Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mle kimasihara
 
Udhaifu wa kwanza umesha onesha bila yeye wewe huendi. Kwa sasa usioneshe dalili yoyote ya kumtaka kimapenzi wala kumchukia kwa sababu amekukataa. Kuwa normal na mtreat kama unavyo treat mademu wengine ile kawaida.

Baada ya hapo badilisha life style kabisa ...na kikubwa kingine katika kila kitu ambacho atakuomba no ziwe nyingi kuliko yes na ukisha sema no baki na huo msimamo na ikiwa yes msaidie bila kutarajia kitu chochote kwake cansel marafiki wake wote ulio nao karibu wabadilikie kabisa.

La ziada ni kwamba huyo demu wako ana njemba nyingine hapo hapo so wape muda.
 
#8,794

Kitendo cha ilyn kumsaliti rafiki Mama J ambaye ni rafiki yake. Kimenihuzunisha sana. Japo naelewa hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume.

Jambo lingine kuwa na gari na kuwa na vicent ambavyo insider anavyo kupelekea sana wasichana kishoboka..
 
Kwa taarifa fupi Iryn ana mimba yako
 
Miguu minne ni hatar.kwa jua hili
Mdau ana dualis unategemeaje.
 

Anataka wabaki wawili tu yeye na Mama J
 
HV Kweli iryn na prisca walishobokea pesa,??. Na gari la insider man HV ujasikia kuwa hao wanawake wote walio tajwa Hapa hawana shida za kifedha
 
Kwani ukishammttombba mwanamke unamtongoza tena? Yaani umeshatangazwa mbunge halafu unaenda kufanya kampeni tena!

Hahah...

Kwenye soga kama hizi, we chukulia tu vitu vilivyoandikwa na sio vinavyotakiwa kumaanisha baada ya kuandikwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…