Chubbylady
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 621
- 1,019
Haha bado watu wanateseka na ugwadu? Nikiwa form two niliteseka na ugwadu sasa na maisha haya niteseke na ugwadu. Nimeamini wachaga tunawaza pesa, mbesa, besa, heleriiii. .
Haha 😄 aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] amna labda umri nao kuna muda ubize unafanya hata ugwadu usiwepo au stress za maisha piaa ko sijakushangaa hata yani unachakata papuchi na wifey kwasababu tuu ni muhimu kiafya ila huichukulii serious sana kama ulivokua secondary
Haha [emoji1] aisee
Ila story hii ni nzuri ina mtiririko mzuri huchoki kusoma. Natumaini kiwa insider ataimaliza kwa wakati ili maisha mengine yaendelee
Three weeks is way too long. Hizi angetupia siku moja tu akamaliza6 more episodes to Go.. alisema mwisho epsode ya 70
Mwanamke unavaaje chupi nyeusi?
Three weeks is way too long. Hizi angetupia siku moja tu akamaliza
Ati kwanini wanaziuza?
Kwahio Iryn alivaa hio chupi nyeusi? Baada ya kumgegeda ndio unauliza hili swali mbona.Mwanamke anayevaa chupi nyeusi namchukulia kama mchafu.
Watu hawajafurahia uchakataji wamefurahia aliyechakatwa. Mwanetu alipaisha sana ndio maana watu wamefurahi kua finally mtu kachakatwa.
Zina mvuto wake aisee. Mwanamke awe mweupe au maji ya kunde halafu avae chupi nyeusi ambayo iko Well ventilated nyama ya ndani iwe inaonekana kwa mbaaali anakuwa na mvuto mno wa sex.Mwanamke anayevaa chupi nyeusi namchukulia kama mchafu.
Namba 6 mwenyewe nimetulia sina habareeMkuu unawezaje kunisahau na mm?.,,mm nipo hapo namba yangu 5
Hata mm nimejiuliza au nnaumwa nn mbona cjadinda wala nn jamaa naona kaelezea kawaida tu yaani, anyways pengine tunatofautiaana jamani.
insider anatuzungusha sana jamaniyani ndo najua saiz kwamba zitapostiwa ndani ya wiki 3
Mwanamke anayevaa chupi nyeusi namchukulia kama mchafu.
Nitakutafuta nije hapo siku moja kwa sasa nipo safariniAhaaa kumbe...... Kuna demu mmja yupo kwa remi anaitwa Iryn anapika kitimoto swafii..... Ana pork point ni balaa..... Then home ni Sinza kwa wajanja.....
Uko sahihiZina mvuto wake aisee. Mwanamke awe mweupe au maji ya kunde halafu avae chupi nyeusi ambayo iko Well ventilated nyama ya ndani iwe inaonekana kwa mbaaali anakuwa na mvuto mno wa sex.
cocochanel endelea kupiga chupi nyeusi kama rangi inaruhusu
Punguza umama ...wanawake wanapenda sana hiyo kitu na wakiona hivyo nafsi zao hutulia na kujiona wanawanaumePamoja na kuchukulia kuwa hii story ni chai, lakini kuna mambo mengi ya kujifunza na mambo mengine ambayo hayajakaa sawa. Sasa Insiderman kumvua pichu Iryn ndo uanze kumdharau bosi wako? Sijapenda jinsi ulivyokuwa kama unamfokea Iryn alivyomfukuza Sumaiya! Tena haijakaa sawa jinsi ulivyokuwa kama unamfokea ulivyojua Iryn alikuwa anakuspy! Matukio haya yote mawili kwa upande wa Iryn alikuwa sahihi kwasababu ni Bossy hiko ndani ya uwezo wake kumsimamisha mfanyakazi akiona mambo hayajakaa sawa! Sasa wewe mwenyewe umeajiliwa alafu unahoji uhalali wa Bossy kumfukuza Sumaiya? Kuhusu kukuspy kama mwanamke anayejitambua kwa mtu anayempenda na kutaka kuanzisha mahusiano kuspy ni kawaida! Sasa Mr. Insider kama jinsi ulivyotuonyesha misimamo ya Iryn usije ukashangaa anakutema
Na ukileta za kuleta akakunyoshea bastola! Umezingua Insider
Zisingekuwa zinauzwa we lete true story haya mengne kaushiaMwanamke anayevaa chupi nyeusi namchukulia kama mchafu.
Swali la kijinga sana lenye utoto ndani yakeKwahio Iryn alivaa hio chupi nyeusi? Baada ya kumgegeda ndio unauliza hili swali mbona.