Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Thread ifungwe sasa
 
Hata hii story ikiisha leo.... umenitendea haki.....

nilichokuwa nikikisubiri toka episode 1... hatimae nimekipata.... ep no 63... nimeibookmark....

Kwangu mimi sikudai kabisa...

hata usipoleta episode ingine! Hii ya 63 inatosha!!! Pumzika baba!!!

Hii ya 63 bado nairudia rudia hata wiki mbili Ili niikariri kabisa!

Hamna haja ya episode ingine kwa sasa, pumzika baba!!! acha tuzame mahabani kwanza!
 
Kwaa kweliii
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila mimi sio fisi uncle[emoji23]... Labda kafisi kadogo[emoji23]
 

[emoji1635][emoji91] Halaand Hatrick
 
Mkuu tulia tuongezewe zingine. Naimani atamla tena na tena labda kazaa nae acha tuone
 
Uzi ufungwe sasa huko palipo baki wakufuate PM mimi rasmi naishi hapa, huwezi amini nimefurahi sana ulivyo ila hiyo manzi, Pia hongera kwa utunzi na uandishi mzuri japo kulikuwa na makosa madogo madogo ya kibinadamu ila HONGERA SANA.

KWAHERINI.
 
CHAI IMEKOLEA NAZIIII [emoji23][emoji23][emoji23]


Mtori unamaji mengi hauna nyama chini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Chai

Chai

Chai

Mpaka ufute neno true story! Vijana wanahisi maisha marahis hvyo
Sisi hata akisema hii story ni ya uongo halafa akaimulia ukweli wa yale aliyopitia bado tutaamini ni uongo as long as tunaenjoy.

INSIDER MAN lete uji tunywe, nini chai...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…