Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Hivi mnazungumzia Dodoma ipi hakuna pisi? Mbona zipo nyingi tu. Ila ukitaka waoman nenda kondoaKikweli me naishi Dom kama sio serikali na hivi vyuo asee Dom hakunaga pisi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mnazungumzia Dodoma ipi hakuna pisi? Mbona zipo nyingi tu. Ila ukitaka waoman nenda kondoaKikweli me naishi Dom kama sio serikali na hivi vyuo asee Dom hakunaga pisi kabisa
Zacharia hanspope niniHahah halafu jamaa alikuwa anapenda kuvaa KOFIA YA PAMA.
ila sidhani ubashiri wako unaweza kuwa sio sahihi
Unatafuta Ban kwa mods shauri zako.Zacharia hanspope nini
Maanq alikua anapenda kuvaa mipama
Hahaha Ila wagogo wana mit...ko flani hivi huwa inawabebe shida ni face. Inserderman umetisha Sana...,makulu, iyumbu, Morena , golden pork na bambalaga ni maeneo ambayo kila siku tunakatiza wenyeji wa dodoma.
Hivi mnazungumzia Dodoma ipi hakuna pisi? Mbona zipo nyingi tu. Ila ukitaka waoman nenda kondoa
Haaaa haaaa, Tahadhari nzuri kabisa.Unatafuta Ban kwa mods shauri zako.
Nimecheka sana tisho na Maguire kuondoka Man Utd ni kijana fulani wa hovyo mno.Nimesoma comments za waja kuhusu Maguire kutishia kuondoka Man U baada ya ile assist yake, nikakumbuka namna Insider naye alivyopata kiburi baada ya kumla Iryn 🤣 🤣 watu sijui mliwaza nini kumbatiza jina jamaa
😂😂Maisha bila unafiki hayaendi.......Iryn anasema “kilichotokea kati yetu ni ajali tu mana mama j ni rafiki yangu” at the same time anamwonea wivu bwana insider kukaa na demu bar[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli wanawake hatujui tunataka nn na kuna muda tuna kaunafki sana eniweiii tuwe makini na hawa watu wanaosema ni marafiki zetu[emoji119][emoji119]
BADO UPO MBALI, ENDELEA KUSOMA MAJIBU YAPO KTK EPISODE ZA MBELEKwahio huyo mjane ulimtapeli gari lake? INSIDER MAN
Alafu kabla stori haijaisha kuna kipengele naomba nikukumbushe ulituahidi utatuweka wazi kuhusu mzeeee Pama mpaka akawa na trust ZAIDI kwako......Nitafungua Code. 70 itakuwa mwisho[emoji41]
Upo bosi? Nikajua ulikufaga na Magufuli ukaja ukazikwa na Makonda. Umeadimika ajuza?
Haya mkuu. Kuwa na jioni njema.Hayo yote yanakuhusu wewe na yawe kivyako. Umebadili ID 😂😂😂 sikushangai ajuza wewe.. maana futi sita yenu inajifunika kila mara
Ungesoma Kila post ajuza ungenisoma.. nipo kama kawa
Kazi iendeleee..
Kwakua alikuwa anavaa Pama, basi ukajiongeza ni yeye,ila yule hakufia nje hata kama ni yeye hawezi kusema 😂Code nyingi tushazifungua wenyewe kwa Mfano Kwa Utafiti Wangu Mzee Pama Alizikwa Iringa Na Sio Tabora Na Alikua Mzee Mmoja White Hivi Suriama wa kijerumani INSIDER MAN@INSIDER MAN prove me wrong
Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app