Blood of Jesus Christ
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 538
- 984
Yani sijui ni jamaa au ni mdada ila amejaaa makasiriko sana yaani yuko Negative sana usimjibu hata bro muache tu kama alivyo.Acha kuyafanya maisha yako kuwa magumu bila sababu ya msingi...
Mnyakyusa yupi? Insider?. Sio wa huko Dom au Singida?. Mnawachomekea sana wanyakItakuwa hot pants mnyakyusa akashindwa kuelezea hahaj
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kafisi kadogo hakajui kula vizr jaman, kanakula kanatema kanakula tena kanatema ila lifisi likubwa linatafuna kila kitu
Wapuuzii tu hawajielewi kila mtu afokasi na maisha yake...... Kila mtu ana kitu akipendachoYaan sijui kawaza nn
ile ya mbwa ili trend acha kabsa[emoji23]Mnataka kuleta mambo ya pant tena kama mlivyo leta ya mbwa
ile ya mbwa ili trend acha kabsa[emoji23]Mnataka kuleta mambo ya pant tena kama mlivyo leta ya mbwa
Kwani kabla ya dreva Uber..... Alkuwa muhitimu wa uchumi na takwimu..... Kwann asiendelee!! Na masomoDereva wa uber na kusoma wapi na wapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]I said what I said
Afu wewe jogoo.....Wadau wamedinda na hao wadau wa upande wapili wameloa chapachapa!!
Ushahidi: rejea maelezo yao baada ya *#63# [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Tengeneza [emoji1787][emoji1787] tukutane uko piaAu tutengenezee WhatsApp Group nn make so kwa charting hz wazeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu ni hopeless jamani duh mwenzio INSIDER MAN alimaliza degree na alishaandika story ya kukata tamaa ya kutafuta kazi, akapata tuvibarua ndo kupata ela akanunua gari kazi ilivokata akaamua gari yake afanye uber.....yaani ni kwamba kuna baadhi ya watu mnalazimisha watu waishi maisha mnayoishiDereva wa uber na kusoma wapi na wapi?🤣🤣🤣I said what I said
Hapana bana sio shetani Wala ,Ni ubongo wako,mbona Kama ukilazimishwa kwa mateso unafanya. So waweza jitesa alone Kama unao uwezo ukasoma kitabu fulani hata Mara mia
Nani dogo!! Antonio wee wajuzi tu hapo mfyuuu!!Alafu nakutafuta ujue we dogo
Atakua ametingwa na weekend labda sema nae alishasahau alipoishiaga!Asiposoma jf itakuwa imepigwa marufuku na ng'wana Nauye[emoji16]
Pole Mkuu. Mcheck shem myajengeG ebu niache kwanza bora hata nisingesoma unaijua nyimbo ya harmonize amelowa ndio yaliyonikuta