Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Haha bado watu wanateseka na ugwadu? Nikiwa form two niliteseka na ugwadu sasa na maisha haya niteseke na ugwadu. Nimeamini wachaga tunawaza pesa, mbesa, besa, heleriiii. .

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] amna labda umri nao kuna muda ubize unafanya hata ugwadu usiwepo au stress za maisha piaa ko sijakushangaa hata yani unachakata papuchi na wifey kwasababu tuu ni muhimu kiafya ila huichukulii serious sana kama ulivokua secondary
 
Haha 😄 aisee
Ila story hii ni nzuri ina mtiririko mzuri huchoki kusoma. Natumaini kiwa insider ataimaliza kwa wakati ili maisha mengine yaendelee
 
Naamini naweza kuwa na tatizo la kiafya. Nimesoma episode ya 63 kawaida tu sijadinda wala kutamani nimeona kawaida tu. Ila naona comment watu wamelowa wengine wanadai wamedinda kwenye daladala.

Au sababu niko ndoani mda mrefu? [emoji848] usikute akili inaona usaliti.

mmash Nourhan
Watu hawajafurahia uchakataji wamefurahia aliyechakatwa. Mwanetu alipaisha sana ndio maana watu wamefurahi kua finally mtu kachakatwa.
 
Naamini naweza kuwa na tatizo la kiafya. Nimesoma episode ya 63 kawaida tu sijadinda wala kutamani nimeona kawaida tu. Ila naona comment watu wamelowa wengine wanadai wamedinda kwenye daladala.

Au sababu niko ndoani mda mrefu? [emoji848] usikute akili inaona usaliti.

mmash Nourhan
Hata mm nimejiuliza au nnaumwa nn mbona cjadinda wala nn jamaa naona kaelezea kawaida tu yaani, anyways pengine tunatofautiaana jamani.
 
insider anatuzungusha sana jamani
emoji119.png
emoji119.png
yani ndo najua saiz kwamba zitapostiwa ndani ya wiki 3

Eeeeh anaivutaaaaaaa haswaaaa huku alisema atarusha zote amalize.. tutasoma akirusha.. ila nasubiria akija na mrejesho wa hii story baada ya muda pia.. update yaliyojiri after... 😀

Mwanamke anayevaa chupi nyeusi namchukulia kama mchafu.

Ha ha haaaaaaaa
Utakuwa umekutana nayo au unayaona kila mara.

Screenshot_2023-10-10-06-24-01-04_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Imebidi nigugo kama ni uchafu nikakuta hilo.. haswa la chini jibu la wengi.. hakuna mtu antaka kuvaa nguo ionyeshe chupi. Msafi ni msafi tu mchafu ni mchafu.. tulia kijana.. mengine uliandika aibu labda kama ndio ume experience.
 
Halafu hii story ya huyu mwamba insiderman sio mbaya ninzuri ila sio so sensational kama zile za akina rwanda magere mzee wa fimbo za kimkakakati ,au Umughaka nastroy ya Mpemba au tulichomfanya mchawi.sema huyu mwamba anamaliza inageuka chit-chat flan hivi kuprolong story.
 
Pamoja na kuchukulia kuwa hii story ni chai, lakini kuna mambo mengi ya kujifunza na mambo mengine ambayo hayajakaa sawa. Sasa Insiderman kumvua pichu Iryn ndo uanze kumdharau bosi wako? Sijapenda jinsi ulivyokuwa kama unamfokea Iryn alivyomfukuza Sumaiya! Tena haijakaa sawa jinsi ulivyokuwa kama unamfokea ulivyojua Iryn alikuwa anakuspy! Matukio haya yote mawili kwa upande wa Iryn alikuwa sahihi kwasababu ni Bossy hiko ndani ya uwezo wake kumsimamisha mfanyakazi akiona mambo hayajakaa sawa! Sasa wewe mwenyewe umeajiliwa alafu unahoji uhalali wa Bossy kumfukuza Sumaiya? Kuhusu kukuspy kama mwanamke anayejitambua kwa mtu anayempenda na kutaka kuanzisha mahusiano kuspy ni kawaida! Sasa Mr. Insider kama jinsi ulivyotuonyesha misimamo ya Iryn usije ukashangaa anakutema
Na ukileta za kuleta akakunyoshea bastola! Umezingua Insider
 
Zina mvuto wake aisee. Mwanamke awe mweupe au maji ya kunde halafu avae chupi nyeusi ambayo iko Well ventilated nyama ya ndani iwe inaonekana kwa mbaaali anakuwa na mvuto mno wa sex.

cocochanel endelea kupiga chupi nyeusi kama rangi inaruhusu
Uko sahihi
 
Pamoja na kuchukulia kuwa hii story ni chai, lakini kuna mambo mengi ya kujifunza na mambo mengine ambayo hayajakaa sawa. Sasa Insiderman kumvua pichu Iryn ndo uanze kumdharau bosi wako? Sijapenda jinsi ulivyokuwa kama unamfokea Iryn alivyomfukuza Sumaiya! Tena haijakaa sawa jinsi ulivyokuwa kama unamfokea ulivyojua Iryn alikuwa anakuspy! Matukio haya yote mawili kwa upande wa Iryn alikuwa sahihi kwasababu ni Bossy hiko ndani ya uwezo wake kumsimamisha mfanyakazi akiona mambo hayajakaa sawa! Sasa wewe mwenyewe umeajiliwa alafu unahoji uhalali wa Bossy kumfukuza Sumaiya? Kuhusu kukuspy kama mwanamke anayejitambua kwa mtu anayempenda na kutaka kuanzisha mahusiano kuspy ni kawaida! Sasa Mr. Insider kama jinsi ulivyotuonyesha misimamo ya Iryn usije ukashangaa anakutema
Na ukileta za kuleta akakunyoshea bastola! Umezingua Insider
Punguza umama ...wanawake wanapenda sana hiyo kitu na wakiona hivyo nafsi zao hutulia na kujiona wanawanaume
 
Back
Top Bottom