MWANAUME kamili(rijali) akifungua tv kupoteza mda atawaza kuangalia vifuatavyo kulingana na hobby yake(ila in research iko wazi kabisa though nataja machache TU)
1...mambo ya football
2...taarifa za habari za ndani
3....BBC news,cnn ,aljazeera news no n.k
4...Nature:wanyama,,utaliii nk. No
5.....mambo ya siasa NK N.K NK
KAMA WW NI MWANAUME UNAANGALIA
tamthilia za Azam au DStv....afu unabisha na mademu au kuulizia ratiba za tamthilia husika aisee UNAZINGUA SANA!!!! zaidi ya Sanaa
Kidume kabisaa unajikuta unaulizia ratiba za Isidingo kwa manzi Huu si ungesee wa halii juu.....FAKEN!!! kabisa........na wengi wamo humu faken kabisa!!!!!!