Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kaka unatumia dawa gani nna mwaka wa sita huu naendesha uber sijawai pata praivet kama zako dah dunia hii

Kaka serious?? hujawai pata private kabisa? Mimi hao ndo walikua wananiweke mjini nilikua nazingatia
1. Smartness
2. Usafi wa gari
3. Customer care
4. Mungu.
5. Niliipenda kazi yangu toka moyoni kabisa,
6. Nilizingatia sana heshima yangu sikutaka kujihisisha na madem nilikaa nao mbali sana,
 
Ulisomea nini mkuu ..
 
Kaka unatumia dawa gani nna mwaka wa sita huu naendesha uber sijawai pata praivet kama zako dah dunia hii

Huyu ni customer wangu namwitaga dada, ni mtu maarufu sana hapa Tanzania ila anaishi US muda sana kama hapo kashanipa taarifa anakuja mwezi huu…
IMG_1759.jpg
 
Back
Top Bottom