Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mkuu kama umefuatilia vzr huu uzi, bhs utakua ushajua nilikua taasisi gani sitaki kuweka vitu waziwazi.
Ndugu yangu account yangu ya bolt wameiblock Kuna mtu nilimpa access sasa imemletea sehemu ya kujipiga picha ili iverify alivyokuwa bwege akajipiga picha huku account sio yake ni yangu...ulishawahi kukumbana na hiyo changamoto...?
 

Attachments

  • Screenshot_20230704-060922.jpg
    Screenshot_20230704-060922.jpg
    22.6 KB · Views: 105
Story Kali sana ingawaje nimechelewa kuifatilia nilikuwa naiona tu

Nakupongeza kwa kutokuwa na haraka na yule mtoto mlito wa kizungu,ulizidi kuonesha uaminifu wako

Nimegundua kwenye hii Dunia ukitaka mambo yako yaende vizur ni kutozishobokea mbususu hovyo hovyo

Nipo kwenye mchakato wa kuziblock mbususu zote zilizopo duniani na ambazo hazijazaliwa
 
Ndio...nilimpa na password Mimi nilikuwa na kazi nyingine nafanya...at the end kaambiwa averify Kwa kujipiga picha alivyokuwa bwege na yeye amejipiga kweli...[emoji24][emoji24][emoji24] Wiki sasa account imefungwa

Pole sana, kumpa mtu account ni risky sana. Hapo nenda ofisn kwao bolt hawana shida sana ila Uber ndo kipengele
 
Back
Top Bottom