Cleverman324
JF-Expert Member
- Nov 17, 2018
- 417
- 673
Inside mbona unaniangusha..hujawahi kimpa Dem yoyote BDSMArsenal leo kanifurahisha sana, Big up Arsenal fans we deserved [emoji123].
[emoji736]
Inside mbona unaniangusha..hujawahi kimpa Dem yoyote BDSMArsenal leo kanifurahisha sana, Big up Arsenal fans we deserved [emoji123].
[emoji736]
Yeah mama J kama mama mjengo!Anataka wabaki wawili tu yeye na Mama J
Mnoooooo yani!Navuta picha naona ulienjoy Sana hiko kipande ....kale ka mzuka
Acha tu yaniii😁!Antonnia sio kwa furaha hizo umemzidi mpka iryn😀😀
Barikiwa sana mkuu wacha tusubirie episode inayofuata!Asante boss lady naanza kuisoma sasahivi
Ngoja ndugu na insider man wakutafute boss lady 👻🤩Mnoooooo yani!
🤣🤣🤣🤣Sijui nna matatizo gan,
Yaani mimi ningeshamla
Iryn,
Mary,
Jiran yake iryn,
Mamdogo ake Mary,
Mama wawili
Mtoto wa mama wawili siku ya pili tu ningesharudi kupeleka zawadi shulen
Kale kadada kengine kanakubali kulewa naye
Yaan ningeshachafuka sana...
Nahisi wengine ningewakosa kwa ule uchu wa kuwaonyesha kuwa wakilega tu wameliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi ugentleman kama huu unauzwa wapi jamen🥹
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili nigundue nini mie!!??😳Ngoja ndugu na insider man wakutafute boss lady 👻🤩
Thawa tukutane episode ya 64 ......Ili nigundue nini mie!!??😳
Jf usiichukulie siriaz kiivo!
ShukraniYes, kula buyu but endelea kuwa nae karibu. Endelea kumjali pia, taratibu ataanza kurudisha mapenzi kwako but don't force it.
Shukrani sanaIko hivi, Ukitaka kuwaelewa wanawake inabidi usiwaelewe walivyo wanawake ni Kama juveniles yaani watoto wanaoenda rika la kujitambua. Kimsingi Wana amini kila wahachokitamani au kukitaka ni lazima wakiweke kwenye himaya yao Sasa namna nzuri ya kuishi na watu wa aina hii ni kuwaweka karibu lakini kutowatilia maanani hata kama ndani ya nafsi yako unamhisi
Migogoro katika hisia haijawahi kuwa rahisi hata mara moja, kwanza ni kuzishinda hisia zinazotoka ndani mwako na kufanya matakwa yako muhimu halafu pia kuzidhibiti hisia zinazokuzunguka wewe yaani zinazosababishwa na wengine kukuvutia wewe. Mwanamke wa namna hiyo anakupenda sana ila anajaribu kupima mwenendo wake kwako. Mpe nafasi afanye masuala yake kwa ubinafsi huku na wewe ukiendelea kuwa na hulka yako mwenyewe kamwe usibadilishwe na mtu yeyote acha mazingira ndiyo yakubadilishe wewe yaani badilika Kama kuna ulazima wa kubadilika na sio kwa kuwa unahitaji kuridhisha hisa za mtu.
Kuwa bandidu lakini usiwe na majivuno wala dharau
Hili lilinikuta dodoma nusura niingie kwenye grid.Tembelea wanawake wengi kuanzia mipango, 4ways, makole, iringa road, Nkuhungu, Chako ni chako huku mitaa ya uhindini ukigusa kavu kesho ujue gono umelipata ukimwi upo njiani
Hili ni kweli kabisa.INSIDER anayo mambo fulani anayoyafanya kitu kinachopelekea kuonekana kuwa ana bahati na kibali cha kukubalika na watu wengi.
UAMINIFU
UKWELI
KUTOKUJIKWEZA
UCHAPAJI KAZI ULIOTUKUKA.
Yeyote anayeweza kufanya haya lazima atakutana na bahati na kibali cha kukubalika.
Kuna watu wanaumia kwa kujua kwamba INSIDER katoka huko mkoani kaja Dar kusoma na sasa anasumbua kuliko hata wenyeji.
Atupe ya 65 basiINSIDER anayo mambo fulani anayoyafanya kitu kinachopelekea kuonekana kuwa ana bahati na kibali cha kukubalika na watu wengi.
UAMINIFU
UKWELI
KUTOKUJIKWEZA
UCHAPAJI KAZI ULIOTUKUKA.
Yeyote anayeweza kufanya haya lazima atakutana na bahati na kibali cha kukubalika.
Kuna watu wanaumia kwa kujua kwamba INSIDER katoka huko mkoani kaja Dar kusoma na sasa anasumbua kuliko hata wenyeji.
[emoji23][emoji23][emoji23]hapa kazingua asee.Ila Maguire hauchoki kutoa maboko mzee. Sasa demu umemkaza, na una uhakika umemkaza vizuri, unamtongoza ili iweje tena kaka?
Yani baada ya kushinda uchaguzi, ndio unaanza kupiga kampeni?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]