Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ni Texas car wash “Rose garden road”. Hapa ndo niliosha gari baada ya kutoka bandarini. Kama mnavyoona chuma mpya kabisaa.View attachment 2676647
tamaa ilinijia haraka sana ya kumla yule dada, nikamgusa chupi pale katikati nikaona dada anaanza kuhangaika, huku akitoa ushirikiano, nikasema leo Mbuzi kafia kwa Muuza soup
Kaka serious?? hujawai pata private kabisa? Mimi hao ndo walikua wananiweke mjini nilikua nazingatia
1. Smartness
2. Usafi wa gari
3. Customer care
4. Mungu.
5. Niliipenda kazi yangu toka moyoni kabisa,
6. Nilizingatia sana heshima yangu sikutaka kujihisisha na madem nilikaa nao mbali sana,
2018 nlikuwa napiga na karaum kangu gari ilikua safi chuma ilikua inapendwa na wadada balaa route za private zilikua za kutosha.Kaka serious?? hujawai pata private kabisa? Mimi hao ndo walikua wananiweke mjini nilikua nazingatia
1. Smartness
2. Usafi wa gari
3. Customer care
4. Mungu.
5. Niliipenda kazi yangu toka moyoni kabisa,
6. Nilizingatia sana heshima yangu sikutaka kujihisisha na madem nilikaa nao mbali sana,
Mzee utakuwa na kismati pia, nilicho notice vyote ulivyoorodhesha vina mashiko ila hiyo no.6 ndio anawarudisha nyuma sana ‘mabloo’ wengi. Sema pia mzee kuna mbinu za kimedani hapa hujatuweka wazi security ya office yako kwa maana nguvu ya kujilinda(mganga)[emoji1][emoji16]
2018 nlikuwa napiga na karaum kangu gari ilikua safi chuma ilikua inapendwa na wadada balaa route za private zilikua za kutosha.
Uzuri wa uber hakuna haja ya kwenda lodge!
Hapana mkuu sijawai kwenda kwa mganga maisha yangu yote,
Na mimi nanunua ist soon nakuwa uber…
Kwa hivyo Mkuu wewe kwa sangoma unapasikia tu?[emoji16][emoji16]
Mwendelezo saa ngapi InsiderMkuu sijawai kuwa na hio historia kabisa, naamwamini Mungu.