Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nazidi kushawishika hii story ni ya kweli kwa ratiba na muda wa ndege pale dodoma airport. Mara nyingi muda wa saa kumi na moja kuelekea kumi na mbili ni bombardier hiz Q400. Pia kama sikosei kuna siku pia ulisema ulienda ddm na ulipanda ndege mida ya mchana saa sita sita ivi hapo jnia kuelekea ddm, hyo air tanzania walianza route kutoka dar -dodma to Mwanza mwanzoni mwa 2022 Na hyo ndege kweli ilikua inatua mchana pale dodma na ndo ilikua flight ya mchana tu . Hakika nimeprove hii stori ni kweli kabisa na ungejichanganya hapa aah ningejua chai. Hongera sana
 
Oya upo makini mkuu🤣
 

Watu mpo makini sana [emoji1544]
 

Iryn anasema “kilichotokea kati yetu ni ajali tu mana mama j ni rafiki yangu” at the same time anamwonea wivu bwana insider kukaa na demu bar[emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli wanawake hatujui tunataka nn na kuna muda tuna kaunafki sana eniweiii tuwe makini na hawa watu wanaosema ni marafiki zetu[emoji119][emoji119]
 
😂😂😂
 
Kwa upande mwingine niliishia kusoma story na kwa upande wangu nikaona bora nicomment na nikaishia kufurahi tuu. Kwa upande mwingine wadau wanaishia kuifurahia story nasubiri kuona kwa upande wa wanaosema hii ni chai wanaendeleaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…