Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu


Insider ujue we jamaa jau sana vitu kama hv haviitaj maelezo meng ujue ulivyokuwa unamchambua huyu iryn unetoa mate watu kibao kias cha kwamba hata mm nmekumaind sana
 
Tembelea wanawake wengi kuanzia mipango, 4ways, makole, iringa road, Nkuhungu, Chako ni chako huku mitaa ya uhindini ukigusa kavu kesho ujue gono umelipata ukimwi upo njiani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimesubiria kwa muda mrefu Sana hii Episode 63...Umetisha Sana Jamaangu.
 

Oya we jamaa umesimama mm nmekaa siti ya mbele uko wp nikuzoom nicheke kwanza
 
Oya we jamaa umesimama mm nmekaa siti ya mbele uko wp nikuzoom nicheke kwanza
Nimesimama karibu na huyu Dada mweupe mrefu mwenye Peruvian hair,

Ukiangalia vizuri utaniona nyuma yake hapa nimeingiza mikono mfukoni πŸ˜…
 
Nimesimama karibu na huyu Dada mweupe mrefu mwenye Peruvian hair,

Ukiangalia vizuri utaniona nyuma yake hapa nimeingiza mikono mfukoni [emoji28]

Mzoom vizur usikute ndii iryn mwenyewe mzee jarbu kuthaminisha vzur
 
Umemamaliza kuniaminisha kwa sehemu kubwa kwa kuwa wakati nasema nakusubiri utoke kwenye line sikusema hasa ni kwenye angle ipi. Na angalau umeiweka kwa kipande. Sasa bado angle fulani hiyo ni kukazia tu but story yako nimefuatilia ina ukweli
 
Episode 63 mbna Kama sijsoma nin kilijiri jimeanza kusahau matukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…