.

Ilikuwa ni saa 8 mchana tayari wakati tunaagana na Manuel hivyo baada ya kurudi parking nilimpigia simu Prisca ili tuonane, tuyajenge. Baada ya kuwasiliana naye alinambia yuko kwake hivyo nikamwambia itapendeza akisogea mpaka Mlimani City.

“Baby I thought unakuja home au hujanimiss?”

“Wewe njoo hapa Mlimani City na nikukute hapo mimi natokea Airport.”

Baada ya kuwasili pale Mlimani niliamua kwenda kukaa kwenye mgahawa ambao unapakana na “Kuku kuku.”. Niliagiza chakula maana nilikuwa na njaa sana, na baaada ya nusu saa Prisca aliwasili pale na alikuwa kapendeza sana tena alikuwa na muonekano mpya. Na yeye kwa upande wake aliagiza chakula,

MIMI: “Ulivyokuwa unasema nije kwako kumbe hata hujapika.”

PRISCA: “Ungesema unakuja ningekupikia mme wangu. Pia nimekuja kuomba msamaha kwa lile jambo la sikuile.”

MIMI: “Prisca unakumbuka before hatujaingia kwenye mahusiano nilikwambiaje?”

PRISCA: “Ulinambia una mke na mtoto.”

MIMI: “Ndo unakumbuka hivyo tu?, sawa nilikwambia wewe ni mchepuko kwangu na unatakiwa kuwa na heshima kwa mke wangu. Kitendo cha kumuita mke wangu malaya tena mama watoto wangu kwa hili siwezi kukusamehe na kunzia leo mimi na wewe bhasi naomba tusitishe mahusiano yetu kwa maelewano mazuri.”

PRISCA: “Insider what are you talking about? Mbona sikuelewi, so umenitumia unavyotaka isitoshe ukanipa na mimba, leo hii ndo unaniambia habari za kuachana?.”

MIMI: “Prisca umeshindwa kufuata masharti tuliyopeana umebreach contract mwenyewe maana kama kukupenda nilifanya na nilikujali sana na wewe unajua hili. Kwasasa acha nifocus na familia yangu yaliyotokea na wewe ni bahati mbaya na elewa siwezi kumpoteza mama J kwaajili yako, naomba kuwa muelewa.”

PRISCA: “Insider wewe ni Playboy, Bossy wako ndo mchepuko wako kwasasa taarifa zako ninazo.”

Na muda huu Prisca alitoa simu yake na akanionesha picha ambayo ilionesha mimi kuwa na Iryn kule Capetown na nilijua lazima Eva alitupiga na akamtumia Prisca.

MIMI: “Clever Eva, mwambie nitamuajiri kwenye kampuni yangu ya upaparazi, mimi naondoka kwaheri nafikiri hakuna nilicho acha kwako.”

PRISCA: “Insider you can’t do that, You’ll pay for this and I swear.”

Na mimi niliamua kuondoka na nilimuacha pale amekaa akiwa haamini kilichotokea, ofcourse niliachana na Prisca muda huu lakini nilikuwa bado nampenda sana, licha ya kuniomba sana msamaha na kuahidi kutorudia tena, kwa upande wangu sikuwa na jinsi maana niliona angekuja kuleta maafa makubwa zaidi huko mbeleni.

Baada ya kuingia kwenye gari niliwaza kwenda kuonana na Lucy pale ofisini ili tushauriane juu ya hili suala, kwa upande wangu hofu yangu kubwa ilikuwa ni wife tu wala sio Iryn.

Baada ya kuwasili pale ofisini nilikwenda moja kwa moja mpaka ofisini lakini nilipitia kwanza kitchen na nilikuta kuna wine kwenye fridge nikaibeba. Nilitulia pale ofisini na nilianza kuigugumia ile wine kwa fujo sana na muda huu Lucy aliingia ndani.

LUCY: “Insider unakunywa wine ya wenzako watamind sana.”

MIMI: “Nitaacha hela wakanunue nyingine.”

LUCY: “Jana ulikuwa hupokei simu zangu na leo asubuhi ulikuwa unatumika na hukutaka kunirudia, nambie jana ulienda kwake?”

MIMI: “Yes I went, lakini nimefika getini nikazuiwa na mlinzi rafiki yangu sina hata hamu kwasasa.”

LUCY: “Daah! pole sana mshikaji wangu, leo nimeongea naye mmalize tofauti zenu lakini yeye anasema hana shida na wewe ila hataki kukuona machoni pake.”

MIMI: “Hizo sio habari za kunambia Lucy kwamba umeshindwa kumlainisha?”

LUCY: “Kuna jambo sikukwambia, Iryn anasema wewe ndo mwanaume pekee ambaye ulifanikiwa kurudisha furaha yake na pia wewe ndo uliye ondoa furaha yake.”

MIMI: “What do you mean?”

LUCY: “Iryn anasema mambo yote uliyomfanyia kwasasa inatosha hataki kukuweka close tena.”

MIMI: “Sasa unanishaurije maana mimi hata sielewi, kama atamwambia wife inaweza leta shida.”

Na muda huu nilimalizia wine ilokuwa imebakia kwenye chupa yote mdomoni, na Lucy alibaki mdomo wazi.

LUCY: “Insider njia pekee ambayo naweza kukushauri ni kumla tu maana Iryn anaonekana bado anakupenda ila anajifanya like I don’t care.”

MIMI: “Kwa hii stage tuliyofikia kwasasa naona ni ngumu sijui nitatoboaje.”

LUCY: “Insider kwamba umekosa kabisa mbinu ya kuonana na Iryn?, sikia ukiweza kumla utakuwa umepiga ndege wa2 kwa jiwe moja, na Iryn anakupenda akikuona tu machoni pake utamla trust me, mimi naondoka nakazi huko si unajua jumamosi leo wateja ni wengi?”

Nilikaa pale kama dakika 20 na nilikuwa nawaza kichwani namna ya kuingia kwa Iryn na nilimua kuondoka nikasema leo liwalo na liwe kama nitafanikiwa kuingia ndani lazima nimle.

Baada ya kuwasili pale getini kwa leo nilimkuta Mlinzi mwingine pale getin ambaye ni mama na baada ya kuliona gari langu alikuja mpaka usawa wangu akanambia kuwa siruhusiwi kuingia ndani na amepewa hayo maelekezo. Lakini kwa upande wake alikuwa anashangaa maana mimi pale ni kama home tu,

“Mama nani katoa hizi taarifa?”

“Mzee ndo amenipa hizi taarifa hata mimi nimeshangaa kwakweli, kwani kuna tatizo gani?”

“Mama tumegombana na huyu mpenzi wangu sasa hataki kuniona wala tuyajenge ndomana unaona hataki niingie humu ndani, lakini mimi nimekuja ili tuyajenge, hivyo naomba niruhusu niingie nikaongee naye, unanijua vizuri siwezi kuleta shida yoyote.”

“Upo sahihi kumbuka na mimi hapa nimeajiriwa nikikaidi haya maagizo nitakuwa matatizoni, jaribu kumpigia simu ili aje.”

“Ameni-block mama, naomba umpe taarifa kuwa nipo hapa nje kama atakataa bhasi, naomba msaada kwa hili nitakupa hela ya sukari ya mtoto.”

“Labda nimpigie simu lakini kwenda ni ngumu.”

Mama alipiga simu pale lakini hakuwa na majibu yoyote na alipiga mara 5,

“Unaona simu hapokei kwa hapa sina msaada mwingine, kwaheri.” Na muda huu aliingia ndani akafunga geti.

Nilikaa pale nje kwa dakika 10 hivi nikifikiria cha kufanya lakini nilikosa majibu hivyo niliamua kuondoka, sasa ile narudisha gari reverse geti lilifunguliwa akatoka mama na akanipa sign ya kusimama na akaja usawa wangu.

“Kaka wewe unanisaidiaga sana nitakuruhusu uingie ila naomba usilete tatizo lolote na utaniachia funguo ya gari.”

“Ahsante mama nashukuru sana chukua na hela yako ya sukari mapema maana naweza toka huko nimechanganyikiwa, kama kuna tatizo nitakupigia simu.”

“Nashukuru sana tuko pamoja kuwa na amani, nafikiri mtayajenga huko ndani.”

Nilifungua kwenye drow kulikuwa na elfu 50 nikampa na mama alifurahi sana, Mama alinifungulia gate na mimi nikaingia ndani na nikapark gari upande mwingine na nikampa funguo ya gari.

Muda huu nilikuwa natembea kuelekea apartment ya Iryn lakini kwa upande mwingine nilikuwa naogopa sana, nilikumbuka Iryn ana gun , niliwaza vipi kama ataamua kunitia risasi?.

Baada ya kufika mlangoni sikutaka hata kugonga bali nilifungua mlango na kuingia ndani, uzuri ulikuwa haujafungwa. Baada ya kuingia seblen kwa upande wake alikuwa yuko jikoni hivyo nilienda moja kwa moja, na nilimkuta anaosha vyombo.

Na mimi nilimuita “Iryn…..”

IRYN: “Insider what are you doing here? na nani kakuruhusu kuingia ndani? Sitaki kukuona kwenye macho yangu naomba uondoke before I call the Police.”

MIMI: “Iryn, calm down please, nimekuja kwa mazuri nachotaka kwako ni just five minutes zinanitosha kabisa, then maamuzi yatabaki kwako.”

Na mimi nilimsogelea na alikuwa ameegemea karo la kuoshea vyombo. Baada ya kumsogelea na kuwa naye close, nilijaribu kumvuta nimpe kisi lakini niliishia kuchapwa na kibao cha nguvu sana muda huu, kwa upande mwingine Iryn hasira zake zilionekana kupanda.

Kile kibao kiliniingia sana maana alinipiga cha sikio hivyo nilikuwa nasikia “nziii nziii…..”., ukweli sikuamini kama Iryn angenipiga kibao cha nguvu kama kile. Kwa upande wangu sikutaka kuendelea kubaki maeneo haya maana ningeleta matatizo zaidi hivyo niliamua niondoke.

TO BE CONTINUED
HaMachiach
 
Back
Top Bottom